Mnyepe Boy
Senior Member
- Apr 17, 2013
- 101
- 15
trh 1 kwan we ndo ndalichako,2shachoka na kuotea kwen
Nasubiri one yangu tu! Porojo za nini sina presha wala nini!
usiishi kwa mazoea...kila siku si jumanne!! kuwa mpole..kesho ndo kinanuka...just like last yr
hicho ni kichwa bado moyo haujaanza!!!:mmph:kichwa kinaniuma vbaya mno kila mda unavyozd kwenda mbele
Nasubiri one yangu tu! Porojo za nini sina presha wala nini!
keep trustng hop advanc students were grown enough and they what they hv dd there.. Copard 2those form4 smtmz i cal them kids coz they were not grown enough.. We hop the results wl b gud 2we na subira
Duh watu wanadharau 3 wakati ndio imenifanya niingie nayo na kugonga first class,anhaa nimekumbuka issue sio umeingia na nini sema umetoka na nini?watu kama nyie huwa mmesoma H kunani... Then mnaishia kupata div 3