Aaagh..Huyu mwanaume vip jamani??

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,373
Ni handsome wa ukweli ,msomi na ana kazi nzuri tu Lakini sijajua nia na lengo lake kwa kina dada .(kuwakanyagisha miwaya or?
Kanunua engagement ring nzuri sana na ya thamani kubwa .........
Tabia zake ni hizi....
Anafanya uchunguzi wapi kuna msichana mrembo mwenye sifa zote na mwenye kazi nzuri au biashara ambaye si tegemezi ,anamvika pete na Kuhamia kwa mwanamke
Akimchoka tu anaanzisha visa na anamnyang'anya Pete G/F na kuanza harakati zake za kutafuta mwingine , imekuwa ni kawaida na tabia yake!
Hii Pete yake imeshavaliwa na kina dada wengi mwisho wao ni kuachwa .
Kina dada please tuweni makini na baadhi ya wanaume wa aina hii ,anakuja kwako anajifanya anakupenda anachanganyikiwa akidanganya bila ww anaona kama mshale wa maisha yake umestop
kumbe moyoni ana jambo zito amepanga juu yako .
asije kuingia JF :hand:

Na nyie mabinamu huyu mwenzenu ana pepo gani???

Based on true story !
 
mh!hii story inachefua!huyu mwanaume ni mchafuzi na ana sifa za kijinga
 
chinekeeeee....ndo tumekwisha sasa....na siku hizi tunavyopenda ndoa.....mbona tutajibeba......hebu akae huko huko asije kuingia hapa JF....
 
Ha haaaa!! Huyu jamaa ni noma i hp ana PEPO.
Vipi una uhakika ni the same PETE anayowavisha hao wadada??!!
 
Duuu hili limtu lishindwe na lilegee!! Sijui kwa nini hawa wanaume wamegeuka wanyama hivi. Duuu kama unasoma hapa uache tabia yako, hakuna marefu yasiokuwa na ncha!! Jicho la Mungu linakuona na kuna siku utaipata freshi.

Mungu tulinde watoto wako wa kike!! Manake daa!!
 
umeona eeeh....wanawake tumeingiliwa na mazimwi siku hizi....hili liserpent sijui limetokea wapi....
 
FL1 analama gani tumnote jamani tuwaalert mabinti zetu.

Hivi kumbe kuna wanaume wana mambo ya kitoto. eti engagement ring my foot.
 
Acha tu mwenzangu Preta, mara wanyonge/waue mara wabake mara hivi na vile. Aaaaaaaaaah!!!!! Twende likizo ya kupenda wadada!!
 
Anatumia kipaji chake vizuri, U-HB na uwezo wa kukonga nyoyo za wadada, maisha yanakwenda...
Vp, nawe ni mhanga?
 
FL1 analama gani tumnote jamani tuwaalert mabinti zetu.

Hivi kumbe kuna wanaume wana mambo ya kitoto. eti engagement ring my foot.

Kweli huyu naona afanyiwe mpango wakukamatwa live au kisanii awekwe alama kwenye paji la uso!!
 
Duuu hili limtu lishindwe na lilegee!! Sijui kwa nini hawa wanaume wamegeuka wanyama hivi. Duuu kama unasoma hapa uache tabia yako, hakuna marefu yasiokuwa na ncha!! Jicho la Mungu linakuona na kuna siku utaipata freshi.

Mungu tulinde watoto wako wa kike!! Manake daa!!

Kama ni mtu ambaye yoku JF, I can Guess who is he... lol
 
hahaha mshiki nikiuvaa uhusika naanza na wewe kukuvisha pete..lol

Nimeshakuwa mwalimu mwenzio!! Lile darasa la jana si mchezo. Hudanganyi mtu hapa. Ukija kisanii naenda na wewe kisanii!!
 
Tatzo lenu nyie wadada m2 akishakua HB mnadata you don't even take time to find the background the man....
 
Ni handsome wa ukweli ,msomi na ana kazi nzuri tu Lakini sijajua nia na lengo lake kwa kina dada .(kuwakanyagisha miwaya or?
Kanunua engagement ring nzuri sana na ya thamani kubwa .........
Tabia zake ni hizi....
Anafanya uchunguzi wapi kuna msichana mrembo mwenye sifa zote na mwenye kazi nzuri au biashara ambaye si tegemezi ,anamvika pete na Kuhamia kwa mwanamke
Akimchoka tu anaanzisha visa na anamnyang'anya Pete G/F na kuanza harakati zake za kutafuta mwingine , imekuwa ni kawaida na tabia yake!
Hii Pete yake imeshavaliwa na kina dada wengi mwisho wao ni kuachwa .
Kina dada please tuweni makini na baadhi ya wanaume wa aina hii ,anakuja kwako anajifanya anakupenda anachanganyikiwa akidanganya bila ww anaona kama mshale wa maisha yake umestop
kumbe moyoni ana jambo zito amepanga juu yako .
asije kuingia JF :hand:

Na nyie mabinamu huyu mwenzenu ana pepo gani???

Based on true story !

mmmh i hope hapo kwenye red haujahusika:A S 13:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom