Aaagh..Huyu mwanaume vip jamani??

Duuu hili limtu lishindwe na lilegee!! Sijui kwa nini hawa wanaume wamegeuka wanyama hivi. Duuu kama unasoma hapa uache tabia yako, hakuna marefu yasiokuwa na ncha!! Jicho la Mungu linakuona na kuna siku utaipata freshi.

Mungu tulinde watoto wako wa kike!! Manake daa!!
Please.....sio wote!!!
 
Hajakosea kitu . Ni mdato wa akina dada tu .hawateki taimu kuchunguza mtu ali mradi kaja na gia ya kuoa. Akina dada msijirasishe kutapeliwa maana matapeli wapo tu .
 
mh!hii story inachefua!huyu mwanaume ni mchafuzi na ana sifa za kijinga

WiseLady mie ishanichosha najiuliza hivi huyu mgonjwa ,,kila mwanamke mnakaa pamoja jamaa linakumbuka hata protection kweli???
 
Ha haaaa!! Huyu jamaa ni noma i hp ana PEPO.
Vipi una uhakika ni the same PETE anayowavisha hao wadada??!!

Ni kweli Eng.Smasher mkigombana atahakikisha na pete yake umerudisha na ugomvi wake mkubwa lazima umkamate na kadate kengine ,kwa hasira hata pete utamtupia ,ama atakuomba nirudishie na ka pete kangu:wink2:
 
Mimi siwezi kumlaumu jamaa moja kwa moja ila swali kwa wadada unapokuwa unavalishwa pete maana yake unakuwa na uhakika na huyo mtu mpaka unakubali
 
Ni kweli Eng.Smasher mkigombana atahakikisha na pete yake umerudisha na ugomvi wake mkubwa lazima umkamate na kadate kengine ,kwa hasira hata pete utamtupia ,ama atakuomba nirudishie na ka pete kangu:wink2:

I hope anachagua kina dada wenye vidole vinavyolingana pia........
Ila nyie ladies msikimbilie sana hizi ndoa.....mnakimbia hadi mnasahau mnakoenda....
 
Acha tu mwenzangu Preta, mara wanyonge/waue mara wabake mara hivi na vile. Aaaaaaaaaah!!!!! Twende likizo ya kupenda wadada!!
Jamani jaribuni kumuundia tume huyo ana lake jambo.hv uchumba unamaana mpaka mduu?co ukichumbiwa hakuna kufanya mpaka mhalalishe ndoa?na vp ka mkiweka mcmamo wa kutotoa tundi inakuaje?
 
I hope anachagua kina dada wenye vidole vinavyolingana pia........
Ila nyie ladies msikimbilie sana hizi ndoa.....mnakimbia hadi mnasahau mnakoenda....
Mkuu wakiona fulani kaolewa halafu yeye miaka inaenda halafu dalili hazionekani akitokea jamaa halafu akaingia na gia ya kuvalisha pete ya uchumba na akafanya hivyo halafu wakachakachuana jamaa akimaliza shida yake anaanzisha ugomvi halafu anamnyang'anya pete huyo anasepa
 
Tatizo la wanawake au mabinti wa leo wanadata na ma HB, sa unakuta HB mwenyewe mtoto wa mama, anataka kulishwa, kunyweshwa na kuvishwa... ye ashike remote tu, kisa unapalilia ndoa.. Hapo anakuwa on the hunt for another victim... Sijui kwa nini hajisikii vibaya.
 
Huenda yupo humu ndani......
:A S-devil4:
Hajakosea kitu . Ni mdato wa akina dada tu .hawateki taimu kuchunguza mtu ali mradi kaja na gia ya kuoa. Akina dada msijirasishe kutapeliwa maana matapeli wapo tu .
kweli hili ni janga Mfamaji ila sijaielewa akili ya huyu jamaa naona elimu yake haimsaidii

Hapo hakuna protection.....
:rain::rain:
Hebu tuambie yukoje watoto wetu wasijeingia matatani bana

DA mishakwambia ni Bonge la HB sijui kama kina dada wanazimika na U HB wake or?
Kisha yuko na ile sura ya upole yaani akiwa anaongea utadhani Sijui ndo Malaika kashuka toka mbiguni
Na ile Physical appearance ni mkimya sana kumbe anatunga sheria zake chafu
Hahaha Wewe ukikutana nae angalia mambo haya
 
I hope anachagua kina dada wenye vidole vinavyolingana pia........
Ila nyie ladies msikimbilie sana hizi ndoa.....mnakimbia hadi mnasahau mnakoenda....

Walio Nje wanakimbilia Ndani, walio ndani wanataka kutoka nje...
 
:A S-devil4:

kweli hili ni janga Mfamaji ila sijaielewa akili ya huyu jamaa naona elimu yake haimsaidii

:rain::rain:

DA mishakwambia ni Bonge la HB sijui kama kina dada wanazimika na U HB wake or?
Kisha yuko na ile sura ya upole yaani akiwa anaongea utadhani Sijui ndo Malaika kashuka toka mbiguni
Na ile Physical appearance ni mkimya sana kumbe anatunga sheria zake chafu
Hahaha Wewe ukikutana nae angalia mambo haya
Aiseeeee!!!!!!!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom