kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,316
- 12,614
Hivi ni kweli Kennedy, Mshery, Manula, Sop, na Mao ni bora kuliko wachezaji wote walioachwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa kinachokwenda Azerbaijan? NI uteuzi usiokuwa na mipango ya muda mfupi wala muda mrefu. Ni timu ambayo imeteuliwa kwa kubalance idadi ya wachezi kutoka timu fulani na nani apate posho ya kuitumikia timu ya taifa badala ya kuzingatia uwezo wa sasa (current form) ya mchezaji, na timu ya aina hii haiwezi kufua dafu kwenye mashindano.
Mpira unachezwa hadharani, na mpira wetu una bahati ya kuonekana viwanjani na kwenye luninga, tunawajua wachezaji wote na juhudi zao.
Maswali ni:
Ni vijana gani wanaandaliwa kwa mashindano ya CHAN?
Ni vijana gani wanaoandaliwa kwa mashindo ya AFCON 2027?
Je, uteuzi wa wachezaji mara hii umezingatia mpango mkakati gani?