Wanaume kataa ndoa wana sonona kali inayopiga maisha yao kisawasawa

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,850
Salam sana popote mlipo

Ndugu zangu haijalishi kwamba mwanamke kwenye maisha ya mwanaume ni msafiri na safari yake ikifika mwisho ana kubwaga pasi na sababu yeyote na kwenda kwa mwingine epuka sonona acha kukataa kuishi na mwanamke

Ukweli ni kwamba wanaume wengi wanaokataa kuoa , wanajiweka upande wa kukataa kuishi na wanawake wanapitia sonona kali sana iliyopiga maisha yao kisawasawa japo hawataki kuweka wazi jambo hili

Wanaume wasiotaka kuoa wanaogopa wanawake kwa kisingizio cha kwamba hakuna mwanamke wa kuoa kumbe ni kujilinda na mfadhaiko wa akili alioupata kutoka kwa mwanamke wake aliyempiga na kitu kizito sana na kumpelekea apate shida sana ya kupata mwanamke mpya.

Mwanaume anayekataa kuishi na mwanamke ameshawahi kupitia taabu nyingi na dhiki kali ya kimaisha ikiwemo kurudi nyuma kiuchumi na kiafya, hali kadhalika kumpa matatizo au changamoto katika utekelezaji wa majukumu yake ya kila siku baada ya kuachwa na huyo aliyekua anampenda na kuona ndiye malaika wake kwenye maisha ya ujana wake

Kataa ndoa wengi wanachelewa kulala na wanawahi kuamka mapema alfajiri pasi na sababu zozote za msingi, atachelewa kulala akidai alikua anaangalia movie, mara mpira au anacheza game, wengine watasema walikua bar wanakula maisha na watoto wazuri kumbe ni msongo mkali wa mawazo unao mkabili kwa kushindwa kumsahau yule x-wake aliye mgaramia sana na kuona wanawake wote ni wabaya, mwanaume kapoteza mwelekeo japo anashindwa kuweka wazi ili tumnusuru huko alipo naswa aweze kusonga mbele.

Wanaume wengi wanaopinga kuoa mara zote wanahis uchovu, wengine watasingizia ni majukumu, wengine watasingizia kimoyo moyo labda ni vile amepanda mnazi usiku kucha, mwingine atasema ni vile anakesha kulewa kumbe shida yake ni msongo makali sana wa mawazo alio nao vile akifikiria ni jinsi gani atapata mwenza mpya wa kudumu nae.

Wanaume wa disampuni hii wengi wao wamepoteza hamu ya kula , mchana utamuona akishinda anakunywa soda, energy drink au machungwa huwezi kumuona anakula chakula cha maana , yote hayo ni udhaifu ulioadhiri akili yake na kumfanya aone hata chakula hakina maana. atakua tuu anasingizia nitakula usiku.

Wanaume wanaokataa ndoa wengi wao wanawaza sana kujinyonga hasa hasa pale anapompata mwenza mpya na akapigwa na kitu kizito tena kichwani

Wanaokata kuishi na wanawake wamepoteza muelekeo na kuona wao ni wakushindwa tuu, muda mwingi anafikiria kwamba bado atashindwa kupata mwanamke sahihi hivyo anaamua kujiingiza kwenye magenge ya wahuni, wengine wanashinda bar wakitoka kazini, wengine kwenye vijiwe vya kahawa na wengine kwenye ma pool table, huko utakuta wamejazana ila mioyoni mwao kila mtu anaugua sonona kivyake na hataki kusema.

Wanaume wanaugua sonona kali hawataki kuoa wanashinda kwenye vichochoro magenge kwa magenge, mitoni na maeneo yaliyojificha wengine wanajificha maghetoni hakika hii ni dhiki kuu, wengine wanaenda kunyanyua matairi ya pikipiki wakidai wanakata upepo kumbe wanakata uhai wao. Nyie msiotaka kuoa tokeni nje ongeeni na wazee wenye heshima zao ndugu zangu hiyo sonona itawatafuna

Wanaume wezangu hata kama uliishi na mwanamke akawa nyoka kwako bado wanawake wema wapo, hata kama uligharamia mwanamke akakukimbia ingali umeshalipa mahari amini ni Mungu anakuepusha huyo hakua wako, wanaume wezangu wanawake wema wapo hatakama hutaki kufunga ndoa basi usikatae kuishi na mwanamke na kama umekua domo zege baada ya kubamizwa na hawa viumbe wewe jichanganye tuu mtaani ipo siku utatongozwa hata wewe ushindwe mwenyewe kumalizia
 
Wanawake wema na wenye utiifu wa kweli wapp wengi sana bado na ndoa ni muhimu sana kwa mwanaume.
 
Ndoa ndiyo chanzo cha sonona kali kama ya mleta mada. Kuingia JF saa moja kasoro asubuhi na kuanza kuandika mada ni dalili kuwa mleta mada ana ndoa yenye shida. Yaelekea amesimangwa usiku kucha, amenyimwa tendo la ngono, amefukuzwa chumbani na kulala jikoni, n.k.

Huwezi kuwa na ndoa yenye amani halafu saa moja kasoro asubuhi uwe unaandika mada JF.
 
