klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,139

siji. Maana wewe uutakatwa na masaburi.
Khaaa! hata mimi mtumishi wa Mungu?

siji. Maana wewe uutakatwa na masaburi.

mtumish wa mungu toka lini akazini?
hehehe mchina hauzi masaburi? kuanzia leo nimemban Husninyo PM (shahidi wewe)hahahaaaaaa Husninyo jamani mbona unamtisha klorokwini? Akikatwa masaburi kukaa tena basi.....itabidi awe mtoa hotuba tu

Mimi siendi gesti kuzini, nakwenda kuwapa mawaiza kondoo waliopotea na kutoa mapepo wachafu! juzi tulitoa mapepo 6, mapepo mawili yalikuwa mashoga!

Dah! tuna kazi kweli watumishi wa Mungu wallahi

Nilisoma yahoo siku moja kuna baba maarufu alikatwa na mkewe baada ya kumkanya aache uzinzi asikii. Ila kwa wenzetu bwana walikirudishia hospital na sasa anacheza movie za wakubwa maana kageuka dili.

Mwanamke alipata msamaha baada ya kutetewa na wana harakati kuwa mmewe alimfanya awe kama chizi kwa umalaya.

Hiyo issue ilizua debate kubwa nchi zilizoendelea kuhusu mambo ya gender na haki za wanawake. Wanaume walikuwa wanamtetea mwanaume mwenzao; wanawake wanamtetea mmama aliyekata kidudu.

Mapenzi yanaRun Dunia..........

Siku yangu ya leo imeharibika sana baada ya kushuhudia mwanaume mmoja akiletwa hospitali akiwa amekatwa uume baada ya kufumaniwa!

Jamani nyie wanaume hivi hiyo ni adhabu inayostahili kweli?

Unajisikiaje kumbakisha mwenzio na kipisi!? Hivi hapo nani mwenye kosa kisheria? Aliyemkata mwenzio kifaa au aliyefumaniwa?
jamani vijana jaribuni kufanya uchunguzi kabla ya kujirusha na mijimama ambayo tayari imefanyiwa investment na waume zao.
Matokeo yake ni madhara makubwa kama hayo.

Ikiwa kiungo cha mwili kinakusababishia kuingia dhambini kikate na kitupe. Ni heri kuingia kt ufalme wa Mungu ukiwa na viungo vya mwili pungufu kuliko kuingia jehanamu milele. Aliyemkata alimsaidia tu huenda aliyekatwa hakufunuliwa akaelewa hiyo haya.