A day in the Buddhist college

Mshana naomba utueleze matukio matatu uliyowahi kukutana nayo safarini

Tukio lililokutisha sana

Tukio lililokushangaza sana

Tukio lililobadilisha sana akili yako
 
Tukio la kutisha sana lilikuwa lile la kuhudhuria ibada ya Shetani
Tukio la kushangaza sana ni la maiti kusimama mochwari
Tukio la mwisho ni makumbusho ya kanisa la kwanza Taiwan kwenye mji wa Tai Jong lilikuwa dogo Sana likitunzwa na serikali
 
Mkuu,
Nini hiki unaongea? Hebu tiririka nedho avae. Ninakusoma sikunyingi sijakuelewa. Iki Nnni??
Hebu funguka.
 
Doh. Nilikuwapo na ww toka day one kimya kimya tho. Poa mkuu, nilijikuta navutika na hao mabudha ukizingatia miaka hyoo nilizoea kumuona yule budha wa 'journey to the west' na wasaidizi wake ila nilikuwa sielewi elewi mambo. At least sasa naunga vidot kidogo
 
Poapoa nitaendelea kwa style ya kujibu maswali yatakayokuja na kutoa ufafanuzi pale itakapohitajika kufanya hivyo
 
Endelea rafiki,mi nimeshachoka na maneno ya siasa huku mtaani na hapa jf.kila kukicha tunapiga kelele kuwapaisha watu wakati wakishaenda mjengoni na huku majimboni wanahama wanakuja huko Dar! Ah bora tuendelee kuelimishana hapa
 
Poapoa nitaendelea kwa kipande kifupi changamoto nilizokutana nazo baada ya kurudi nchini
 
Tupo pamoja mshana jr japo kuna mdau alikuita wakala wa shetani nilijalibu kuandika ufafunuzi wakina kwenye ule uzi ila uligoma kukaa nikaamua kuachana nae ila nilikuwa nataka nimweleweshe hii unayotoa nikama testmoon yako ni sawa na wachungaji au waumini kwenye makongamano ya kiroho wanapo toa testmoon zao kwenye majukwaa au kanisani ili wengine wajifunze au wasitumbukie kwenye dini na madhehebu wasiyo yafahamu kwa undani.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom