Ahsante Kikwete - Chuo Kikuu Kingine

News bulletin 8pm, Rais amesema ni 'chuo cha taifa cha ulinzi' na kitahusika na masuala ya 'strategia'. Hiki sio chuo kikuu (University) bali ni kwa ajili ya kutoa mafunzo specific individuals kwenye sekta mbalimbali i.e energy, ujenzi etc. Kwa kifupi ni cha mafunzo yenye kulenga kupanua wigo wa mabwepande na mwaka huu watachukuwa wanafunzi 20!

NB: Chinese Takeway!

WIZARA YA ULINZI YAKABIDHIWA CHUO KIKUU CHA KIJESHI

Soma zaidi: WIZARA YA ULINZI YAKABIDHIWA CHUO KIKUU CHA KIJESHI - Global Publishers
 
Ni pigo kubwa kwa wengi wasioweza kuyatazama na kuyasifu mafanikio ya Kikwete. Miaka 7 Ya Kikwete, tuna wanafunzi wengi wanaoingia shule za msingi, shule za sekondari, vyi vya ufundi, vyuo vya ualimu, vyuo vya tiba na vyuo vikuu kuliko wakati wowote katika Historia ya nchi hii toka ilipoanza kuandikwa (labda toka ilipoumbwa). Kila mwaka vyuo vikuu vinaongezeka kwa zaidi ya kimoja toka ashike madaraka, haijawahi kutokea.

Jakaya Mrisho Kikwete anastahili kila sifa. Tunampenda.

kwa kweli haya ni mafanikio ya kuongeza mbumbumbu wasomi; yaani form four wasio elewa kitu na wenye division 3 eti ndo wamefaulu. Pongezi zaidi kwa shule za kata ambazo hata mtoto wa diwani hapa kwetu hasomi
 
sidhani kama umetafakari vya kutosha ulicho andika, hoja hujibiwa kwa hoja na sio matusi wala kejeli.
Mtu Yeyote anapo patia asifiwe na anapo kosea akosolewe.
Siasa sio uadui, hii nchi ni yetu sote, jk akifanya zuri litatunufaisha sote na anapo kosea litatugharimu sote.

Kodi yangu ndo inayoijenga inchi yangu na kunenepesha matumbo yenu. Mimi siwapendi in short mark me as ur enermy, hakuna lolote mliloifanyia inji yangu la maana yote mnayoyafanya ladhima mchakachue. Nawapenda sana wajeda labda kwa vile hicho chuo ni cha wajenda niseme kidogo kautilize PEY yangu. Nawachukia sana plus familia yangu na ndungu zangu wanawachukia naamini familia zingine ziko nyuma yangu. Tunawasubili na tunahamu na nyinyi sana 2015, tutapiga na tutalinda.
 
Umefurahiii?!!!! Akili yako haiko sawa wewe

hee mtu kufurahia chuo kikuu kipya anaitwa hana akili kweli watu wa cdm wengi ni illiterate,mnataka kusikia tamthilia ya elimu bure lakini hamtaki vyuo vikuu vipya vifunguliwe...!!!
 
Kwa maana hiyo rais kakosea? Unamwamini nani, rais au Global Publishers?

Ulitaka nikuamini wewe? lini ulipima masikio kwa ENT specialist mara ya mwisho?
 
kwa kweli haya ni mafanikio ya kuongeza mbumbumbu wasomi; yaani form four wasio elewa kitu na wenye division 3 eti ndo wamefaulu. Pongezi zaidi kwa shule za kata ambazo hata mtoto wa diwani hapa kwetu hasomi

Hao unaowaita mbumbumbu wamebahatika kupata hata hiyo elimu mwenyekiti wako alikimbia umande.
 
kwa kweli haya ni mafanikio ya kuongeza mbumbumbu wasomi; yaani form four wasio elewa kitu na wenye division 3 eti ndo wamefaulu. Pongezi zaidi kwa shule za kata ambazo hata mtoto wa diwani hapa kwetu hasomi

Inauma eenh?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameendelea kuweka rikodi iliyotukuka katika nyanja ya Elimu na katika kuendeleza kauli mbiu ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania, amefunguwa Rasmi Chuo Kikuu Cha Kwanza Kijeshi Cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania.

Hongera sana Kikwete, mpaka sasa tunaona juhudi zako na hii ni rekodi nyingine adhimu kwako na kwa Taifa.

Kwa hakika Elimu pekee ndio itayompa Maisha Bora kila Mtanzania. Na unafanya kweli!

mkopo hapo ni %100 au ndo kama vingine vile vya mtoto wa mkulima marufuku university college..
 
Hongera sana ila kwani Rais kazi yake ni nini? Maana kuna wenzetu wanamsifu kwa viwanda vya chocolate vilivyoanzishwa hapa.
 
Hongera sana Rais Kikwete kwa kufungua chuo kikuu.

Anatekeleza ilani ya Chama gani?
Hata siku moja sijawahi kusikia kuwa atajenga Chuo Kikuu Cha Kijeshi, kama ni zawadi za Mabeberu kwa kuwapa Uranium-tuambiwe?
 
hee mtu kufurahia chuo kikuu kipya anaitwa hana akili kweli watu wa cdm wengi ni illiterate,mnataka kusikia tamthilia ya elimu bure lakini hamtaki vyuo vikuu vipya vifunguliwe...!!!

Unatumwa illiterate kati ya Mnyika na Nape unachukua nani? Mbowe na Mzee wa Masafa unachukua nani? Halima Mdee na Bibi Kiroboto? Msalimie Wasira mwambie tunamsubili Bunda kwa hamu
 
Hongera sana ila kwani Rais kazi yake ni nini? Maana kuna wenzetu wanamsifu kwa viwanda vya chocolate vilivyoanzishwa hapa.

Kiwanda ni kiwanda hata kiwe cha pipi, mimi namsifu kwa kuongeza value ya cocoa yetu. Anafanya kweli!
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameendelea kuweka rikodi iliyotukuka katika nyanja ya Elimu na katika kuendeleza kauli mbiu ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania, amefunguwa Rasmi Chuo Kikuu Cha Kwanza Kijeshi Cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania.

Hongera sana Kikwete, mpaka sasa tunaona juhudi zako na hii ni rekodi nyingine adhimu kwako na kwa Taifa.

Kwa hakika Elimu pekee ndio itayompa Maisha Bora kila Mtanzania. Na unafanya kweli!

Mmmmmh!! Hongera zake

Sema mleta mada umetia Chumvi si kwa Watanzania wote
 
Back
Top Bottom