Mungu wangu,hivi uliyoandika unamaanisha au,because this is empty talk.Na hayo maisha bora kwa kila Mtanzania unayo-ongelea yako wapi.Wewe you deserve a bullet,kwa kuwa sasa unawakebehi Watanzania.Maisha bora kwa kila Mtanzania yanapatikana kwa huo utitiri wa vyuo unaotoa wasomi fake,ambao ni literally untrainable.Mbaya zaidi ni kwamba wengi wameingia vyuoni kiujanja ujanja na kufaulu kiujanja ujanja tu.Ninajua ninacho ongea, kwa kuwa wengi wamepitia mikononi mwangu and I know how they look like.Ni upuuzi mtupu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameendelea kuweka rikodi iliyotukuka katika nyanja ya Elimu na katika kuendeleza kauli mbiu ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania, amefunguwa Rasmi Chuo Kikuu Cha Kwanza Kijeshi Cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Hongera sana Kikwete, mpaka sasa tunaona juhudi zako na hii ni rekodi nyingine adhimu kwako na kwa Taifa.
Kwa hakika Elimu pekee ndio itayompa Maisha Bora kila Mtanzania. Na unafanya kweli!

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni
Napongeza hii progress na napongeza sana walioanzisha idea ya hiki chuo, walioendeleza wazo, na waliokamilisha wazo
Je tunaweza kupata historia fupi ya hii development hadi kufikia kwenye matunda?? nani alipanda mbegu, nani alimwagilia, nani alilinda ngombe wasile majani hadi leo
CONGRATS TO KJ AND ALL INVOLVED KULETA HAYA MAENDELEO
Binafsi naamini jk anaweza kufanya mengi zaidi, hajaamua tu kufanya.
Umefurahiii?!!!! Akili yako haiko sawa wewe
Product za hivyo vyuo: Mwema, Kamuhanda, Kova, Saba sita, (ongezeni list wana JF) =Mashaka matupu!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameendelea kuweka rikodi iliyotukuka katika nyanja ya Elimu na katika kuendeleza kauli mbiu ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania, amefunguwa Rasmi Chuo Kikuu Cha Kwanza Kijeshi Cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Hongera sana Kikwete, mpaka sasa tunaona juhudi zako na hii ni rekodi nyingine adhimu kwako na kwa Taifa.
Kwa hakika Elimu pekee ndio itayompa Maisha Bora kila Mtanzania. Na unafanya kweli!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameendelea kuweka rikodi iliyotukuka katika nyanja ya Elimu na katika kuendeleza kauli mbiu ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania, amefunguwa Rasmi Chuo Kikuu Cha Kwanza Kijeshi Cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
Hongera sana Kikwete, mpaka sasa tunaona juhudi zako na hii ni rekodi nyingine adhimu kwako na kwa Taifa.
Kwa hakika Elimu pekee ndio itayompa Maisha Bora kila Mtanzania. Na unafanya kweli!
Dah! Kazindua JK? Makamu Mzee wa kukata tepe alikua wapi?
binadamunani wanatakiwa kwenda kusoma huko?