Adhabu kwa waliopinga matokeo ya Lema Mahakamani

Katika sakata hili hakuna mtu mwenye makosa makubwa kama Judge Gabriel aliyetoa judgement. Nadhani kama angetumia akili yake na kuishemu profession yake asingeweza kutoa judgement ya ajabu ivyo ambayo hata ungemvisha mbuzi mavazi ya Ujudge asingeyatoa.
Kwa iyo kama ni hasira inabidi zianze kwa huyu msaliti ambaye analipwa na kodi zetu halafu ameamua kuibaka haki ya wana-arusha.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom