Kwangu wasanii wa mziki halisi Tanzania ni
1) Afande Sele
2) Sugu
3) Roma
4) Jeydee
Wengine wote ni wabana pua tu
wewe ndio hueleweki wimbo wenyewe uko wapi?
fid q?. mia
Kwangu mimi huyo sio msanii wa mziki bali mburudishaji tu
Wimbo mpya wa HIP POP Kutoka kwa Msanii Roma Mkatoliki unaotamba kwa sasa katika anga la muziki Tanzania ukiwa una siku tatu tu tangu uachiwe hewani. wimbo huo unaonekana unaleta hisia kali za uasi na mapinduzi kwa vijana kutokana na mashairi yake yanayogusa mambo mazito yaliyolikumba taifa kama.
1. Kipigo cha Ulimboka ( kuna mstari unasema Damu ya Ulimboka iwe chachu ya Ukombozi kwa TZ)
2. Mauaji ya Mwandishi wa Habari Mwangosi kule iringa
3. Zitto na .......... Kasulu na Roma na Watanga kuwanga Pangani
4. Ufisadi na ubadhirifu wa Mali ya Umma
5. Uamsho na vurugu za kidini
6. Ukabila na Ukanda
7. Kiitikio chake sasa yaani ( Chorus) inaizalilisha kabisa Serikali iliyopo madarakani kwani inasauti ya mtoto akilalamika kuhusu Tanzania yake inavyoharibika
8. Mnyukuano wa kisiasa unaondelea hivi sasa nchini nao ndani ya mistari
9. Na mambo yote unayoyafahamu yanayochochea uasi na vurugu kwa Rika la vijana yamezungumziwa katika wimbo huo wenye takribani dk 8 mnaweza ongezea hapo chini....
Kutokana na maudhui ya wimbo huo kuwa kisiasa zaidi inawezekana kabisa serikali sikivu na inayopenda amani kupitia waziri wa Habari na utamaduni kuufungia(Kuupiga BAN) wimbo huo kuendelea kusikika katika masikio ya watanzania kuepusha uasi, vurugu na uvunjifu wa amani unaoweza kutokea kutokana na mashairi ya wimbo huo unaitwa 2030.
Nilifikiri umepigwa BAN kumbe umekuja kuleta umbea wa kuuchongea?! Poor you.Wimbo mpya wa HIP POP Kutoka kwa Msanii Roma Mkatoliki unaotamba kwa sasa katika anga la muziki Tanzania ukiwa una siku tatu tu tangu uachiwe hewani. wimbo huo unaonekana unaleta hisia kali za uasi na mapinduzi kwa vijana kutokana na mashairi yake yanayogusa mambo mazito yaliyolikumba taifa kama.
1. Kipigo cha Ulimboka ( kuna mstari unasema Damu ya Ulimboka iwe chachu ya Ukombozi kwa TZ)
2. Mauaji ya Mwandishi wa Habari Mwangosi kule iringa
3. Zitto na .......... Kasulu na Roma na Watanga kuwanga Pangani
4. Ufisadi na ubadhirifu wa Mali ya Umma
5. Uamsho na vurugu za kidini
6. Ukabila na Ukanda
7. Kiitikio chake sasa yaani ( Chorus) inaizalilisha kabisa Serikali iliyopo madarakani kwani inasauti ya mtoto akilalamika kuhusu Tanzania yake inavyoharibika
8. Mnyukuano wa kisiasa unaondelea hivi sasa nchini nao ndani ya mistari
9. Na mambo yote unayoyafahamu yanayochochea uasi na vurugu kwa Rika la vijana yamezungumziwa katika wimbo huo wenye takribani dk 8 mnaweza ongezea hapo chini....
Kutokana na maudhui ya wimbo huo kuwa kisiasa zaidi inawezekana kabisa serikali sikivu na inayopenda amani kupitia waziri wa Habari na utamaduni kuufungia(Kuupiga BAN) wimbo huo kuendelea kusikika katika masikio ya watanzania kuepusha uasi, vurugu na uvunjifu wa amani unaoweza kutokea kutokana na mashairi ya wimbo huo unaitwa 2030.
Labda Tbc, ila mie nimeusikia Clouds Fm ijumaa, na jana nimeusikia East Africa Fm. Ni wimbo wa harakati, ni mzuri.Bila shaka vyombo vya habari kama TBCCM na Clouds (Not sure) hawawezi kuupiga huu wimbo!
nimesikilza wimbo mpya wa roma mkatoliki ni wimbo wenye ujumbe mkali sana na wenye kuongea kwa hisia kali.