Wasalaam waheshimiwa mawaziri, waziri wa kazi,ajira, vijana na walemavu mh. Jenister Mhagama na waziri wa elimu sayansi na teknolojia mh. Prof. Joyce Ndalichako. Awali ya yote ninayo furaha kutoa pongezi zangu kwenu kwa uteuzi mlioupata, ni kwamba mpaka sasa taifa lina matumaini na mategemeo...
SERA
Tangu sera mpya ya Elimu ya mwaka 2014 iliyopitishwa na Raisi wa awamu ya nne Dr Jakaya M Kikwete pamoja na waziri wa elimu wa wakati huo Dr Shukuru Kawambwa kumefanyika mabailiko katika mambo mbalimbali. Kubwa hasa nihili linalotambua kuwa Elimu msingi ni kuanzia darasa la awali, darasa la...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Joyce Ndalichako, leo Julai 14, 2020, amechukua fomu ya kuomba ridhaa chama chake ili kiweze kumteua, aweze kugombea Ubunge katika jimbo la Kasulu Mjini kupitia CCM.
====
Joyce Ndalichako alikuwa mhadiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia 2000...
Kwa miezi mitatu mpaka mitatu na nusu wanafunzi wamekuwa nyumbani kutokana na janga la Corona.
Na sasa masomo yamekuwa resumed tunaamini yataendelea na mwishoni mwa mwezi wa 11 au katikati ya mwezi Dec kutakuwa na likizo mpaka Januari.
Shule ni Huduma. Tunalipia huduma ambayo ktk miezi hiyo...
Naandika kwa niaba ya wazazi 115 wa watoto wa Pre-form V mwaka 2020 ambapo watoto wanatakiwa kujiunga na form five 24/7/2020 baada ya kumaliza Pre V. Watoto wetu walijiunga na Pre V mnamo tarehe 8/2/2020 ambapo tulilipa 1.6m kama gharama za tuition, malazi na chakula ambazo ni kwa ajili tu ya...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Joyce Ndalichako ametaka busara itumike kati ya wazazi na bodi za shule kuhusu suala la ulipaji wa ada na malimbikizo ya ada za muhula uliopita kwani janga la Corona limeathiri watu wengi
Rais ametangaza kwamba tarehe 29/06/2020 shule zote zifunguliwe.
Amesema hali ya Corona nchini inaendelea vizuri na imepungua sana. Amesema shughuli nyingine zote kama kufunga ndoa nazo ziendelee na maisha lazima yarudi kama ilivyokuwa awali.
Ameyasema hayo akihutubia wananchi kupitia kikao...
Tangu awamu ya tano iingie madarakani kuna mabadiliko mengi katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu. Binafsi kama mtanzania mzalendo nahuzunishwa na tabia za baadhi ya taasisi za elimu kufanya udanganyifu wa mitihani.
Mhitimu wa darasa la saba anafaulu vipi kwa daraja B na C wakati...
Yaani Watoto wamekaa karibia Miezi Mitatu bila Masomo, huku wengi Wao wakiwa tayari wameshaathirika Kisaikolojia kulingana na Hofu iliyokuwepo na bila shaka wengine hata Topiki zao hawakumaliza anatokea Mtanzania Mmoja anasema watafanya Mtihani yao Wiki chache zijazo.
Hivi hawa Watoto...
Kwa kile ambacho hakikutarajiwa na wengi Ni suala la wamiliki wa Shule za Binafsi ikiwemo Tusiime ambayo inamiliki Tusiime nursery, primary na secondary kukaidi kulipa mishahara ya watumishi wake wakiwemo walimu.
Mmiliki wa Tusiime aliitisha kikao na wafanyakazi mnamo tarehe 17/4 kwa nia ya...
Mh Waziri wa Elimu na Serikali tunaomba muingilie kati hili linaloendelea katika hii shule ya Academic International School ya hapo Dsm kwani wanawalazimisha Wazazi kulipa Ada ya term nzima wakati huu ambao tupo kwenye janga la Corona, shule zote zimefungwa na haijulikani ni lini hali itarudi...
Nilikuwa na tatizo kubwa la kuogopa kuongea Kiingereza mbele za watu sababu sijakijua vizuri na kwa bahati mbaya sana shughuli zangu zinanihitaji nifanye hivyo mara kwa mara......nilikuwa napata shida kwelikweli na kujisikia mnyonge.
Jana ni clip ya pili ya mama yangu Ndalichako naiona...
Joyce Ndalichako anapenda kuongea Kiingereza lakini Kiingereza hakimpendi. Hebu aliyemuelewa hapa atuambie alikuwa anataka kusema nini?
Hii ni mara ya 2 ndani ya siku 60 kwa Waziri kuongea Kiingereza chenye uvunjifu wa sarufi na tafsiri ya neno kwa neno toka Kiswahili kuja Kiingereza. Ya...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Joyce Ndalichako ameagiza kukamatwa mhandisi wa mradi wa ujenzi wa chuo cha Veta mjini Sumbawanga mkoani Rukwa, Dingi Fubing na mshauri elekezi, Swalehe Kyabega kwa kutosimamia kikamilifu ujenzi huo.
Sumbawanga. Waziri wa Elimu...
Hivi Ndalichako hali ukijua wazee wa ufipa wanamkutano wao leo kwa nini umeamua kuwapa ajenda na hoja za kunogesha kikao chao?
Hali ukijua kuwa uchaguzi mkuu unakuja kwa nini unaanza kuigonganisha serikali na wanafunzi wa vyuo vikuu wakati unatambua kabisa hawa ndo wapiga kura walio wengi. Una...
Kuna wakati ulipokuwa NECTA ulilalamikiwa kwamba hutumii weledi huku baadhi ya wadau wakitaka ung'olewe , tulikutetea sana kuliko maelezo , Kwa taarifa yako sisi ndio tulikupendekeza uteuliwe Waziri wa Elimu ili ukaweze kutatua changamoto zinazoikabili sekta ya elimu nchini Tanzania ikiwemo...
Mama hafahamu mwenye njaa haogopi kufa, kwani hata njaa itamuua.
Kuna muda nawaza hawa watu wamesomeshwa na mission nini? Hawajui njaa kabisa. Tuliopitia huu msoto kipindi kile tunaelewa.
=====
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameuagiza uongozi wa Chuo Kikuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.