A day in the Buddhist college

Kuna hawa watu wa art of living AOL, walishafanya kitu kama training/semina pale Buddhist temple upanga miaka ya 2005, nilihudhuria. Ila baada ya session ya kwanza nikaacha cause niliona ni kama sect fulani. Hawa unafahamu chochote juu yao?
 
Sijaona Wanawake kwenye Budhism, kwa nini?
Source ya funds zao kuendesha hayo mafunzo zinatoka wapi?
 
Kuna hawa watu wa art of living AOL, walishafanya kitu kama training/semina pale Buddhist temple upanga miaka ya 2005, nilihudhuria. Ila baada ya session ya kwanza nikaacha cause niliona ni kama sect fulani. Hawa unafahamu chochote juu yao?

Safari yangu ilianzia hapo mtaa wa mindu
 
mkuu mshana jr habari,

pole na shughuli za hapa na pale,ukiweza mkuu lile somo lako la zimebaki story lihamishie upandee huu,

wengi tujifunze.

pia kama utaweza unaweza kuendelea na lile somo lako la realm of eternity,

elimu yako sio elimu ya kuipata darassani ila ubarikiwe saana mkuu kwa kaz nzuri ya kufundisha ilo somo tena kwa lugha mama ya Kiswahili ambayo maneno hayajitoshelezi.

waiting to hear from you sir

regards .
Neo
 
Last edited by a moderator:

OK poapoa nitaona vile itakuwa usijali
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mshana jr siku nyingi umeingia mgodini!!!!...

Eti kunauhusiano gan Kati ya ubudha na tiba Ile ya kuchoma visindano mwili mzima
 
Hakuna uhusiano wowote kwakuwa ile ni tiba asili ya kichina ina mabuddha wanaitumia sana kuepuka chemicals
 
Last edited by a moderator:
74 Reactions
Reply
Back
Top Bottom