Adhabu kwa waliopinga matokeo ya Lema Mahakamani

...waachwe, wanasaidia kupandisha hadhi ya chama zaidi. Watakuwa mashaidi wazuri baadae.
 
Wanabodi

Wanachama watatu waliopeleka pingamizi la ushindi wa Lema mahakamani na kupelekea kuvuliwa ubunge wa kamada wetu wanstahili adhabu. watu hawa pamoja na kutambua kuwa tofuti ya kura kati ya batlida na lema ilikuwa zaidi ya 20,000 kwa jeuri ya kifisadi waliweza kupeleka shauri hilo mahakani ambako hukumu tata na ya kumkomoa Lema ilitolewa.

Nawashauli watu wa Arusha na watanzania kwa ujumla na umoja wetu, kwamba kama vile ambavyo tunavyowazomea kwa kupigwa yowe wote wanaovaa nguo za kijani (Uniform za Magamba) kama wezi wa nchi hii, tuwazomee na kuwatenga watu hawa watatu. Hii itakuwa adhabu tosha ya nguvu ya umma kwa watu waliopata pesa zetu kifisadi na kuzitumia kifisadi kutukandamiza

nawasilisha

Hii itakuwa upofu wa akili.

Kumbuka watu hao walitumia uhuru wao wa kikatiba katika kupinga matokeo hayo kupitia kipengele cha Maadili na sio idadi ya kura.

Kama utakuwa na busara ni vizuri na wewe na wenzako mtumie uhuru wenu wa katiba na sharia katika kudai haki yenu kama mnaona imenyang'anywa.

Ijuma njema

washindwe na walaaniwe kwa jina la Shetwani! kudadadeki!
Ingekuwa kule kwetu tungewafanya vibaya!
 
Wafanyieni ile kitu udongo inapenda.

Naunga mkono hoja 100% ingekuwa sehemu nyingine hawa tungeshawasahau. Kwa uroho wao wa pesa wao wataua watu wengi zaidi direct or indirect. Mf. chukulia gharama zitakazotumika uchaguzi utakaporudiwa kwa sbb za kijinga jinga.
 
Nadhani wale Wapiga nondo wa Mbeya kuna ulazima wa kuwafungulia branch Arusha, hili linakera sana.
 
Mbali na kuwazomea adhabu nzuri zaidi kuwapa kura sifuri pale uchaguzi wowote utakapofanyika! Tuhamasishane nchi nzima watu tuwe na mwamko kama wa Arumeru. Pesa zao za kifisadi tuzile maana ni zetu; lakini kura tusiwape!!!!
 
Wanabodi

Wanachama watatu waliopeleka pingamizi la ushindi wa Lema mahakamani na kupelekea kuvuliwa ubunge wa kamada wetu wanstahili adhabu. watu hawa pamoja na kutambua kuwa tofuti ya kura kati ya batlida na lema ilikuwa zaidi ya 20,000 kwa jeuri ya kifisadi waliweza kupeleka shauri hilo mahakani ambako hukumu tata na ya kumkomoa Lema ilitolewa.

Nawashauli watu wa Arusha na watanzania kwa ujumla na umoja wetu, kwamba kama vile ambavyo tunavyowazomea kwa kupigwa yowe wote wanaovaa nguo za kijani (Uniform za Magamba) kama wezi wa nchi hii, tuwazomee na kuwatenga watu hawa watatu. Hii itakuwa adhabu tosha ya nguvu ya umma kwa watu waliopata pesa zetu kifisadi na kuzitumia kifisadi kutukandamiza

nawasilisha

hivi unajuwa kilichopelekea lema kuvuliwa ubunge kweli? usilalamike wakati hufuatilii vyanzo vya habari
 
wawekwe front page kila m2 awajue niko a town natamani kuwafahamu ila cjapata bahati kuwatambua kweli c wanaharakati hawafai kwa jamii
 
Picha zao tafadhali sana, ili hata tuliombali tuwaombea dua mbaya. Du lakini Arusha wapole hao jamaa wanakatiza tu mitaani mnawachekelea? Anyway labda laana yao itafika siku moja
 
unajua tofauti kati ya hakimu na jaji?
kuwazomea mahakimu wanahusikaje hapa? azomewe huyo alotoa hukumu peke yake.
kama umesoma mada imetolewa hapa jana majaji wapo wa aina nyingi wapo wa system,wa serikali nk,

Kwa mtazamo wangu wa kulaumiwa ni Serikali pamoja na Hakimu (Idara ya Mahakama) ndio waliohusika kaika kutoa hukumu ile.

Walipindisha Sheria kwa manufaa binafsi na ya Kiitikadi yaani kukomoana.

Tuwazomee Askari Polisi, Mahakimu wote, na kila gari la Serikali likipita lenye bendera ya Taifa.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
 
Kwa kweli nna hasira nao kweli hao manyang'au na ikibidi wachokonoeni hao masaburi
 
Kwa kweli nna hasira nao kweli hao manyang'au na ikibidi wachokonoeni hao masaburi.
 
Upuuzi wa kunyang'anya haki na demokrasia ya wengi katika kuchaguzi itakwisha kabisa endapo tu

1. Kila anaeshiriki kupokonya haki na kudidimiza demokrasi apate adhabu kali, mfano kunyofoa vidole nk
2. majaji na mahakimu wasioheshimu haki za watanzania waazibiwe ili wanaposoma hukumu wasome kwa haki vinginevyo wawe teyari kupokea haki yao. Wakijuwa hivyo hawatapokea amri wala hawatatapokea rushwa

Huwezi kupata viongozi bora ukiacha wajinga wachache wakiyumbisha demokrasia kwa uchu wao wa kifisadi kupoka madaraka.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom