Sheria ya dawa za kulevya nchini inatoa hukumu/adhabu gani kwa watumiaji/mateja?

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,634
46,276
Huwa sioni nguvu kubwa ya serikali katika kushughulikia watu wanaotumia dawa za kulevya kuwakamata na kuwapeleka mahakamani ili wahukumiwe. Sijawahi kusikia kabisa teja amehukumiwa na mahakama kwa matumizi ya dawa za kulevya.

Je, sheria ya kupambana na dawa za kulevya Tanzania inatoa adhabu gani kwa watumiaji/mateja wa dawa za kulevya wanapothibitika?
 
Kwa hiyo kama mtu anatumia tu ila hajawahi kukutwa nazo hii sheria haimuhusu?
Sheria haijasema kama ni mtumiaji au muuzaji suala ni kukutwa nayo, haijalishi ni kwa matumizi yako binafsi au biashara
 
Nimewahi kaa selo na teja yaani alipakaza mavi chumba kizima kwa kujiharishia
 
Soulja boy hakujipendea,yan ile hali inamtokea teja yoyote kama akikaa muda mrefu bila kubwia unga...tumbo linaunguruma mpaka maafande wapo nje ila wanasikia
 
Back
Top Bottom