Haya ndio maboresho ya Mtaala wa Elimu yanayoenda kufanyika Tanzania katika jitihada za kuboresha Elimu

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,598
17,735
HAYA NDO MABORESHO YA MTAALA WA ELIMU YANAYOENDA KUFANYIKA TANZANIA KATIKA JITIHADA ZA KUBORESHA ELIMU
Habari za mchana WanaJF

Katika kuboresha elimu, Hivi karibuni serikali ilitangaza mabadiliko ya Kisera Na marekebisho ya Mitaala na baadhi ya Sheria ili Elimu iweze kuenda sawa na Sayansi na Technoljia ya Dunia..

Haya hapa chini ni baadhi ya Maboresho yanayoenda kufanyika Katika Elimu ya Msingi, Elimu ya Secondary, Elimu ya Juu ya Sekondary na Ualimu.

SHULE YA MSINGI
  • Elimu ya Awali itaanza mtoto akiwa na umri wa miaka 5
  • Elimu ya Msingi itakuwa miaka 6 yaani mwisho Darasa la sita tofauti na sasa miaka 7..
  • Kutakuwa na Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la sita kabla ya kuingia Form one (Standard six National Assesment)
  • Mtihani wa Kumaliza Shule ya Msingi Utafutwa na hivyo mwanafunzi atakayeanza Darasa la kwanza atalazimika kusoma mpaka kidato cha nne
  • Masomo ya elimu ya Msingi yatakuwa
    • KKK (kusoma,Kuhesabu na kuandika),
    • Jiografia
    • Kiswahili
    • Sanaa na michezo,
    • Hisabati
    • Sayansi
    • Historia ya Tanzania na Maadili,
    • Dini
    • Kingereza
    • Stadi za kazi...
  • Lugha ya kufundishia au kujifunza itakuwa Kiswahili Huku English ikiwa ni somo kwa Shule za kawaida (Kiswahili medium) na Vivyo hivyo Kiswahili kitakuwa kama Somo kwenye shule ya English medium na English kama lugha ya kufundishia.
  • Kingereza (English) kitafundishwa kuanzia Darasa la kwamza kwa shule za kiswahili na kiswahili kitafundishwa Kuanzia Darasa la kwanza kwa shule za English medium.
  • Shule zenye uwezo zitafundisha walau somo moja la lugha za kigeni mfano Kichina, Kifaransa, Kiarabu nk.
  • Maarifa ya Jamii na Uraia na maadili Vitafutwa kwa sababu maudhui yake Yameingia kwenye somo Jipya la Historia ya Tanzania na Maadili.
Ziada ni kuwa Coding itaanza kundishwa shule ya msingi

