umekwama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vincenzo Jr

    Uliza chochote kama umekwama kupiga windows ama kuingiza operating system kwenye PC ama computer yako

    Epuka windows iliyo chakachuliwa kwenye computer yako maana inaweza kuharibu data zako namaanisha zile windows cracked na je umeshindwa jinsi ya kupata software uliza pia ntakujibu na kukuelekeza kwa usahihi jinsi ya kufanya booting na kudownload drivers.
  2. R

    Mchakato wa mabadiliko Simba umekwama

    Huko Simba mambo bado, juu ya ile ishu ya mabadiliko ya klabu hiyo ili iendeshwe kwa mfumo wa hisa ambao mchakato wake ulianza tangu mwaka 2017 umekwama ikielezwa tatizo likiwa ni katiba ya klabu hiyo, kiasi cha Ofisi ya Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) kurudisha mpira Baraza la Michezo la...
  3. Nyanswe Nsame

    Mradi wa maji Butimba umekwama, wafanyakazi wagoma

    Mradi wa maji Butimba umekwama, wafanyakazi wagoma Wafanyakazi 200 katika mradi wa chanzo cha maji Butimba wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wamegoma kwa kile kinachotajwa wameshindwa kulipwa mishahara yao. Mradi huo unaojengwa kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 60, lakini wafanyakazi...
  4. Mystery

    Muswada wa huduma za habari umekwama kujadiliwa Bungeni kwa madai ya ufinyu wa muda

    Nilishangazwa Sana na taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gershon Msigwa, kuwa Serikali imeshindwa kuupeleka Bungeni katika kikao kinachoendelea hivi sasa, muswada wa marekebisho ya Sheria ya huduma za Habari, kwa madai kuwa Bunge hilo limekosa muda wa kuujadili muswada huo! Hivi...
  5. E

    SoC01 Umekwama kuanza kuweka Akiba? Ukifanya haya ni rahisi kuweka akiba na kufikia malengo yako makubwa maishani

    Habari wadau wa mtandao wa JF na karibu kupata chakula cha ubongo na mada ni kuhusu tabia za kujiwekea akiba. Changamoto ya watu wengi kushindwa kujiwekea akiba, imekuwa ikiwakumba watu wengi hasa kwa wale ambao ni waajiriwa katika sekta binafsi na sekta za umma. Baadhi ya sababu ambazo watu...
  6. jitombashisho

    Ujenzi wa mradi wa barabara nane Kimara-Kibaha umekwama kwa sababu serikali haina pesa ya kumlipa mkandarasi?!

    Ukweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM. Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi! Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.
  7. RWANDES

    Shinyanga: Mradi wa Machinjio ya kisasa ya ng’ombe yaliyopo katika kata ya Ndembezi, umekwama kukamilika

    Naibu waziri Katambi amefanya ziara katika Machinjio ya kisasa ya ng’ombe yaliyopo katika kata ya Ndembezi na kuonesha kutoridhishwa na ujenzi wa machinjio hayo yenye gharama ya Shilingi Bilioni 5.57 ulioanza mwaka 2018 ukitarajiwa kukamilika mwaka 2019 lakini mpaka leo hauoneshi dalili yoyote...
Back
Top Bottom