Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,914
32,371
Habari,

Katika maisha huwezi kukwepa kuwa na rafiki, lakini mimi hilo nimelikataa maishani mwangu kabisa; ila nina watu ambao tuna fahamiana sana.

Lakini watu hawa wamekuwa kichomi kwangu, pindi napokuwa mimi nashida hakuna anaenisaidia na kuhisi mimi sina shida natania.

Sasa siku mmoja tulikuwa tunatoka job mwezangu kumbe hana nauli, akawa analalamika nimemcheki mtu anipe lift lakini mpaka saa 12 hajanijibu ngoja nimfwate kazini kwake.

Mimi nikamwambia acha ubwege, wakati uho mimi nina 1050 ya mwendo kasi yeye anaenda Tabata nikampa jero na 50 mimi nikawa nawaza akili napata wapi nauli.

Lakini pindi napokuja mimi na shida hawa watu wanakimbia, zaidi mimi huwa si mwepesi kumueleza mtu shida zangu labda iwe sikujui, ila kwa mtu anaenijua no.

Wa pili ndugu yangu amekuwa na tabia ya kunikopa hela af harudishi, anazama miti. Juzi tena kanikopa nikampa mpaka leo anasema mshahara hajapata na zaidi huyu kuna kipindi mimi nilikuwa na shida nikamwambia akamwambia mama mwambie mwanao apambane na hali yake.

Na wakati mimi nakaa na watoto wake na zaidi nawapa mahitaji yao, sasa nafikilia safari hii kumtumia text kama undugu ufe. Japo sijawai mwambia kama najua anavyo niongelea hila, moyoni mwangu kuna maumivu makubwa.

Why watu nnao wasaidia nikiwa na kitu nikikosa shida yangu inakuwa matangazo na kunikashifu?
 
Habari

Katika maisha huwezi kukwepa kuwa na rafiki lakini mimi hilo nimelikataa maishani mwangu kabisa hila nina watu ambao tuna fahamiana sana

Lakini watu hawa wamekuwa kichomi kwangu pindi napokuwa mimi nashida hakuna anae nisaidia na kuhisi mimi sina shida natania

Sasa siku mmoja tulikuwa tunatoka job mwezangu kumbe hana nauli akawa analalamika nime mcheki mtu anipe lift lakini mpaka saa 12 hajanijibu ngoja nimfwate kazini kwake

Mimi nikamwambia acha ubwege wakati uho mimi nina 1050 ya mwendo kasi yeye anaenda tabata nikampa jero na 50 mimi nikawa nawaza akili napata wapi nauli

Lakini pindi napokuja mimi nashida hawa watu wanakimbia zaidi mimi huwa simwepesi kumueleza mtu shida zangu labda iwe sikujui ila kwa mtu anaenijua no

Wa pili ndugu yangu amekuwa na tabia ya kunikopa hela af harudishi anazama miti juz tena kanikopa nikampa mpka leo anasema mshahara ajapata na zaidi huyu kuna kipindi mimi nilikuwa na shida nikamwambia akamwambia mama mwambie mwanao apambane na hali yake

Na wakati mimi nakaa na watoto wake na zaidi nawapa mahitaji yao sasa nafikilia safari hii kumtumia text kama undugu ufe japo sijawai mwambia kama najua anavyo niongelea hila moyoni mwangu kuna maumivu makubwa

Why watu nao wasaidia nikiwa na kitu ni kikosa shida yangu inakuwa matangazo na kunikashifu
Wewe ni yuzilesiii
 
Back
Top Bottom