SHULE ZA UPILI (SECONDARY)
  • Mwanafunzi ataingia kidato cha kwanza mara baada ya kumaliza Darasa la sita na kufanya mtihani wa Kuassesiwa..
  • Mwanafunzi atatakiwa asome fani fulani kabla hajamaliza kidato cha nne ili kumuwezesha kujiajiri au kuajiriwa pindi anapomaliza Shule.
  • Elimu ya Secondary itakuwa na mikondo miwili tu Mkondo wa Amali (ufundi) na mkondo wa masomo ya Jumla (Masomo ya kawaida)
  • Mwanafunzi atachagua mkondo kulingana na uwezo wake na matarajio yake ya baadae..
  • mkondo wa amali utakuwa na Masomo ya ufundi na mfano wake ni kama..
    • Kilimo na ufugaji
    • Umakenika
    • Biashara na ujasiriamali
    • Sanaa na ubunifu
    • Elimu ya michezo
    • Ufugaji wa nyuki
    • uchimbaji wa madini
    • Urembo
  • Mwanafunzi wa mkondo wa amali atatakiwa kuchukua walau masomo manne (4) ya masomo ya jumla na somo moja kwenye masomo ya Amali..
  • Masomo ya jumla kwa wanafunzi wa amali (Ambayo ni lazma)
    • Hisabati
    • Elimu ya Biashara
    • Kingereza
    • Historia ya Tanzania na maadili..
  • Wahitimu wa Mkondo wa amali watapata vyeti viwili
    • Cheti cha kumaliza elimu ya Msingi (CSEE) kutoka NECTA..
    • Cheti cha mafunzo ya ufundi kutoka NACTVET
  • kila shuke itakuwa na wakala wa VETA ili kusimamia Ubora wa maswala ya ufundi..
  • kila shule haitakuwa na mikondo zaidi ya miwili ya ufundi (masomo amali) hii ni kwa ajili ya ufanisi wa fani zinazotolewa ili iendane na eneo husika kwa ubora wa hali ya juu
  • Somo la Civics Litafutwa na litaunganishwa kwenye Historia ya Tanzania na Maadili.
  • Masomo ya lazma yakakuwa 6 badala ya saba ya sasa..
  • Masomo ya Biology, Geography, yatakuwa masomo ya kuchagua kama ilivyokuwa kwa physics na Chemistry kwa sababu maudhui yake yake yamekuwa kwenye masomo jiographia na sayansi ya shule ya msingi, kwa mfno afya ya jamii, afya ya uzazi na magonjwa ambukizi..nk
  • Michepuo katika elimu ya Olevel imeongezeka kutoka michepuo 4 hadi Tisa michepuo iliyoongezeka ni ..
    • Sanaa
    • Lugha
    • Muziki
    • Michezo
    • TEHAMA
  • Masomo ya Olevel (Ya jumla) yatakuwa.
    • Biology
    • Physics
    • Chemistry
    • History
    • Geography
    • Historia ya Tanzania Na maadili
    • Hisabati
    • Kiswahili
    • English
    • Elimu ya Biashara (Commerce)
    • Utunzaji wa Taarifa za fedha (Book keeping)
    • Computer science
    • ELimu ya Dini (Maarifa ya dini ya kiislamu ,Bible knowledge etc)
  • information and computer studies (ICS) itabadilishwa na kuitwa computer science (somo limesukwa upya)
ADVANCE (ELIMU YA JUU YA SECONDARY NA UALIMU)
  • General Studies G.S Imefutwa kwa sababu maudhui yake yapo katika somo la Historia ya Tanzania na maadili na somo la Mawasiliano ya kitaaluma
  • Kutanzishwa somo jipya la mawasiliano ya kitaaluma (Academics communication) Hii ni kwa wote Advance na Ualimu
  • Astashahada (cheti) ya ualimu itafutwa Rasmi kisha kutabaki na diplom ya ualimu katika nyanja zifuatazo(Diploma ya elimu ya awali, Diploma ya elimu ya msingi, Diploma ya Elimu makundi maalumu)
  • Vyuo vilivyokuwa vinatoa Astashahada (Cheti) na stashahada ya elimu kwa ujumla (Diploma isio na specification) vitatumika Kutoa Continuos Proffesional Developmemts (CPD).
  • Walimu Wa sekondari wote Watatakiwa kuwa ni wale walimaliza shahada tu.
  • Na watakaosoma Shahada ya Elimu ni wale tu waliomaliza kidato cha sita na shahada hiyo itasomwa kwa miaka miwili.
Asante...

Haya ni masomo kwa mujibu wa Rasimu Ya Elimuu..
 
Attachments

  • Rasimu ya Mitaala ya Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari na Ualimu 2023.pdf
    1.7 MB · Views: 19
Sasa itakuwaje kwa sisi Tuliosoma Diploma na Tunafundisha Secondary Mkuu au ndo tutapata RIDANDASII
Kwakweli hapo sijajua Tusubiri mpaka Implementation ya Hiyo Sera na Sheria zake zianze kufanya kazi ..
Ila ili uwe katika sehemu salama bado una muda omba kwenda kusoma ukajipigie jiwe lako ukirudi 2027 sera inakukuta na Jiwe lako.
 
Ila bado muda wa Elimu yamsingi muda ni mkubwa sana ilitakuwa kuwa miaka saba tuu au nane ! Sijaona mabadiliko yeyote hapa ..ilitakiwa kuanzia la kwanza hadi la nane iwe imecover hadi form four au la kwanza hadi la 10 iwe imecover hadi form six hivyo akitoka hapo ana kwenda chuo au ufundi! Maana yake tungefata mfumo wa Kenya!

Halafu bado tuna shida kwenye lugha ya kufundishia na lugha ya kuwapima watu au kuwasaili ! Nilitegemea Wizara ichukue uamuzi Mgumu kuanza kutumia lugha ya kingereza kufundishia mashuleni halafu kiswahili liwe somo la lazima!

Halafu nilichopenda ni kada ya Ualimu kuchukuliwa kwa Userious mkubwa sana sana. Kwani ni vyema walimu wapatikane kwa kupimwa kama Kada nyingine zozote. Walimu naoa wafanyiwe usaili kama wengine.
 
