Makyomwango
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 322
- 79
Wanabodi
Wanachama watatu waliopeleka pingamizi la ushindi wa Lema mahakamani na kupelekea kuvuliwa ubunge wa kamada wetu wanstahili adhabu. watu hawa pamoja na kutambua kuwa tofuti ya kura kati ya batlida na lema ilikuwa zaidi ya 20,000 kwa jeuri ya kifisadi waliweza kupeleka shauri hilo mahakani ambako hukumu tata na ya kumkomoa Lema ilitolewa.
Nawashauli watu wa Arusha na watanzania kwa ujumla na umoja wetu, kwamba kama vile ambavyo tunavyowazomea kwa kupigwa yowe wote wanaovaa nguo za kijani (Uniform za Magamba) kama wezi wa nchi hii, tuwazomee na kuwatenga watu hawa watatu. Hii itakuwa adhabu tosha ya nguvu ya umma kwa watu waliopata pesa zetu kifisadi na kuzitumia kifisadi kutukandamiza
nawasilisha