Nasikia majengo ya UDOM yashaanza kuporomoka. Na hela za NSSF zitarudishwa lini?
wivu utakuua kijanaMzee wa autopilot...matukio ya kuuana hapa nchini yeye kama hayupo anazurula tu!kweli rahisi tunae walahi...ndio maana wajomba zake wamemuonyesha mbegu alizopanda zimemea vizuri sana!wameandamana na kushinikiza na wamefanikiwa asubiri shinikizo lao jipya wakiwa nje ya lango la ikulu!!!!!
Badala ya kutatua matatizo ya walimu na kuongeza walimu ktk shule za kata anaongeza vyuo huku watoto wanahitumu std 7 pasipokujua kusoma sasa sijui nani atakaekuja kusoma ktk hivyo vyuo, naifananisha na mtu anaejenga nyumba kwa kuanza msingi wa tope na kuanzia kwenye lenta akatumia tofali kumalizia nyumba sidhani kama itadumu
Wapongeze wachina kwa kutusaidia kujenga chuo cha kijeshi.
hata CDM wanaruhusiwa,muhimu make mkijua lazima upimwe mkojo na damu, sasa nyie wazee wa msuba itakua ngumu sana kupata nafasi.Na kimeanza kwa course ya mwaka mmoja!!!!!!!! duuuu hizi universities za JK degree one yr tu??
By the way one year is enough kufundisha jinsi ya kukabiliana na CDM
Elimi gani unayozungumzia, hii ya kata??? Ambapo watoto wetu wanafaulu huku hawajui kuandika wala kusoma..najua unamapenzi sana na ccm A ila si kihivyo.
Hiyo kauli mbiu bado ipo? Na hii inflation ya 20%+, kwangu ni kichefu chefu nikisikia hayo maneno.
Ufunguzi wenyewe mnaongea kiingereza why?? Au sababu ni misaada?? Be careful kijana.
Siyo Monduli, Monduli ni chuo cha kijeshi lakini si chuo kikuu. Hiki ni Chuo Kikuu (University) cha Kijeshi na kipo Dar.
HATA MIMI NIMEFURAHI! sasa wewe ulitaka afungue chuo cha siasa kingine kama kile cha kivukoni huko songea, ndio ufurahie? Ulaya imejengwa na elimu na sio midomo ya makada wa siasa unalijua hilo? kalaga baho!Umefurahiii?!!!! Akili yako haiko sawa wewe
Please.
Hongera sana Rais Kikwete kwa kufungua chuo kikuu.
Duh! majuha hamuishi mizaha!Nadhani ingekuwa vizuri kama ungemuuliza Waziri wa Elimu Dr Shukuru Kawambwa ungepata majibu murua, tunachojua JK kajenga chuo kikuu.
Ni pigo kubwa kwa wengi wasioweza kuyatazama na kuyasifu mafanikio ya Kikwete. Miaka 7 Ya Kikwete, tuna wanafunzi wengi wanaoingia shule za msingi, shule za sekondari, vyi vya ufundi, vyuo vya ualimu, vyuo vya tiba na vyuo vikuu kuliko wakati wowote katika Historia ya nchi hii toka ilipoanza kuandikwa (labda toka ilipoumbwa). Kila mwaka vyuo vikuu vinaongezeka kwa zaidi ya kimoja toka ashike madaraka, haijawahi kutokea.
Jakaya Mrisho Kikwete anastahili kila sifa. Tunampenda.