Ila bado muda wa Elimu yamsingi muda ni mkubwa sana ilitakuwa kuwa miaka saba tuu au nane ! Sijaona mabadiliko yeyote hapa ..ilitakiwa kuanzia la kwanza hadi la nane iwe imecover hadi form four au la kwanza hadi la 10 iwe imecover hadi form six hivyo akitoka hapo ana kwenda chuo au ufundi! Maana yake tungefata mfumo wa Kenya!

Halafu bado tuna shida kwenye lugha ya kufundishia na lugha ya kuwapima watu au kuwasaili ! Nilitegemea Wizara ichukue uamuzi Mgumu kuanza kutumia lugha ya kingereza kufundishia mashuleni halafu kiswahili liwe somo la lazima!

Halafu nilichopenda ni kada ya Ualimu kuchukuliwa kwa Userious mkubwa sana sana…..kwani ni vyema walimu wapatikane kwa kupimwa kama Kada nyingine zozote…..! Walimu naoa wafanyiwe usaili kama wengine
Hapo walipoua kiswahili kama Somo kwa shule ya kawaida ndo wameniacha hoi hapa tu Vijana wengine hawjui kuandika kiswahili na ndo wanafundishwa kiswahili vipi likifutwa?
Tunatengeneza boom mbeleni..
 
HAYA NDO MABORESHO YA MTAALA WA ELIMU YANAYOENDA KUFANYIKA TANZANIA KATIKA JITIHADA ZA KUBORESHA ELIMU
Habari za mchana Wanajf

Katika kuboresha elimu, Hivi karibuni serikali ilitangaza mabadiliko ya Kisera Na marekebisho ya Mitaala na baadhi ya Sheria ili Elimu iweze kuenda sawa na Sayansi na Technoljia ya Dunia..

Haya hapa chini ni baadhi ya Maboresho yanayoenda kufanyika Katika Elimu ya Msingi, Elimu ya Secondary ,Elimu ya Juu ya Sekondary na Ualimu...

SHULE YA MSINGI
  • Elimu ya Awali itaanza mtoto akiwa na umri wa miaka 5
  • Elimu ya Msingi itakuwa miaka 6 yaani mwisho Darasa la sita tofauti na sasa miaka 7..
  • Kutakuwa na Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la sita kabla ya kuingia Form one (Standard six National Assesment)
  • Mtihani wa Kumaliza Shule ya Msingi Utafutwa na hivyo mwanafunzi atakayeanza Darasa la kwanza atalazimika kusoma mpaka kidato cha nne
  • Masomo ya elimu ya Msingi yatakuwa
    • KKK (kusoma,Kuhesabu na kuandika),
    • Jiografia
    • Kiswahili
    • Sanaa na michezo,
    • Hisabati
    • Sayansi
    • Historia ya Tanzania na Maadili,
    • Dini
    • Kingereza
    • Stadi za kazi...
  • Lugha ya kufundishia au kujifunza itakuwa Kiswahili Huku English ikiwa ni somo kwa Shule za kawaida (Kiswahili medium) na Vivyo hivyo Kiswahili kitakuwa kama Somo kwenye shule ya English medium na English kama lugha ya kufundishia.
  • Kingereza (English) kitafundishwa kuanzia Darasa la kwamza kwa shule za kiswahili na kiswahili kitafundishwa Kuanzia Darasa la kwanza kwa shule za English medium..
  • Shule zenye uwezo zitafundisha walau somo moja la lugha za kigeni mfano kichina,kifaransa,Kiarabu nk.
  • Maarifa ya Jamii na Uraia na maadili Vitafutwa kwa sababu maudhui yake Yameingia kwenye somo Jipya la Historia ya Tanzania na Maadili.
Ziada ni kuwa Coding itaanza kundishwa shule ya msingi

