whatsapp

  1. Hukumuzuku

    Whatsapp nayo imefungwa

    Naona connectivity ya Whatsapp kupitia voda imegoma kabisa mida hii. Hii ni baada ya Twitter nayo kuzimwa usiku wa kuamkia leo. Hili ni jambo geni halijawahi kutokea katika historia ya Tanzania. Kwanini serikali na vyombo husika vitumie nguvu kubwa namna hii kuminyq uhuru wa mawasiliano Ya...
  2. Rahma Salum

    Waziri Zanzibar aeleza WhatsApp ilivyoendesha Wizara alipougua Covid19

    Riziki Pembe, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar ameeleza namna ambavyo Wizara ilivyokuwa ikiendelea na shughuli zake pindi alipokuwa hospitali kwa matibabu ya maambukizi ya Corona. Waziri huyo amesema alikuwa akiwasiliana kupitia mtandao wa WhatsApp na viongozi wenzake, akiwemo Naibu...
  3. K

    Uchaguzi 2020 Wagombea, viongozi, watawala acheni kuuza taarifa kwenye WhatsApp mkiamini mpo peke yenu. Verify

    Mliopo katika nafasi ya kuwashauri Wazee na wadosi washaurini wajifunze kuilinda dhamana waliyopewa. Whatsapp imekuwa uchochoro wa kuvujisha Siri na mikakati mingi, naumia kuona baadhi ya magrouop ya wadosi yana members ambao siyo wahusika na wanafuatilia mijadala inayoendelea. Naumia pale...
  4. S

    WhatsApp unaweza kuwa ni mtandao namba moja katika kusaidia, kufanikisha na hatimae kuleta mageuzi ya kisiasa hapa nchini

    Mtandao wa WhatsApp, kupitia ma-group ya WhatsApp, umewaza kuwa ni mtandao unaowaleta na kuwaunganisha watu wengi zaidi kwa pamoja pengine kuliko mtandao mwingine wowote katika nchii hii, na hivyo kufanya taarifa zinazokuwa shared kupitia mtandao huu, kuwafikia watu wengi zaidi kuliko...
  5. Komeo Lachuma

    Jinsi ya kuzuia mtu kuona kama nimesoma text yake kwenye WhatsApp group

    Wadau mimi nina tatizo moja. Tupo kwenye group la ukoo lina mambo mengi na watu wengi. Sometimes nakuwa busy sitaki kujihusisha na mambo yake. So huwa kama vipi nasoma tu text kama ni muhimu najibu kama si muhimu nataka niwe busy. Sasa tatizo ni ile hali ya mtu aliyetuma text yeye kujua kuwa...
  6. Deejay nasmile

    Kama dunia ingekuwa ni Whatsapp Group, Admin angekuwa nani?

    Hebu tuachane na mambo ya uchaguzi na corona kwanza. Tu refresh ubongo kidogo Kama dunia yetu hii tunayoishi ingekuwa ni kama vile KIKUNDI CHA WHATSAPP (WHATSAPP GROUP) je ni nani (anapaswa/angepaswa )kuwa admin wetu? Angalizo: Mambo ya dini yasihusishwe Tujadili sisi kama sisi ambao tupo...
  7. M

    Uchaguzi 2020 Lissu amwambia Rais Magufuli afungulie Vyombo vya Habari ili asisumbuke kuweka bando kuwaangalia wapinzani kwenye WhatsApp

    Akiwa mjini Tunduma, Tundu Lissu katika harakati zake za kutafuta wadhamini, ameongea na maelfu ya wananchi. Amezungumza kuhusu hali ya uminywaji wa Vyombo vya Habari nchini, watumishi wa umma kutopewa maslahi yao ipasavyo, kero za wafanyabiashara ndogondogo hususan vitambulisho vya wamachinga...
  8. LIKUD

    Jinsi ya Ku view status ya Mtu WhatsApp Bila yeye kuona kama umeview

    1. Screenshot then zoom. 2. Mimi na wewe tufanye mpango itengenezwe App maalumu ambayo itakufanya u view status ya mtu Bila mhusika kujua kama umeview. We will make a millions and millions. Asilimia kubwa ya status huwa ni madongo. Kwa mujibu wa wataalamu hakuna kitu kinauma kama mtu...
  9. Hajto

    Nahitaji kutumia Whatsapp kwenye PC

    Habari zenu waungwana, nimepata laptop nataka kutumia whasapp. Mwenye kunielekeza jinsi ya kutumia anielekeze.
  10. Kurzweil

    Askofu wa Kanisa Katoliki Nchini Togo ni miongoni mwa watu waliokumbwa na udukuzi uliofanywa katika Mtandao wa WhatsApp

    Askofu wa Kanisa Katoliki nchini Togo ni miongoni mwa watu waliolengwa na udukuzi uliofanywa kwa zaidi ya watu 1400 katika mtandao wa WhatsApp uliofanywa na Taasisi ya NSO Group ya Nchini Israel Askofu Benoît Alowonou pamoja na watu wengine watano ambao ni wakosoaji wakubwa wa matendo na...
  11. Tukudzi

    Tumia WhatsApp na Apps nyingine katika Kiswahili

    Hapa ningependa kuonyesha jinsi ya kubadilisha lugha ya simu yako ili uweze kutumia apps nyingi kupitia lugha yetu ya Kiswahili. Nimerekodi video ya njia ya kufuatwa ili lugha ibadilishwe, iwapo ungependa kutazama jinsi inavyofanywa. Kwa anayependa kufuata maelezo badala ya kutazama video...
  12. M

    Naomba usaidizi wa Matumizi ya WhatsApp kwenye Laptops

    Wakuu habari ya uzima na poleni na majukumu yenu ya kila siku, Wakuu nataka kuanza kutumia whatsapp version kwenye laptop yangu badala ya simu, Je kuna mwanajukwaa ambaye alishawahi kutumia apps ya whatsappp kwenye laptop? alifanyaje? Asanteni. 🙏
  13. SAID kisa

    INAUZWA Milango inauzwa Tabora

    Mlango unauzwa TSH 300000 wasiliana nasi kupitia 0689344774 au WhatsApp number 0656783090. TUNAPATIKANA TABORA pia tunachukua Oda kutoka sehem mbalimbali Tanzania.
  14. Troublemaker

    Je, huwa unaignore baadhi ya status za watu whatsapp? Kwanini?

    Natumai mko poa na mnaendelea vyema kuchapa kazi katika kipindi hiki kigumu kwa sasa duniani. Kila mtu kwa imani yake na aendelee kuomba Mungu atuvushe salama. Iko hivi, leo katika kupitia pitia whatsapp kule status nimegundua kuna baadhi ya watu huwa nina kawaida ya kutohangaika kuview status...
  15. Analogia Malenga

    WhatsApp limits message forwarding to slow spread of coronavirus misinformation

    Facebook Inc’s WhatsApp tightened message forwarding limits on Tuesday, restricting users to sharing forwarded content one chat at a time after a jump in messages touting bogus medical advice since the start of the coronavirus crisis. The pandemic, which has killed more than 70,000 people...
  16. T

    Hatimae Whatsapp wamezindua mfumo mwanga hafifu 'dark mode' wa watumiaji wote.

    Katika vitu nilikua natamani siku zote ni night/dark mode kwa whatsapp. Hatimae whatspp wamezindua huo mfumo kwa watumiaji wote wa whatsapp. Huu ni mfumo unaopunguza au kuondoa kabisa mwanga mweupe na kuweka mwanga mweusi kwenye ukurasa wa whatsapp ukiwa unaitumia ili kulinda macho. Sasa wale...
  17. Analogia Malenga

    Fanya haya kuepuka kuungwa kiholela katika magrupu ya WhatsApp

    Kumekuwa na ongezeko la watu ku-adiana au kuingizwa katika magrupu ya WhatsApp, wakati mwingine wanaofanya hivi hata huwajui na utalazimika kusubiri maelekezo. Ili kukabiliana na hilo kuna namna ya kufanya. Unachotakiwa kufanya ni kuingia katika whatsApp kisha bonyeza sehemu iliyoandikwa...
  18. P

    WhatsApp

    Nimejaribu nimeshindwa!...je inawezekana kuwa na akaunti za what's app zaidi mbili kwa line tofauti za simu kwenye simu moja?
  19. FRANC THE GREAT

    Kitu gani kimeikumba WhatsApp?

    Habari! Kuna tatizo limeonekana kujitokeza la kutotuma wala kupokea jumbe zozote zile katika mtandao wa kijamii wa WhatsApp hivi sasa ninapoandika uzi huu. Hili tatizo linatajwa kuwakumba watumiaji wa mtandao huu sehemu mbalimbali duniani na hata mimi kwa upande wangu nimelishuhudia tatizo...
Back
Top Bottom