Mkuu mshana jr, bachela umesoma humanities, umekuwa ded wilaya x kusini, unajua kichna zaidi ya kisukuma na unaish near standi ya kwenda y?Sijawasoma sana ama ni almost kabisa.. Je una lolote juu yao?
Mkuu Statistics kuna baadhi ya hayo ni sahihi.. Huyo mtu namfahamu ni classmate wangu tulisoma wote South then Taiwan na kwenye picha ya juu kabisa tupo woteMkuu mshana jr, bachela umesoma humanities, umekuwa ded wilaya x kusini, unajua kichna zaidi ya kisukuma na unaish near standi ya kwenda y?
Kama sio wewe huyo mtu unamfaham.
Hahaaaaaaa, eti upo Kilingeni msata.memories die hard... Siku hizi niko Msata kilingeni nimejikita zaidi kwenye ushirikina... Yaani utafiti na kutoa elimu... Ila nipatapo sitaacha kwenda
Jr
Kwanini ulipenda kufunika macho muda mwingi?