Salam sana popote mlipo

Ndugu zangu haijalishi kwamba mwanamke kwenye maisha ya mwanaume ni msafiri na safari yake ikifika mwisho ana kubwaga pasi na sababu yeyote na kwenda kwa mwingine epuka sonona acha kukataa kuishi na mwanamke

Ukweli ni kwamba wanaume wengi wanaokataa kuoa , wanajiweka upande wa kukataa kuishi na wanawake wanapitia sonona kali sana iliyopiga maisha yao kisawasawa japo hawataki kuweka wazi jambo hili

Wanaume wasiotaka kuoa wanaogopa wanawake kwa kisingizio cha kwamba hakuna mwanamke wa kuoa kumbe ni kujilinda na mfadhaiko wa akili alioupata kutoka kwa mwanamke wake aliyempiga na kitu kizito sana na kumpelekea apate shida sana ya kupata mwanamke mpya.

Mwanaume anayekataa kuishi na mwanamke ameshawahi kupitia taabu nyingi na dhiki kali ya kimaisha ikiwemo kurudi nyuma kiuchumi na kiafya, hali kadhalika kumpa matatizo au changamoto katika utekelezaji wa majukumu yake ya kila siku baada ya kuachwa na huyo aliyekua anampenda na kuona ndiye malaika wake kwenye maisha ya ujana wake

Kataa ndoa wengi wanachelewa kulala na wanawahi kuamka mapema alfajiri pasi na sababu zozote za msingi, atachelewa kulala akidai alikua anaangalia movie, mara mpira au anacheza game, wengine watasema walikua bar wanakula maisha na watoto wazuri kumbe ni msongo mkali wa mawazo unao mkabili kwa kushindwa kumsahau yule x-wake aliye mgaramia sana na kuona wanawake wote ni wabaya, mwanaume kapoteza mwelekeo japo anashindwa kuweka wazi ili tumnusuru huko alipo naswa aweze kusonga mbele.

Wanaume wengi wanaopinga kuoa mara zote wanahis uchovu, wengine watasingizia ni majukumu, wengine watasingizia kimoyo moyo labda ni vile amepanda mnazi usiku kucha, mwingine atasema ni vile anakesha kulewa kumbe shida yake ni msongo makali sana wa mawazo alio nao vile akifikiria ni jinsi gani atapata mwenza mpya wa kudumu nae.

Wanaume wa disampuni hii wengi wao wamepoteza hamu ya kula , mchana utamuona akishinda anakunywa soda, energy drink au machungwa huwezi kumuona anakula chakula cha maana , yote hayo ni udhaifu ulioadhiri akili yake na kumfanya aone hata chakula hakina maana. atakua tuu anasingizia nitakula usiku.

Wanaume wanaokataa ndoa wengi wao wanawaza sana kujinyonga hasa hasa pale anapompata mwenza mpya na akapigwa na kitu kizito tena kichwani

Wanaokata kuishi na wanawake wamepoteza muelekeo na kuona wao ni wakushindwa tuu, muda mwingi anafikiria kwamba bado atashindwa kupata mwanamke sahihi hivyo anaamua kujiingiza kwenye magenge ya wahuni, wengine wanashinda bar wakitoka kazini, wengine kwenye vijiwe vya kahawa na wengine kwenye ma pool table, huko utakuta wamejazana ila mioyoni mwao kila mtu anaugua sonona kivyake na hataki kusema.

Wanaume wanaugua sonona kali hawataki kuoa wanashinda kwenye vichochoro magenge kwa magenge, mitoni na maeneo yaliyojificha wengine wanajificha maghetoni hakika hii ni dhiki kuu, wengine wanaenda kunyanyua matairi ya pikipiki wakidai wanakata upepo kumbe wanakata uhai wao. Nyie msiotaka kuoa tokeni nje ongeeni na wazee wenye heshima zao ndugu zangu hiyo sonona itawatafuna

Wanaume wezangu hata kama uliishi na mwanamke akawa nyoka kwako bado wanawake wema wapo, hata kama uligharamia mwanamke akakukimbia ingali umeshalipa mahari amini ni Mungu anakuepusha huyo hakua wako, wanaume wezangu wanawake wema wapo hatakama hutaki kufunga ndoa basi usikatae kuishi na mwanamke na kama umekua domo zege baada ya kubamizwa na hawa viumbe wewe jichanganye tuu mtaani ipo siku utatongozwa hata wewe ushindwe mwenyewe kumalizia
Una huburi, unaponda, unatia huruma mwenyewe, unazunguka na content kama yalivyo majira ya wanawake. Women are objects and we're meant to be objects by God himself so to speak. Tunawandua, tunawapa mimba, tunawapa mtani wa maisha mazuri wakae na watoto. Kama hukojoi pazuri lazima uwe chizi na utawaza kuoa, jifunze kukojoa pazuri hutawaza huo ujinga unaitwa kuoa.

Kuoa ni ufala kuoa ni adui wa maendeleo ya uchumi wa kibepari
 
Unajifariji tu hapo. Ila ukweli unao moyoni. Expectations zako za kwenye ndoa tofauti na reality baada ya kuingia.

Ndoa ni kama mkataba tu mwingine. Kama wa nyumba, kuuziana kiwanja au kazi. Kuna mmoja lazima afaidike na mkataba na mwingine anyonywe.

Sijui kwenye ndoa zetu nani loser na nani ana hainy, ila kimoyo kimoyo utaona tu. Kama unavomuoa alikua 58kg sahivi 75kg+ jibu lipo obviously.

No hard feelings.
 
Back
Top Bottom