Aaagh..Huyu mwanaume vip jamani??

Ni handsome wa ukweli ,msomi na ana kazi nzuri tu Lakini sijajua nia na lengo lake kwa kina dada .(kuwakanyagisha miwaya or?
Kanunua engagement ring nzuri sana na ya thamani kubwa .........
Tabia zake ni hizi....
Anafanya uchunguzi wapi kuna msichana mrembo mwenye sifa zote na mwenye kazi nzuri au biashara ambaye si tegemezi ,anamvika pete na Kuhamia kwa mwanamke
Akimchoka tu anaanzisha visa na anamnyang'anya Pete G/F na kuanza harakati zake za kutafuta mwingine , imekuwa ni kawaida na tabia yake!
Hii Pete yake imeshavaliwa na kina dada wengi mwisho wao ni kuachwa .
Kina dada please tuweni makini na baadhi ya wanaume wa aina hii ,anakuja kwako anajifanya anakupenda anachanganyikiwa akidanganya bila ww anaona kama mshale wa maisha yake umestop
kumbe moyoni ana jambo zito amepanga juu yako .
asije kuingia JF :hand:

Na nyie mabinamu huyu mwenzenu ana pepo gani???

Based on true story !
Anaishi mkoa gani ili niwashtue mashoga zangu wasije kuvaliwa?
 
Huyo ndo wale waamerika wawaita "P L A Y E R S" , Poleni kina dada, safari hiiii Mhhhhh, sijui nani atamvika KENGELE!!, Kwa kupenda kwenu mambo Artificial, mbona Hampendi vijana wako tele wasio na macheni ya dhahabu lakini mapenzi ya kweli??????.
 
Halafu sijui ndie huyu niliyekutana nae juzi kati.
Kuonana tu ananitangazia ndoa.
Kha!
 
:A S 13::A S 13:God Forbid.....tuwe makini jamani,dunia imejaa matapeli.....ila tuwe pia tunachukua muda kuwafahamu hawa viumbe......kabla ya kuwaruhusu kuwa sehemu ya maisha yetu kila siku kwa kuishi nao na kuwapa heshima zote.....
 
...imagine?! lakini anawapata hao wajinga 'wajinga wenziwe' walio desparate kuvishwa engagement ring, kumbe mwenzao ana cheki standards kama 'mwakilishi mkaazi wa "TBS" '. I wish watu kama hawa mngekuwa mnawaweka hadharani;

cheater_sign_m.jpg
HUYU sio breadwinner katika family,nadhani partner wake ndio anavaa suruali maana itakuwaje mwanamume rijal ubebeshwe bango?
 
HUYU sio breadwinner katika family,nadhani partner wake ndio anavaa suruali maana itakuwaje mwanamume rijal ubebeshwe bango?

Kuna watu wanacheat sio khawawapendi wenzao bali ni hulka tu, sasa inapokuja kwamba either ubebe bango au mimi na wewe basi anachagua kubeba bango cause hayuko tayari kuachana na mwenzake. Sasa hapo kama mlikuwepo kwa kuoneana huruma bila mapenzi unafikiri mtu atabeba bango??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom