undugu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Irani na Israeli wana Undugu usioyumba, Makombora 300 ya Irani naona kama ni Propaganda

    Nimewaza Vita ya Irani na Israeli na Kituko cha Mizinga 300 kutoleta Athari Kwenye Ardhi ya Israeli. Inawezekanaje Siraha hevy za moto zaidi ya 300? Sio kwamba Irani na Israel wana lao moja? Hawa Wayahudi na Waajemi wan Undugu wa Kiroho Tangu zamani. Nikurudishe nyuma kidogo. Mambo mema...
  2. Bravo247

    Kumkopesha ndugu ni kuua undugu wenu

    Nimejifunza ni bora lawama kuliko fedheha. Ndugu yangu alikuwa na mahusiano mazuri sana na mimi tuliweza kuwasiliana na kutembeleana mara kwa mara, lakini mambo yalibadilika baada ya yeye kupata matatizo fulani na kuomba nimuazime kiasi fulani cha pesa (kikubwa tu), nikamsihi nami niko vibaya...
  3. plus_ix

    Waganga wa kienyeji walivyovunja undugu kwenye ukoo wetu

    Habarini wana JF natumaini tumeanza mwaka vyema kabisa Bila kupoteza wakatai nataka niwaletee hiki kisa ambacho tumeishi nacho tukiwa wadogo mpaka hivi sasa tumekuwa tunazidi kueelewa ilikuwaje maana wakati wadogo tulikuwa hatuambiwi chochote. Iko hivi familia ya mzee wangu walizaliwa watoto...
  4. Greatest Of All Time

    Wachezaji wanaofanana kwa sura lakini hawana undugu wowote

    Hii ni list ya wachezaji ambao wanafanana kwa sura lakini hawana undugu wowote. 1. Andrea Barzagli & Javi Fuego Wawili hawa ukiwatazama unaeza kusema mapacha lakini hawana undugu wowote. Barzagli ni Muitaliano wakati Fuego ni Mhispania. Kwasasa wote wamestaafu kabumbu.
  5. Mwachiluwi

    Marafiki na ndugu yangu wananirudisha nyuma

    Habari, Katika maisha huwezi kukwepa kuwa na rafiki, lakini mimi hilo nimelikataa maishani mwangu kabisa; ila nina watu ambao tuna fahamiana sana. Lakini watu hawa wamekuwa kichomi kwangu, pindi napokuwa mimi nashida hakuna anaenisaidia na kuhisi mimi sina shida natania. Sasa siku mmoja...
  6. NetMaster

    Tushachoka kubembeleza undugu, itapendeza Ufaransa ikiwapa Morocco kipigo cha mbwa koko wapigwe mpaka wachakae

    Offcourse tunajua kuna tofauti kubwa kati yao na sisi hasa linapokuja suala la asili yao, Lakini kweli wakatae hata undugu wa kiafrika kwamba wapo nasi ndani ya bara la Africa? Morocco wametukataa, yaani wanaona wao siyo ndugu zetu ni kwamba tunajipendekeza. Basi ndiyo tumekoma hatujipendekezi...
  7. saidoo25

    Mzee Kikwete: Sina undugu na Membe

    Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amefafanua ukaribu wake na Mwanasiasa Benard Membe akieleza kuwa hana undugu naye kama ambavyo wengi wanazungumza CHANZO: Mwanachi Instagram -- Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amefafanua ukaribu wake na mwanasiasa Benard Membe akieleza kuwa hana undugu naye kama...
  8. Anna Meleiya Mbise

    SoC02 Undugu Wetu Matatani

    Jina la Shairi: Undugu Wetu Matatani Jina la Mtunzi: Anna Meleiya Mbise 1.Waungwana nauliza, twaishije duniani, Wanadamu twashangaza, zaniwasha zangu mboni, Undugu tunapoteza, tumekuwa hayawani, Tumeshatokwa imani, twaishi bora liende. 2.Kwa sasa tumetengana, hatupo kama zamani, Njiani...
  9. sky soldier