SHULE ZA UPILI (SECONDARY)
  • Mwanafunzi ataingia kidato cha kwanza mara baada ya kumaliza Darasa la sita na kufanya mtihani wa Kuassesiwa..
  • Mwanafunzi atatakiwa asome fani fulani kabla hajamaliza kidato cha nne ili kumuwezesha kujiajiri au kuajiriwa pindi anapomaliza Shule.
  • Elimu ya Secondary itakuwa na mikondo miwili tu Mkondo wa Amali (ufundi) na mkondo wa masomo ya Jumla (Masomo ya kawaida)
  • Mwanafunzi atachagua mkondo kulingana na uwezo wake na matarajio yake ya baadae..
  • mkondo wa amali utakuwa na Masomo ya ufundi na mfano wake ni kama..
    • Kilimo na ufugaji
    • Umakenika
    • Biashara na ujasiriamali
    • Sanaa na ubunifu
    • Elimu ya michezo
    • Ufugaji wa nyuki
    • uchimbaji wa madini
    • Urembo
  • Mwanafunzi wa mkondo wa amali atatakiwa kuchukua walau masomo manne (4) ya masomo ya jumla na somo moja kwenye masomo ya Amali..
  • Masomo ya jumla kwa wanafunzi wa amali (Ambayo ni lazma)
    • Hisabati
    • Elimu ya Biashara
    • Kingereza
    • Historia ya Tanzania na maadili..
  • Wahitimu wa Mkondo wa amali watapata vyeti viwili
    • Cheti cha kumaliza elimu ya Msingi (CSEE) kutoka NECTA..
    • Cheti cha mafunzo ya ufundi kutoka NACTVET
  • kila shuke itakuwa na wakala wa VETA ili kusimamia Ubora wa maswala ya ufundi..
  • kila shule haitakuwa na mikondo zaidi ya miwili ya ufundi (masomo amali) hii ni kwa ajili ya ufanisi wa fani zinazotolewa ili iendane na eneo husika kwa ubora wa hali ya juu
  • Somo la Civics Litafutwa na litaunganishwa kwenye Historia ya Tanzania na Maadili.
  • Masomo ya lazma yakakuwa 6 badala ya saba ya sasa..
  • Masomo ya Biology, Geography, yatakuwa masomo ya kuchagua kama ilivyokuwa kwa physics na Chemistry kwa sababu maudhui yake yake yamekuwa kwenye masomo jiographia na sayansi ya shule ya msingi, kwa mfno afya ya jamii, afya ya uzazi na magonjwa ambukizi..nk
  • Michepuo katika elimu ya Olevel imeongezeka kutoka michepuo 4 hadi Tisa michepuo iliyoongezeka ni ..
    • Sanaa
    • Lugha
    • Muziki
    • Michezo
    • TEHAMA
  • Masomo ya Olevel (Ya jumla) yatakuwa.
    • Biology
    • Physics
    • Chemistry
    • History
    • Geography
    • Historia ya Tanzania Na maadili
    • Hisabati
    • Kiswahili
    • English
    • Elimu ya Biashara (Commerce)
    • Utunzaji wa Taarifa za fedha (Book keeping)
    • Computer science
    • ELimu ya Dini (Maarifa ya dini ya kiislamu ,Bible knowledge etc)
  • information and computer studies (ICS) itabadilishwa na kuitwa computer science (somo limesukwa upya)

ADVANCE (ELIMU YA JUU YA SECONDARY NA UALIMU)

  • General Studies G.S Imefutwa kwa sababu maudhui yake yapo katika somo la Historia ya Tanzania na maadili na somo la Mawasiliano ya kitaaluma
  • Kutanzishwa somo jipya la mawasiliano ya kitaaluma (Academics communication) Hii ni kwa wote Advance na Ualimu
  • Astashahada (cheti) ya ualimu itafutwa Rasmi kisha kutabaki na diplom ya ualimu katika nyanja zifuatazo(Diploma ya elimu ya awali, Diploma ya elimu ya msingi ,Diploma ya Elimu makundi maalumu)
  • Vyuo vilivyokuwa vinatoa Astashahada (Cheti) na stashahada ya elimu kwa ujumla (Diploma isio na specification) vitatumika Kutoa Continuos Proffesional Developmemts (CPD)..
  • Walimu Wa sekondari wote Watatakiwa kuwa ni wale walimaliza shahada tu.
  • Na watakaosoma Shahada ya Elimu ni wale tu waliomaliza kidato cha sita na shahada hiyo itasomwa kwa miaka miwili..
Asante...
Historia ya Tanzania ndiyo lile somo la historia ya mzalendo mwendazake?
 
Mkuu maboresho haya ni kwa vijana watakaoanza shule mwaka huu na walio daras la Tatu....
Mkuu kuna shida gani umekosa Boom
Ndo nasema hayo maboresho yana maana gani iwapo vijana wananyimwa fursa ya kusoma vyuo vikuu huku matrilioni ya pesa yakifisadiwa na majizi wachache.
 
Hapo kwenye shahada ya elimu; nadhani wafanye review na kulinganisha na mitaala ya kimataifa. Muda huo (wa miaka miwili) ni mdogo ukilinganisha na "units" wanazotakiwa kucover kabla hawajahitimu. Kama wangetunukiwa "higher diploma", huenda ingewezekana kucover ndani ya miaka miwili, lakini kwa kiwango cha shahada, inabidi wasome angalau miaka mitatu hata kama wametokea kidato cha sita. Vinginevyo, shahada hiyo (ya miaka miwili) haitakuwa recognized mahala pengine (kimataifa), kwani itaonekana shallow (less units).
 
Kwakuwa mtaala wote umebadilishwa huenda unit zingine zitakuwa kwenye Masomo ya Advance na ndo maana wamesema kuwa huruhusiwi kusoma Bachelor kama hujapita advamce
 
Hongera sana Mhe.Rais, utazalisha walimu vipanga kweli kweli , kutakuwa hakuna ujanja ujanja wa kuunga unga vyeti ili mtu awe mwalimu.

Sasa naona thamani ya ualimu itakuwa kubwa, bila kupita kidato Cha sita hakuna kusoma shahada ya elimu ili kufundisha sekondari.
Hapa heshima ya walimu kidgo itarudi
 
HAYA NDO MABORESHO YA MTAALA WA ELIMU YANAYOENDA KUFANYIKA TANZANIA KATIKA JITIHADA ZA KUBORESHA ELIMU
Habari za mchana WanaJF

Katika kuboresha elimu, Hivi karibuni serikali ilitangaza mabadiliko ya Kisera Na marekebisho ya Mitaala na baadhi ya Sheria ili Elimu iweze kuenda sawa na Sayansi na Technoljia ya Dunia..

Haya hapa chini ni baadhi ya Maboresho yanayoenda kufanyika Katika Elimu ya Msingi, Elimu ya Secondary, Elimu ya Juu ya Sekondary na Ualimu.

SHULE YA MSINGI
  • Elimu ya Awali itaanza mtoto akiwa na umri wa miaka 5
  • Elimu ya Msingi itakuwa miaka 6 yaani mwisho Darasa la sita tofauti na sasa miaka 7..
  • Kutakuwa na Upimaji wa Kitaifa wa Darasa la sita kabla ya kuingia Form one (Standard six National Assesment)
  • Mtihani wa Kumaliza Shule ya Msingi Utafutwa na hivyo mwanafunzi atakayeanza Darasa la kwanza atalazimika kusoma mpaka kidato cha nne
  • Masomo ya elimu ya Msingi yatakuwa
    • KKK (kusoma,Kuhesabu na kuandika),
    • Jiografia
    • Kiswahili
    • Sanaa na michezo,
    • Hisabati
    • Sayansi
    • Historia ya Tanzania na Maadili,
    • Dini
    • Kingereza
    • Stadi za kazi...
  • Lugha ya kufundishia au kujifunza itakuwa Kiswahili Huku English ikiwa ni somo kwa Shule za kawaida (Kiswahili medium) na Vivyo hivyo Kiswahili kitakuwa kama Somo kwenye shule ya English medium na English kama lugha ya kufundishia.
  • Kingereza (English) kitafundishwa kuanzia Darasa la kwamza kwa shule za kiswahili na kiswahili kitafundishwa Kuanzia Darasa la kwanza kwa shule za English medium.
  • Shule zenye uwezo zitafundisha walau somo moja la lugha za kigeni mfano Kichina, Kifaransa, Kiarabu nk.
  • Maarifa ya Jamii na Uraia na maadili Vitafutwa kwa sababu maudhui yake Yameingia kwenye somo Jipya la Historia ya Tanzania na Maadili.
Ziada ni kuwa Coding itaanza kundishwa shule ya msingi

