A day in the Buddhist college

Mshana jr tuendelee hapa na stori zetu za kusisimua,naona pamekua kimya.natamani kujua kwa marefu habari ya Tao/Dao
 
Mshana je wanaomiliki hizi nguvu kiasili inakuaje manake nmeshawah muuliza mtaalamu wa kiaenyeji akaniambia kama unataka kua kama mm shart la kwanza ni kwenda kukichimbia kaburin na kuacha kichwa juu tu kiwlwli chote kinabaki chin kwa Masaa kadhaa je kuchimbiwa kaburin ni suala la ujasiri au embu nijuze ww mwenye uelewa kidogo kuhusu haya
 
Hayo ni mambo ya kishirikina tena ya kuzimu Usijaribu, wale wanazimiliki kiasili ni karama yao na kipaji toka kwa Mungu
 
Je vipi kuhusu wachungaji wanaofanya miujiza ukimwangalia vizuri anakua kama anafanya meditation anakua ametulia kwa hisia je zile nguvu za kuamrisha wanazitoa wapi hasa mapepo n.k
 
Je vipi kuhusu wachungaji wanaofanya miujiza ukimwangalia vizuri anakua kama anafanya meditation anakua ametulia kwa hisia je zile nguvu za kuamrisha wanazitoa wapi hasa mapepo n.k
Wale wanatumia nguvu za giza
 
Je vipi kuhusiana na ndoto ndoto inauhusiano na jambo fulan hasa unaweza kuota kitu usingizin ukaamka mwili una jasho
 
Sasa kama ni nguvu za Giza mbona wanataja jina la mungu n.k je na nguvu za Giza zina uhusiano gani na uponyaji
 
Initial/basics ni miaka miwili baada ya hapo unaenda Asia miaka mitatu, mwishoni mwa mwaka wa tatu unafanyiwa ordination kuwa official Buddhist master
Ordination si kitu kidogo nikitu kikubwa mno kwakuwa ndio unapigwa mhuri rasmi
Lakni c unarhsiw kuachan nao au ndo mazn? Mi nimevutiwa nao
 
Mshana swali langu jingine nimeona umezungumzia kifo cha gafla lakin hospital wanasema ni shinikizo la damu je wawezaje tambua kifo ni cha utata je huo ugonjwa hauuwi manake SKU izi watu wengi wanakufa kwa huo ugonjwa ina maana wanachukuliwa au
 
Back
Top Bottom