Poapoa nitaendelea kwa style ya kujibu maswali yatakayokuja na kutoa ufafanuzi pale itakapohitajika kufanya hivyo
nitag hio ya zimebak story tu mshana jr
Last edited by a moderator:
Poapoa nitaendelea kwa style ya kujibu maswali yatakayokuja na kutoa ufafanuzi pale itakapohitajika kufanya hivyo
Kuna hawa watu wa art of living AOL, walishafanya kitu kama training/semina pale Buddhist temple upanga miaka ya 2005, nilihudhuria. Ila baada ya session ya kwanza nikaacha cause niliona ni kama sect fulani. Hawa unafahamu chochote juu yao?
mkuu mshana jr habari,
pole na shughuli za hapa na pale,ukiweza mkuu lile somo lako la zimebaki story lihamishie upandee huu,
wengi tujifunze.
pia kama utaweza unaweza kuendelea na lile somo lako la realm of eternity,
elimu yako sio elimu ya kuipata darassani ila ubarikiwe saana mkuu kwa kaz nzuri ya kufundisha ilo somo tena kwa lugha mama ya Kiswahili ambayo maneno hayajitoshelezi.
waiting to hear from you sir
regards .
Neo