Katika historia ya vyama vingi nchini, uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na uchauzi mkuu wa 2020 ulighubikwa na sintofahamu nyingi na kupelekea vyama vya upinzani kukosa uwakilishi wa kutosha ngazi ya Serikali za Mitaa na Bungeni.
Wote tulishuhudia wagombea wengi wa vyama pinzani wakienguliwa...
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Mzimuni, Kata ya Kawe, Raiya Nassoro akifafanua kuhusu matukio ya Uhalifu maeneo ya Kawe katika eneo la Tanzania Packers.
Mtaa huo una Ulinzi Shirikishi ukiwa umegaiwa katika Mitaa saba, moja kati ya maeneo hayo ni eneo la National Housing, ni kubwa lakini...
Tanzania inatarajia kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 ambapo kwa mujibu wa Muongozo, Serikali za Mitaa zimeanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 145 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Madhumuni ya kuwepo kwa Serikali za Mitaa ni kupeleka madaraka kwa wananchi...
Kijana mmoja maarufu kwa jina la Bonge mkazi wa Mtaa wa Kichangani, Tabata Kinyerezi Jijini Dar es Salaam, hajulikani alipo baada ya kubebwa na baadhi ya waendesha Bodaboda kwa madai kuwa amehusika na wizi wa pikipiki usiku wa kuamkia leo Agosti 3, 2023.
Tukio la wizi lilivyokuwa
Dada mmoja...
Tunaomba wahusika wa mtaa lilipo Daraja La kijazi( Ubungo Mataa) Mtupie jicho kundi kubwa la watoto waliofanya makazi yao eneo la Daraja. Ni Muda sasa watoto hawa wanalala maeneo ya Daraja na wanafanya shuhuli nyingi ikiwemo kupika. Kwa wale wanaoenda Makazini asubuhi nadhani mnajionea watoto...
Serikali ya Mtaa wa Bonyokwa iliyopo Kata ya Bonyokwa katika Manispaa ya Ilala anatuhumiwa kushirikiana na baadhi ya Polisi ambao sio waaminifu kutoka Kituo cha Polisi cha Stakshari kuwalinda wahalifu ambao wameendelea kufanya uhalifu Kwa wananchi wa Mtaa huo .
Mwenyekiti ambaye anajulikana kwa...
Huyu mjumbe ni mbadhirifu na mwizi wa fedha za ulinzi shirikishi. Amekuwa na tabia ya kudai hela ya ulinzi na hatoi ristii ya EFD.
Ni jukumu la Mwenyekiti wa Kata ya Saranga kumfuatilia huyu mjumbe ambaye rekodi yake inaonyesha alishawahi kufukuzwa kwenye taasisi moja ya Serikali.
Wananchi wenye hasira wa mtaa wa Kishiri huko Nyamagana Mwanza wamebomoa nyumba ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa kwa madai ya kumuua kijana mmoja aitwaye Kinyasi
Inadaiwa mwenyekiti huyo alimkamata Kinyasi kwa madai kuwa aliiba ndala na kumpiga hali iliyopelekea kifo chake.
Haijafahamika...
Zaidi ya wakazi 3,000 wa mtaa wa mwananchi kata ya Mahina jijini Mwanza kwa miezi miwili sasa, wamekuwa wakihangaika kupata huduma za kiserikali bila mafanikio, baada ya kundi la watu wasiojulikana kuifunga ofisi ya serikali ya mtaa huo kwa madai ya kutoridhishwa na hatua ya kurejeshwa kwa...
Hii ni kali wakazi wa Kilimahewa huko Wazo Tegeta wamemshambulia kwa kipigo Mwenyekiti wao wa mtaa ambaye alilazimika kukimbilia karandinga ya polisi.
Mwenyekiti huyo anatuhumiwa kubadili mipaka ya viwanja vya wakazi hao kinyemela na baadaye kuwadai rushwa.
Wakazi wamedai hawamtaki mwenyekiti...
Wakazi wa Kondo maeneo ya Mwaitenda na Bunge st katika kata ya kunduchi wilayani kinondoni wamepanga kuandamana hadi kwa RC Makonda kupinga serikali yao ya mtaa kuwachangisha michango kinyume cha utaratibu.
Wakazi hao wamedai serikali ya awamu ya 4 wakati Makonda akiwa DC wa Kinondoni...
Aliyekuwa Mgombea katika nafasi ya Ujumbe wa Serikali ya Mtaa ya eneo la Mnara wa Voda, kupitia CHADEMA kabla ya Chama hicho hakijajitoa kushiriki, Sirili Homary amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake huku akidaiwa kukatwa na kitu chenye ncha kali shingoni
Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha...
Mmoja wa wagombea aliyekatwa ameelezwa na Mkuu wa Rufaa kwenye kata yake kuwa wamemuondoa kwa sababu kwenye fomu yake ameandika anagombea nafasi ya “Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mwembeni”.
Mtendaji kamwambia alipaswa kuandika anagombea nafasi ya “Mwenyekiti wa Mtaa wa Mwembeni”
Source...
Wakati mwingine maamuzi ya Chadema huwa yanashangaza na kufurahisha.
Huko Mbweni wilayani Kinondoni jimboni Kawe Chadema wamemsimamisha mtoto wa Katibu wa CCM mtaani hapo aitwaye Kambi kugombea uenyekiti. Kamanda huyo wa Chadema bado anakula na kulala kwa baba yake.
Kiukweli nyakati nyingine...
Wikiendi hii nimerudi Bongo na nimekuja kutembelea Uswahilini kwetu huku Mtaa wa Azimio, Kigogo Luhanga nimepata habari zenye Kiulizo inabidi niulize Wanajamvi humu ndani.
Serikali ya Mtaa ya huku Mtaani imekuwa ikiandikisha wakazi wa hapa ( Wanandoa)/ (Wenza wanaoishi pamoja) na kuwapiga Picha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.