Aaagh..Huyu mwanaume vip jamani??

Ni handsome wa ukweli ,msomi na ana kazi nzuri tu Lakini sijajua nia na lengo lake kwa kina dada .(kuwakanyagisha miwaya or?
Kanunua engagement ring nzuri sana na ya thamani kubwa .........
Tabia zake ni hizi....
Anafanya uchunguzi wapi kuna msichana mrembo mwenye sifa zote na mwenye kazi nzuri au biashara ambaye si tegemezi ,anamvika pete na Kuhamia kwa mwanamke
Akimchoka tu anaanzisha visa na anamnyang'anya Pete G/F na kuanza harakati zake za kutafuta mwingine , imekuwa ni kawaida na tabia yake!
...............i???

Based on true story !

Nani wa kulaumiwa? Nawaasa wadada waache tamaa ikiwa ni pamoja na FirstLady1! mmeona ni jinsi mtoa hoja alivyo na mtazamo wa tamaa (matamaniao ya kimwili na si kiroho) ambapo kwa ukweli kabisa amewakilisha wakina dada wengi. Hapo kwenye bold kama ndicho cha kwanza wadada mtaendelea kuangalia basi hata mtajiwe jina la huyo mhusika hapa JF au popote pale bado atawapata tu.... na kama ni mgonjwa itaendelea kula kwenu.

Ushauri ni kwamba jaribu kutafuta/kuona upendo wa mtu badala ya kuwa materiarists tu (ingawaje kwa nature wanawake like 90% ni materialists). Jaribuni kubalance sana swala na mali na upendo! si mara zote yanaweza kuwa pamoja yaani mwenye upendo wa kweli na mali. Nawashauri mzingatie upendo kwanza mali, elimu vinatafuta/huendelezwa. Good morning
 
na kina dada tuna haraka mno,we wamuweka ndani kwako hamna ndoa,umemzaa huyo?ikimbieni zinaa,mtaepuka mengi!!!
 
Naomba msaada wako hivi kutoa sifa thabiti za huyu kaka ningesemaje ?
Hata kama nimemtamani haihusiana na mada sawa Mo- Town ,
Kwa hiyo basi shemeji mie siko single hata kidogo siwezi kumtamani huyo unayesema nimemsifia ,
Goodmorning Mo-Town
 
Naona baadhi ya kina dada sasa wakisikia ndoa ni kucanganyikiwa kwa kwenda mbele ,Ndo maana tunakumbana na mabroken heart ya kila leo
 
huo ndo ukweli! mtu anaukana utu wake kisa ndoa,na shetani anachukua nafasi ana kuumiza zaidi!!
 
Naomba msaada wako hivi kutoa sifa thabiti za huyu kaka ningesemaje ?
Hata kama nimemtamani haihusiana na mada sawa Mo- Town ,
Kwa hiyo basi shemeji mie siko single hata kidogo siwezi kumtamani huyo unayesema nimemsifia ,
Goodmorning Mo-Town

Morning FirstLady1. Believe you me sikumaanisha kuwa unamtamani isipokuwa lengo ni kuonyesha picha halisi kwa wadada/wanawake wengi kuwa wanapotazama wanaume first impression zao huwa ni material/physical zaidi na sio emmotional part.

Kwa kesi hii ni kwamba huyo mjamaa tayari inafahamika kuwa ana tabia mbaya nilitarajia statetement ambayo walau inawakilisha tabia yake halisi ya ndani yaani uzinzi udanganyifu kwa wanawake etc na sio wasifu wake wa nje ambao ndio unaendelea ku-deceive wanawake.
 
Naona baadhi ya kina dada sasa wakisikia ndoa ni kucanganyikiwa kwa kwenda mbele ,Ndo maana tunakumbana na mabroken heart ya kila leo

Mimi kuna kitu nafikiria, kwa nini kina dada wanapata amani na kujitoa zaidi kwa mwanaume kwa malengo ya ndoa. Nafikiri ni kwa sababu hakuna dada ambaye anapenda atumiwe na mwanaume halafu aachwe hapo. Kuna option mbili either awe na mwanaume kwa malengo ya muda mrefu, au asiwe na mwanaume kabisa. Hii naona ndiyo hulka ya mtoto wa kike.

Kama mtu hujakutana maumivu au maexperience kama tunayoyapata kwa kusoma huku na kusikia kwa watu wengine, huwezi kuwa na akili ya kusema ngoja niwe na huyu kimtegomtego/kitahadhari. Unauweka moyo wako get read, kama ndoa sawa, haikutokea basi tena.

Na pia inategemea mazingira ambayo huyu binti amekulia!! Mfano mi ninamaisha ya triangle nyumbani, shule/kazini/kanisani nyumbani. Sina marafiki wengi wala mambo yahusuyo mahusiano siongelei, stori zangu ni .chungaji kafundisha nini leo, bwana yesu asifiwe na mambo yanayofanana na hayo. Na unakuta rafiki zangu ni wa staili hiyo pia. Unadhani nitakuwa na wazo lakusema nitakaa na huyu kwa tahadhari?? Na wanaume walivyo wanakutokea kwa gia ya jinsi ulivyo wewe, unatamani ndoa anakuja kindoa.
 
wakati mwingine huwa tunawalaumu wanaume bure,FL ivi majority ya wakina dada huwa wanaangalia na kutaka nini kwa wanaume.iyo sentensi uliyoweka hapo inasema mambo mengi sana naamini kwenye kazi nzuri na kipato kizuri kipo.tusilaumu tu miteremko na kupenda mambo ya nje huwa yanawacost kinadada wengi.

ni handsome wa ukweli ,msomi na ana kazi nzuri tu.
 
