Ahsante Kikwete - Chuo Kikuu Kingine

hongera! Nakiombea kwa mola kizalishe waweka vitrilioni South Africa wengi kama . . . . !
 
Kiwanda ni kiwanda hata kiwe cha pipi, mimi namsifu kwa kuongeza value ya cocoa yetu. Anafanya kweli!

Zomba, you behave the same way as I behave when it comes to Man U. Unajua tena kama si ushabiki wa mpira basi ni mapenzi yaliyopitiliza....hata hivyo kwani Rais kazi yake nini?
 
Zomba, you behave the same way as I behave when it comes to Man U. Unajua tena kama si ushabiki wa mpira basi ni mapenzi yaliyopitiliza....hata hivyo kwani Rais kazi yake nini?

Unyerere.
 
Mimi naona JK amefanya vizuri katika hili. Ameanza na shule ili kuzalisha wataalamu wa kutosha na tunawona magraduate ambao sasa tunawaita majobless. sasa wanatosha. Naomba sasa tuhamie katika kujenga viwanda maana wataalamu tayari tunao. Vp hapo?
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameendelea kuweka rikodi iliyotukuka katika nyanja ya Elimu na katika kuendeleza kauli mbiu ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania, amefunguwa Rasmi Chuo Kikuu Cha Kwanza Kijeshi Cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania.

Hongera sana Kikwete, mpaka sasa tunaona juhudi zako na hii ni rekodi nyingine adhimu kwako na kwa Taifa.

Kwa hakika Elimu pekee ndio itayompa Maisha Bora kila Mtanzania. Na unafanya kweli!

Kama Lowasa vile.

Dokta Zaifu kafungua choo cha kijeshi. Anadai kitafundisha, inter alia, strategia...mhhhh! Kudhibiti 'wakorofi'
 
"Master" anapozidiwa kwenye kila nyanja na kijana aliyemchezea rafu mwaka 1995, hapo sasa!

teh teh teh...ni kweli kamzidi kila nyanja maana hata haya maisha yalivyo magumu na inflation juu ni unique dizain ya kijana aliyefanyiwa zengwe 1995
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameendelea kuweka rikodi iliyotukuka katika nyanja ya Elimu na katika kuendeleza kauli mbiu ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania, amefunguwa Rasmi Chuo Kikuu Cha Kwanza Kijeshi Cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania.

Hongera sana Kikwete, mpaka sasa tunaona juhudi zako na hii ni rekodi nyingine adhimu kwako na kwa Taifa.

Kwa hakika Elimu pekee ndio itayompa Maisha Bora kila Mtanzania. Na unafanya kweli!
Hongera sana kikwete. Chini ya uongozi wako watoto wanajiunga na sekondari wakiwa hawajui kusoma na kuandika. Huu ni ushindi mkubwa dhido ya weledi na ni hatua ambayo marais wa awamu zote tatu walishindwa kuifikia lakini kwa uongozi wako uliotukuka tumejaribu, tumeweza na sasa tunasonga mbele. Kinachohitajika sasa, ni kuendelea kuongeza nguvu zaidi ili hata vijana wa vyuo vikuu wasiwe na uwezo wa kusoma na kuandika wanapojiunga na vyuo.
 
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), DK Hussein Mwinyi, ameishukuru Serikali ya China kwa ufadhili wa ujenzi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha ulinzi (National Defence College) kilichopo Kunduchi, jijini Dar es Salaam.

Source:

1) Chuo Kikuu Kipya - ippmedia

2) Chuo Kikuu Cha Ulinzi - Rado Free Africa

Sasa umehamia kwa ministers vs rais! In your right mind ni chuo kikuu gani chenye wanafunzi 20?

Let me put you out your misery - Pata tape TBC and here from your President.
 
Mimi naona JK amefanya vizuri katika hili. Ameanza na shule ili kuzalisha wataalamu wa kutosha na tunawona magraduate ambao sasa tunawaita majobless. sasa wanatosha. Naomba sasa tuhamie katika kujenga viwanda maana wataalamu tayari tunao. Vp hapo?

Na huko nako anafanya kuliko Rais yeyote wa kabla yake, soma hivi kwa uchache:

Tanzania sasa kunufaika na EPZ ya Bagamoyo

lukwangule entertainment: Kiwanda cha chuma cha dola mil 220 kujengwa Dar

MICHUZI: DANGOTE YAANZA MATAYARISHO YA UJENZI WA KIWANDA CHA SEMENTI MKOANI MTWARA

Askinosie Chocolate Goes to Tanzania, Gets Noticed by Oprah - St. Louis - Restaurants and Dining - Gut Check

Kisha tuletea hoteli iliyopata tuzo ya Hoteli bora duniani kwa mara ya pili mfululizo:

Singita Game Reserves > Press Release: Singita Voted World's Best Hotel for the 2nd Consecutive Year.

Kikwete anafanya kweli.
 
Nadhani ingekuwa vizuri kama ungemuuliza Waziri wa Elimu Dr Shukuru Kawambwa ungepata majibu murua, tunachojua JK kajenga chuo kikuu.
chuo cha kijeshi kinahusiana nini na waziri wa elimu?
 
Sasa umehamia kwa ministers vs rais! In your right mind ni chuo kikuu gani chenye wanafunzi 20?

Let me put you out your misery - Pata tape TBC and here from your President.

Utasema sana,ya Global Publisher yamekushinda, nimekuwekea na IPP na Radio Free Africa, kubali tu hauna ujanja kwa hili, Ukweli unabaki kuwa Ukweli huna njia ya kuubadili. Na ni rikodi nyingine kwa Kikwete. Usiidanganye nafsi yako, Kikwete anafanya kweli.
 
Safi sana kazi ya kupongezwa. Natamani tupige shule hapo ili tuendelee kufukuza ujinga na kuongeza stadi za muhimu sana hasa hususani katika uongozi na uchumi sio tu Jeshini bali katika Wizara, Idara na Asasi za kiraia kama ilivyosemwa.
 
Ah! kumbe "amefunguwa" Rasmi Chuo Kikuu Cha Kwanza Kijeshi Cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania.
 
mipango sio matumizi japo matumizi huanza kwa mipango. Afanye tuone

Hivi una mcho au una una ushahidi? umesoma hizo link nilizokuwekea? mpaka Oprah yuko USA ameona na ame appreciate, wewe uko hapa nyumbani huoni? amma kweli "wana macho lakini hayaoni, wana masikio lakini hayasikii".

Kalagabaho.

Oyaaah, na treni ya mjini Dar imeanza safari ya majaribio leo. October inaanza kazi rasmi, na Mabasi ya mwendo kasi barabara zake zimeshaanza kutengenezwa, umepita mtaa wa Morogoro road? labda hujaona, basi hata kusikia?

Kikwete anafanya kweli.
 
Back
Top Bottom