SHULE ZA UPILI (SECONDARY)
  • Mwanafunzi ataingia kidato cha kwanza mara baada ya kumaliza Darasa la sita na kufanya mtihani wa Kuassesiwa..
  • Mwanafunzi atatakiwa asome fani fulani kabla hajamaliza kidato cha nne ili kumuwezesha kujiajiri au kuajiriwa pindi anapomaliza Shule.
  • Elimu ya Secondary itakuwa na mikondo miwili tu Mkondo wa Amali (ufundi) na mkondo wa masomo ya Jumla (Masomo ya kawaida)
  • Mwanafunzi atachagua mkondo kulingana na uwezo wake na matarajio yake ya baadae..
  • mkondo wa amali utakuwa na Masomo ya ufundi na mfano wake ni kama..
    • Kilimo na ufugaji
    • Umakenika
    • Biashara na ujasiriamali
    • Sanaa na ubunifu
    • Elimu ya michezo
    • Ufugaji wa nyuki
    • uchimbaji wa madini
    • Urembo
  • Mwanafunzi wa mkondo wa amali atatakiwa kuchukua walau masomo manne (4) ya masomo ya jumla na somo moja kwenye masomo ya Amali..
  • Masomo ya jumla kwa wanafunzi wa amali (Ambayo ni lazma)
    • Hisabati
    • Elimu ya Biashara
    • Kingereza
    • Historia ya Tanzania na maadili..
  • Wahitimu wa Mkondo wa amali watapata vyeti viwili
    • Cheti cha kumaliza elimu ya Msingi (CSEE) kutoka NECTA..
    • Cheti cha mafunzo ya ufundi kutoka NACTVET
  • kila shuke itakuwa na wakala wa VETA ili kusimamia Ubora wa maswala ya ufundi..
  • kila shule haitakuwa na mikondo zaidi ya miwili ya ufundi (masomo amali) hii ni kwa ajili ya ufanisi wa fani zinazotolewa ili iendane na eneo husika kwa ubora wa hali ya juu
  • Somo la Civics Litafutwa na litaunganishwa kwenye Historia ya Tanzania na Maadili.
  • Masomo ya lazma yakakuwa 6 badala ya saba ya sasa..
  • Masomo ya Biology, Geography, yatakuwa masomo ya kuchagua kama ilivyokuwa kwa physics na Chemistry kwa sababu maudhui yake yake yamekuwa kwenye masomo jiographia na sayansi ya shule ya msingi, kwa mfno afya ya jamii, afya ya uzazi na magonjwa ambukizi..nk
  • Michepuo katika elimu ya Olevel imeongezeka kutoka michepuo 4 hadi Tisa michepuo iliyoongezeka ni ..
    • Sanaa
    • Lugha
    • Muziki
    • Michezo
    • TEHAMA
  • Masomo ya Olevel (Ya jumla) yatakuwa.
    • Biology
    • Physics
    • Chemistry
    • History
    • Geography
    • Historia ya Tanzania Na maadili
    • Hisabati
    • Kiswahili
    • English
    • Elimu ya Biashara (Commerce)
    • Utunzaji wa Taarifa za fedha (Book keeping)
    • Computer science
    • ELimu ya Dini (Maarifa ya dini ya kiislamu ,Bible knowledge etc)
  • information and computer studies (ICS) itabadilishwa na kuitwa computer science (somo limesukwa upya)
ADVANCE (ELIMU YA JUU YA SECONDARY NA UALIMU)
  • General Studies G.S Imefutwa kwa sababu maudhui yake yapo katika somo la Historia ya Tanzania na maadili na somo la Mawasiliano ya kitaaluma
  • Kutanzishwa somo jipya la mawasiliano ya kitaaluma (Academics communication) Hii ni kwa wote Advance na Ualimu
  • Astashahada (cheti) ya ualimu itafutwa Rasmi kisha kutabaki na diplom ya ualimu katika nyanja zifuatazo(Diploma ya elimu ya awali, Diploma ya elimu ya msingi, Diploma ya Elimu makundi maalumu)
  • Vyuo vilivyokuwa vinatoa Astashahada (Cheti) na stashahada ya elimu kwa ujumla (Diploma isio na specification) vitatumika Kutoa Continuos Proffesional Developmemts (CPD).
  • Walimu Wa sekondari wote Watatakiwa kuwa ni wale walimaliza shahada tu.
  • Na watakaosoma Shahada ya Elimu ni wale tu waliomaliza kidato cha sita na shahada hiyo itasomwa kwa miaka miwili.
Asante...
Hakuna kitu hapo sisiemu nini tu elimu ya msingi ilitakiwa kuongezwa darasa moja iwe mpaka darasa la 8 ambayo ingekuwa sawa na form 2 ya sasa secondary miaka 4 kisha chuo hiyo secondar zote ziunganishwe .

Primary ibebe hadi kidato cha pili
Secondary ibebe hadi kidato3 cha 6
Hivyo pawe na daraja 3
 
Back
Top Bottom