Adhabu hii ni kali sana nyie wanaume!!!

kaka ni bongo hí hii. Sijategemea kama watu wanaweza kuwa na roho mbaya hvyo. Dah!

SIKU UKIKUTA MKEO KAKUNJWA HATA KWENYE KASHA LA KIBERITI ANAINGIA NDO UTAKATA KICHWA ACHA MASHINE! AF MTU KAOLEWA HATOSHEKI MPAKA AENDE MITAANI! KAMA UNAJIJUA UNAPEPO LA NGONO BORA UTULIE TUU USIOLEWE KHAAA

Moshi huko kibosho walimkamata wakamuingizia spok ya baiskeli kwenye uume mpaka leo nikikumbuka nasisimka lool

Husninyo, na bibiye aliyekua akijivinjari na aliyekatwa mdudu wake ikawaje? (kama ulidodosa)

Wewe utafanya nini ukimshudia mkeo anapigishwa mswaki wanyama na kukunjwa kama lingi huku akisuuzwa kisawasawa?

Mapenzi yanaRun Dunia..........

Siku yangu ya leo imeharibika sana baada ya kushuhudia mwanaume mmoja akiletwa hospitali akiwa amekatwa uume baada ya kufumaniwa!
Jamani nyie wanaume hivi hiyo ni adhabu inayostahili kweli?
Unajisikiaje kumbakisha mwenzio na kipisi!? Hivi hapo nani mwenye kosa kisheria? Aliyemkata mwenzio kifaa au aliyefumaniwa?
dah! uskuje tena gesti kesho! hii sredi imekata mzuka wote

Hodi. Kuendekeza ngono ni vibaya sana yaan mtu anaact kama mnyama .ni mbaya sana hii.

Jamani vijana jaribuni kufanya uchunguzi kabla ya kujirusha na mijimama ambayo tayari imefanyiwa investment na waume zao.

Matokeo yake ni madhara makubwa kama hayo.

Busara zangu zimeyeyuka ghafla nikifikiria hy kt imekatika dah watu makatili Duniani humu

yaani! Hebu imagine huyo jamaa angekuwa mmeo anarudi nyumbani hana kidude!mmh.

Siku yangu ya leo imeharibika sana baada ya kushuhudia mwanaume mmoja akiletwa hospitali akiwa amekatwa uume baada ya kufumaniwa!
Jamani nyie wanaume hivi hiyo ni adhabu inayostahili kweli?
Unajisikiaje kumbakisha mwenzio na kipisi!? Hivi hapo nani mwenye kosa kisheria? Aliyemkata mwenzio kifaa au aliyefumaniwa?

OMG! Alikua tu katulia?? ilikuaje jamani... Dah!

Husninyo, na bibiye aliyekua akijivinjari na aliyekatwa mdudu wake ikawaje? (kama ulidodosa)

dah! Hata sikupata muda wa kudodosa zaidi. Ile jamaa baada ya kukatwa akaambiwa aende zake.

Wee Husny taratibu Khaa! Badala ya kusikitika umenifanya nicheke....lol

hahahaha! Je ungemuona huyo mtu mwenyewe si ndio ungefuka kwa kicheko!
Mi nilijua mtu mzima ametoka kutahiriwa kumbe kimenuka.lol.

kule mtwara ufumaniwi wala nn. Ila unanasiana kama mbwa wanavyojigjig mpaka mwenye mzigo aje ndo unachomoka
kitu "tego" .....sijawahi shuhudia huwa nasikia, it seems huwa inatokea kiukweli...

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom