nishati ya umeme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mbona Serikali haisemi ukweli kuhusu suala la umeme?

    Wananchi wanateseka hasa akina Mama machinga kama wauza barafu, saluni, vinywaji baridi nk. Tuliaminishwa kuwa tatizo la umeme litapungua sana katika muda wa wiki mbili lakini haya yamekuwa ni maneno tu huku wananchi wakiteseka sana. Umeme unakatika saa moja asubuhi na unarudi saa moja usiku...
  2. JORDAN GADI TWARINDWA

    Ufumbuzi wa kudumu kuhusu changamoto ya nishati ya umeme hapa Tanzania

    •••••••••••••••••••••••••••••••••••••• Kuhusu changamoto ya Nishati Ya Umeme, Hapa nyumbani TANZANIA, na ufumbuzi wa kidumu, ili Tatizo hili liwe HISTORIA, NAOMBA KUSHAURI yafuatayo, kwa mpendwa wetu, Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Kuwa; 1...
  3. K

    Ukosefu wa nishati ya umeme

    Tuliaminishwa kuwa ukosefu wa umeme unatokana na ukame wa muda mrefu hivyo mgao wa umeme utaendelea kuwepo. Wiki chache zilizopita mvua zimeanza kunyesha mito, mabwawa yamejaa maji lakini cha kushangaza bado tatizo liko palepale. Tumemchagua Mhe. Biteko (mchapa kazi) kusimamia Wizara ya...
  4. U

    Tukubali au tukatae, lipo tatizo kubwa sana katika sekta ya nishati ya umeme hapa nchini kwetu Tanzania

    Hili la umeme kwangu mimi Uzima Tele ndilo pekee hunifanya nimkumbuke kwa uzuri hayati Rais John P. Magufuli kuwa alifanya vyema chini ya u - Rais wake. Honestly, katika kipindi cha uongozi wake ni kama aliona tatizo lilipokuwa, akachukua hatua na kulidhibiti na kukawa na hali ya utulivu ya...
  5. I

    Nchi zenye gharama ndogo za nishati ya umeme katika Afrika.

    Hii hapa orodha ya nchi zenye gharama ndogo kabisa za nishati ya umeme katika Afrika. https://africa.businessinsider.com/local/lifestyle/african-countries-with-the-cheapest-household-electricity-prices/bc9kys4
  6. ASIWAJU

    Data za mwaka 2021, Tanzania na mataifa mengine zikionesha kiwango cha nishati ya umeme kilichozalishwa kwa mwaka Tanzania ina kipi cha kujifunza?

    Data za mwisho wa mwaka wa 2021 ziki onesha viwango vya kinishati ya umene Tanzania pamoja na mataifa mengine walicho zalisha kwa mwaka. Data hizo zili tawaliwa kwa taifa la China kwa kuongoza katika uzalishaji mwingi wa nishati za umeme, liki fuatiwa na taifa la marekani baadae India na...
  7. H

    Wadau wa nishati ya umeme; Swali kwa TANESCO kuhusiana na mgao

    Nawasalimu na kazi iendelee.. Kuna karatiba fulani ka mgao wa umeme maeneo ya wilayani umeme huwa unakatwa jioni kuanzia saa 12 na kurudi either mid night au usiku wa manane.Sijajua sehemu nyingine Kama iko hivo. Sasa ninavyofahamu sehemu nyingine wilayani hazina heavy duties nyakati...
  8. Nyankurungu2020

    Kuna nini kwenye miradi ya kuzalisha umeme ya gesi na mafuta mpaka iwe chanzo cha kuibia Watanzania na kuwapora nishati ya umeme?

    Kwa nini watawala wasio na nia njema na CCM hawataki mradi wa JNHP ukamilike na kutatua kero ya umeme hapa nchini? Kisingizio kinakuwa hali ya hewa. Tangu mlete miradi ya na majenereta ya mafuta na gas tukawa tunaibiwa na Dowans Aggrekoz, Iptl na utapeli wa Richmond nyie CCM vibaka mbona hamna...
  9. Kiturilo

    January Makamba ni lini utaanza kufanya ziara kukagua usambazwaji wa umeme?

    Ni miezi kadhaa sasa imepita tangu waziri mpya wa nishati bwana January Makamba ateuliwe na rais Samia Suluhu kushika nafasi hiyo. Waziri Makamba tangu ateuliwe amefanya ziara Kigoma tu tena mjini mjini baada ya kupewa maagizo na makamu wa rais afike huko kutatua kero ya kukatika katika umeme...
  10. E

    SoC01 Tukipeleka umeme vijijini, tutaua ndege wawili kwa jiwe moja kwa kupata nishati ya umeme na tutatengeneza fursa nyingi zitokanazo na umeme

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Umeme ni nishati muhimu sana katika karne hii ya leo. Shughuli nyingi za majumbani, viwandani, ofisini na sehemu zingine, zinategemea sana nishati hii ili kufanya kazi. Matumizi yake ni mengi mno na umuhimu wake hauelezeki. Heko kwa Serikali ilijitahidi na...
  11. Uchumi wa Mifugo

    Bwawa la umeme la Julius Nyerere liwe kichocheo cha matumizi ya nishati ya umeme katika kupikia

    Mradi wa bwawa la kufua umeme wa maji la Julius Nyerere ulioko katika mto Rufiji unategemewa kukamilika juni 2022.Bwawa hilo linatarajiwa kuzalisha megawati 2115 ambazo zikichanganywa na megawati zilizopo zitaifanya Tanzania kuwa na umeme mwingi utakaotosheleza mahitaji ya ndani na ziada kuuzwa...
  12. Meneja Wa Makampuni

    Ujio wa magari yanayotumia nishati ya umeme hautoathiri sekta ya gesi asilia Tanzania

    Ujio wa gari zinazotumia nishati ya umeme hautoathiri sekta ya gesi asilia Tanzania. Hii inaandikwa na mimi mwenyewe. Tanzania tuna hifadhi kubwa ya gesi asilia ila kwa bahati mbaya hatuna mafuta. Tunahifadhi ya gesi ya methane na helium. Sasa kama tunavyo jua ujio wa gari zinazotumia nishati...
Back
Top Bottom