    Makabila haya mtu ukifanikiwa jiandae kujaza ndugu tegemezi kwako ama kukuomba misaada kila mara, ukikataa unaonekana huna undugu

    kuna hii tabia inakera sana kuna baadhi ya watu katika makabila flani wakishaona ndugu / kaka / dada yao katoboa ama ndugu yao wa kike / dada yao kaolewa na mtu mwenye maendeleo si haba basi huenda kujazana huko. Wanakula na kulala hapo bila kazi maalum. Nyuma ya hii tabia hakukosekani...
  10. sky soldier

    Simba kwenye graphics designing na videography wamedoda, wanarudia mambo ya mwaka 1920 enzi za Charlie Chaplin, kazi wanapeana kindugu

    MGraphics za leo ni zaidi ya Uchale Chaplin Halaf tumeambiwa wamekesha usiku kucha ili Dunia itingishike. Labda ile Dunia Tambara Bovu, Sio Dunia hii ya 🌎 🤪🤪 Nb;; mkipeana kazi kiudugu Quality itaamua baadae, hii mambo ya Mtoto wa Mjomba sijui Mtoto wa Bamdogo,,inazidiwa na ubora mabibi na...
  11. sky soldier

    Kwanini baadhi ya Wabena wanatumia nguvu kubwa sana kulazimisha undugu kwa Wakinga kwenye mafanikio ya kibiashara?

    katika mijadala ya hapa na pale inayohusu maendeleo hata humu ndani jamiiforums huwa inakuwepo mijadala ya wakinga kuwa moja ya kabila linalojitahidi kwenye anga za biashara licha ya kuwa kabila dogo kwa idadi yao ndogo. Sasa kunakuwaga na tabia flani hivi unakuta mjadala unavyoendelea pakiwa...
  12. sky soldier

    Kwanini Wazanzibari wengi wanatumia nguvu kubwa sana kulazimisha undugu na Waarabu

    Wazanzibari wengi ni kama wamesahau kabisa historia ya chimbuko lao kwamba waarabu walipofika visiwani walianza kuwakamata wenyeji na kuwauza kama watumwa nchi zingine, pale wenyeji walipokuwa wachache ndipo waarabu kama kina tipu tipu walisafri kuja huku bara na maeneo ya karibu kununua watumwa...
  13. mdukuzi

    Rally Bwalya ana undugu na Ramirez yule fundi aliyewahi chezea Chelsea

    Unamkumbuka yule box to box mildfielder Ramirez kijana toka Brazil,aliyekioiga Chelsea miaka ya nyuma,ni tumbo moja na kiungo fundi wa simba Bwalya.
  14. Kiboko ya Jiwe

    Naona harufu ya ufisadi nafasi za kazi jeshi la Polisi, Zimamoto na uokoaji, Uhamiaji na Magereza. Rushwa na undugu vimetawala

    Habari! Kwa vijana ambao ndoto zao siku moja wapige au wapigiwe saluti zitaendelea kuyeyuka hii kutokana na uchache wa nafasi zenyewe. Huu mchakato utafanywa tu kutimiza sheria ila msitegemee sana huko vijana wenzangu. Watu washafanyiwa usaili bubu na kuambiwa wasubiri usaili fake. Hivi kwa...
  15. S

    Lazima kuna sababu za msingi sana kwa Msumbiji kuomba msaada wa kijeshi Rwanda kukabili waasi badala ya Tanzania ambao wana undugu nao wa damu

    Kuna wakati Tanzania ilijulikana kwa umahiri katika mapambano ya kivita, na jeshi letu JWTZ liliaminika sana katika uwanja wa mapambano. Hata waasi sehemu kama DRC walikuwa wakisema wazi, kwamba hawakuogopa kukabiliana na jeshi jingine lolote isipokuwa JWTZ ndio waliwaogopa sana. Tulijenga sifa...
  16. S

    TAMISEMI iingilie kati suala la ajira mpya za Walimu. Kinachoendelea ni undugu, rushwa na udanganyifu

    Ndani ya siku hizi mbili imesemekana eti walimu waliokuwa wanajitolea katika shule mbalimbali za Serikali ndio watapewa kipaumbele kwenye ajira. Hivyo majina ya watu hao yametumwa Tamisemi. Ukweli halisi ni kwamba walimu waliojitolea kwa mwaka mzima hawafiki hata 1% ya waajiriwa mia sita wa...
Back
Top Bottom