Morning FirstLady1. Believe you me sikumaanisha kuwa unamtamani isipokuwa lengo ni kuonyesha picha halisi kwa wadada/wanawake wengi kuwa wanapotazama wanaume first impression zao huwa ni material/physical zaidi na sio emmotional part.

Kwa kesi hii ni kwamba huyo mjamaa tayari inafahamika kuwa ana tabia mbaya nilitarajia statetement ambayo walau inawakilisha tabia yake halisi ya ndani yaani uzinzi udanganyifu kwa wanawake etc na sio wasifu wake wa nje ambao ndio unaendelea ku-deceive wanawake.

Mi sioni tatizo kwa FL1 kabisa, ujumbe umefika na umeeleweka. Kwamba anamtamani au hamtamani sidhani kama inahusu hapa. Cha msingi tumejua kuna jitu linajifanya kondooo kumbe ni mbwa mwitu dume. Basi!!!
 
Mshiki...unaonaje na wewe ukajigeuza mbwa mwitu jike....halafu ukamtokea na kumtoa nishai..
 
Natamani kufanya hivo kaka, yani muachia alama kwenye paji la uso kabisa. Lakini nahitaji ushirikiano mkubwa utanisaidia!! Nianze mchakato??
 
Ni handsome wa ukweli ,msomi na ana kazi nzuri tu Lakini sijajua nia na lengo lake kwa kina dada .(kuwakanyagisha miwaya or?
Kanunua engagement ring nzuri sana na ya thamani kubwa .........
Tabia zake ni hizi....
Anafanya uchunguzi wapi kuna msichana mrembo mwenye sifa zote na mwenye kazi nzuri au biashara ambaye si tegemezi ,anamvika pete na Kuhamia kwa mwanamke
Akimchoka tu anaanzisha visa na anamnyang'anya Pete G/F na kuanza harakati zake za kutafuta mwingine , imekuwa ni kawaida na tabia yake!
Hii Pete yake imeshavaliwa na kina dada wengi mwisho wao ni kuachwa .
Kina dada please tuweni makini na baadhi ya wanaume wa aina hii ,anakuja kwako anajifanya anakupenda anachanganyikiwa akidanganya bila ww anaona kama mshale wa maisha yake umestop
kumbe moyoni ana jambo zito amepanga juu yako .
asije kuingia JF :hand:

Na nyie mabinamu huyu mwenzenu ana pepo gani???

Based on true story !

Hii inaonyesha bado dada zetu wana safari ndefu ya kutambua mwanaume wa kweli. Hizo sifa za mshikaji hapo juu zina uwezo wa kudatisha wasichana na warembo wengi sana, maana ni sifa ambazo warembo wengi wangependa mwanaume awe nazo (achilia mbali masuala ya udanganyifu) lakin sasa hao wanaume wanaosifiwa ni mahendisamu tena ndo awe na gari, kazi nzuri na nyumba ndo atakuwa HABARI NYINGINE KABISAAAA.
Huu udhaifu wa kupenda mahendisamu kiurahisi na kuwaamini ndio unawaponza warembo wengi, hawajui tu kwamba sisi tusio mahendisamu (sio wote ila ni wengi ) ndio tuna nafasi kubwa ya kuwapenda kwa mapenzi ya kweli kuliko hao MASHAROBARO. Sisi hatuna nafasi ya kupata kila mrembo, na tukipata mrembo hatupotezi nafasi, tunafanya kweli.
Hao MASHAROBARO wanajua hata akikuacha atapata mrembo mwingine mkali zaidi yako
 
Natamani kufanya hivo kaka, yani muachia alama kwenye paji la uso kabisa. Lakini nahitaji ushirikiano mkubwa utanisaidia!! Nianze mchakato??

Njoo....nitakupa ngozi ya kondoo....
 
Kyabushaija alichumbia Mama Kyabu miaka minne, hivi siku hizi uchumba unachukua masaa mangapi hadi kufikia hatua ya kuvishana pete za uchumba?
 
FL1, huyo jamaa anapatikana wapi? ili tumkabidhishe kwa wenzake!:spider:
 
Hii JF siku hizi bana!!!!!!!!!!! Kama hamtaki kumtaja jina why bring the damn topic,i spent valuable time going through this ---- post only to hit a brick wall
 
Kyabushaija alichumbia Mama Kyabu miaka minne, hivi siku hizi uchumba unachukua masaa mangapi hadi kufikia hatua ya kuvishana pete za uchumba?

hapo ndio ushangae utandawazi umeshika kasi ya ajabu Kyabushaija mambo yanaenda yakibadilika
 
Hii JF siku hizi bana!!!!!!!!!!! Kama hamtaki kumtaja jina why bring the damn topic,i spent valuable time going through this ---- post only to hit a brick wall

ha ha ha na wewe Bana kwani hapa ni majira Dodoma
am kidding usinimeze
 
hapo ndio ushangae utandawazi umeshika kasi ya ajabu Kyabushaija mambo yanaenda yakibadilika

Nimekubali FL1,

Maana kama ulivyobandika hapo juu kuwa "Hii Pete yake imeshavaliwa na kina dada wengi.." inanipa wasiwasi kuwa mwanaume anaweza kusimama pale Posta na kutongoza msichana asubuhi na jioni "akamvisha pete ya uchumba"!

Halafu pia inaashiria kuwa wanawake wengi wako "desperate" kutaka kuchumbiwa na kuolewa "chap chap" AU

Huyu "mvalishaji pete" yupo "liquid" and "handsome" to the extent kuwa he is irresistible! AU

Huyu "mvalishaji" pete is on a special mission :: Assuming kwamba kusambaza HIV/AIDS is not one of his mission.!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom