Ajali mbaya ya ndege kutokea Tanzania soon

Kuna kitu kinaclick kwenye akili yangu kila mara kinachoniambia kuwa kunaajali mbaya ya ndege itatokea tz soon, ndani ya miezi sita ijayo.
Nimejaribu kui-deny hii hali lakini nimeshindwa.

Naombeni muendelee kuomba na kukemea nami, ili hali hiyo isitokee kwani utakua msiba mkubwa na wenye gharama kwa taifa.

Ndege gani sasa, mbona hujasema? ni mbayuwayu, aeroplane, joroe, kunguru, mwewe, au??????? be specific bana.
 
Shekhe Yahya kama umeona kutatokea ajali tunakuomba ile ndege tulioambiwa itanunuliwa, walalahoi tutakula nyasi basi naiomba uifanye hiyo ipate ajali mbaya na abiria mashuhuri wafe papo hapo. Itakuwa nafuu kwa Taifa na auheni kwa rasilimali zetu.

Never heard this before.
Kwa nini umewaza hivyo?

Mungu wa hivyo hhayupo siku hizi,Mungu wa sasa amezeeka hana muda wa kutoa taarifa,ushindwe na ulegee!

We! We! We! Komaaaaaaaaaaaaa kama unajidanganya hivyo! eti Mungu ni mzee! Mungu huyu wa sasa ni kijana ndo maana anawwadhibu hapa hapa! Yaani unapewa mboko zako hapa hapa ukienda huko we swafiiiiiiiiii!
 
Utabiri ndo deal kwa watanzania wa leo. Yale ya muhimu tumeweka pembeni tumebaki na ramli kwa jins la utabiri tuuu!! Mkumbuke yule changu Flora na utabiri wake kule Arumeru.Leo atatiamboa nn? Kumbuka Kakobe na Uchaguzi mkuu 1995!!Na wengine wengine wengi ns ndoto za adhuhuri kuziita utabiri"!Tz??sina hamu.
 
Duh yaani imetokea kweli.
 
mmmmh!kemea sikunyingine usipate maona ya namna hii!!maana ka-ndege ketu kalikuwa kamoja tu hivyo!!!yaani kuwa na ndege moja ni sawa na kuwa na mke mmoja!!siku akiwa anaumwa hupati!!!!!
 
Kuna kitu kinaclick kwenye akili yangu kila mara kinachoniambia kuwa kunaajali mbaya ya ndege itatokea tz soon, ndani ya miezi sita ijayo.
Nimejaribu kui-deny hii hali lakini nimeshindwa.

Naombeni muendelee kuomba na kukemea nami, ili hali hiyo isitokee kwani utakua msiba mkubwa na wenye gharama kwa taifa.

Tafsiri yake ni kifo chako so tubuna kuomba
 
kidooogo upatie ATC KIGOMA LEO

Kapatia, maombi yake yamesaidia kuondoa 'fatallity' ya hiyo ajali. KAKAJAMBAZI akifungua kanisa na kujiita 'Prophet KK Jambazi' atavuta wengi na kuwatoza 10% ya mapato yao naye atakuwa tajiri kwa muda mfupi maana Dunia ina homa kali.
 
Kuna kitu kinaclick kwenye akili yangu kila mara kinachoniambia kuwa kunaajali mbaya ya ndege itatokea tz soon, ndani ya miezi sita ijayo.
Nimejaribu kui-deny hii hali lakini nimeshindwa.

Naombeni muendelee kuomba na kukemea nami, ili hali hiyo isitokee kwani utakua msiba mkubwa na wenye gharama kwa taifa.

naomba unitabirie
wewe utakufa lini?
 
kaka jambazi umeniacha mdomo wazi.
Tunamshukuru Mungu alichokuonesha hakikutokea labda kwa maombi yako na wachache waliokusaidia kukemea.
 
Asante kwa maombi yenu huenda ndo yamefanikisha kuepusha maafa.

Amen!!
 
Back
Top Bottom