Muungano wetu: Ujumbe huu kwenye bango la Timu ya Taifa Zanzibar unamaanisha nini?

Rare Sapphire

JF-Expert Member
Jul 24, 2021
576
1,626
Timu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu;

"Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us seriously" ~ "Zanzibar inapaswa kurudishwa kama mwanachama wa 55. Ni wakati sasa wa kutuchukua kwa uzito"

Ujumbe huu unamaanisha nini?

zanzibar timu.jpg
 
Timu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu;

"Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us seriously"

Ujumbe huu unamaanisha nini?

View attachment 2854468
Lucas mwashambwa njoo fasta, Zanzibar inajitenga huku. Shikilia uzi muungano huenda usuvunjike
 
Hakuna shida yoyote, ni haki Yao, kwanini wabanwe banwe!? Ma CCM, yanajua yakiruhusu zenj,iwe huru,dynasties zote zitaisha,vile vichawa vyao vidogo vya chipukizi, Vita kuwa vimelamba garasa
 
Hebu Niambie kwenye Tamko la katiba yao Mwanzoni wametaka Neno Muungano ,CCM au chochote kinachohusu Bara au Tanu..
Wametaka Only ASP na Zanzibar yao tuwaachie tu Nchi yao
Screenshot_20231227_135932_Adobe Acrobat.jpg
 
Timu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu;

"Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us seriously" ~ "Zanzibar inapaswa kurudishwa kama mwanachama wa 55. Ni wakati sasa wa kutuchukua kwa uzito"

Ujumbe huu unamaanisha nini?

bibi kaamua kama bwai na iwe mbwai
 
MTU AKINIAMBIA KUNA MUUNGANI HUWA SIJUI NAMUONAJE YAANI MNAFIKI FULANI KATUFANYA WATANGANYIKA WAJINGA AU KATUFANYA HATUJUI KUSOMA SASA HII HAPA NI BAADHI YA VIFUNGU VYA KATIBA..

Zanziba ni nchi kwa mujibu wa katiba yao toleo la 2010 Washajitenga Kitambo hapa ni geresha tu..
Screenshot_20231227_140424_Adobe Acrobat.jpg

Na inaRaia au wnanchi wanaojiita waZanzibari na sio Watanzania Sasa jiulize Mtanzania ni nani??
Kuna vitu zanzibar tunafanywa kama hatujui hivi..
Screenshot_20231227_140209_Adobe Acrobat.jpg

Ona na hapa
Na katiba nzima hakuna neno Mtanzania kuna mzanzibar..
Kumbe mtu anaweza kupoteza Uzanzibar Je anapotezaje kasome katiba yaoo😅😅
Screenshot_20231227_140755_Adobe Acrobat.jpg

Haya kiserikali wana Mahakama,Wana jaji mkuu, mwanasheria mkuu, Baraza la Mapinduzi , Bunge la Mapinduzi aka Baraza la wawakilishi,Na wana Rais..
Screenshot_20231227_140958_Adobe Acrobat.jpg

Sasa Rais wa Zanzibar Atakuwa na mamlaka kamili ya kuamua Bila kuingiliwa na chochote wla serikali yoyote.. SOMA 52 hapo..
Screenshot_20231227_141139_Adobe Acrobat.jpg

Cha mwisho ni kwamba KATIBA YAO INA NGUVU YA KSHERIA PIA
Screenshot_20231227_140514_Adobe Acrobat.jpg

SASA HUU NDO MUUNGANO WA KWANZA DUNIANI AMBAPO KILA NCHI INA KATIBA YAKE NA KILA KITU CHAKE MPAKA MARAISA WAKE HATA MAREKANI HAIKO HIVO..
 
Timu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu;

"Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us seriously" ~ "Zanzibar inapaswa kurudishwa kama mwanachama wa 55. Ni wakati sasa wa kutuchukua kwa uzito"

Ujumbe huu unamaanisha nini?

hivi wanasubiri nini hawa? kuna wakati hadi naamini wana uamsho walitakiwa waachwe tu waendelee na harakati zao. waende tu kwa amani.
 
Nimetumia google translation, asee imeniuma sana kuona Wazanzibar wanahitaji kutambulika kama nchi ya 55 barani Africa.
Kinakuuma nini wakati huo ndio ukweli.zanzibar ni nchi hizo nyingine ni siasa tu ndo maana huo muungano haueleweki kwasababu umeshikiliwa na siasa badala ya uhalisia.
 
Mbona FIFA kuna Scotland na England na wales? Wakati ni nchi moja Tu yote chini ya mfalme Charles??
 
Timu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu;

"Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us seriously" ~ "Zanzibar inapaswa kurudishwa kama mwanachama wa 55. Ni wakati sasa wa kutuchukua kwa uzito"

Ujumbe huu unamaanisha nini?

Hivi wakisema siasa michezoni haziruhusiwi humaanisha zaidi ya hii kitu? Na Hilo Bango unaweza kuta hao wachezaji hawajui hata nani kaliandaa. But Mimi naona Wanzazibar kama kweli hawataki muungano huu ndo wakati wao.
 
Back
Top Bottom