daruso

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Babu Kijiwe

    Serikali ya Wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(DARUSO) waomba radhi

    Serikali ya wanafunzi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam imeandika barua kuiomba radhi Serikali, Wafanyakazi wa Chuo, Wanafunzi wa chuo kutokana na kusababisha taharuki kubwa wakati wa harakati za kudai na kutatua changamoto za Mikopo ya wanafunzi wa chuoni hapo. Aidha, katika barua hiyo Uongozi...
  2. Luqman mohamedy

    Profesa Ndalichako aagiza uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuwachukulia hatua viongozi wa serikali ya wanafunzi

    Mama hafahamu mwenye njaa haogopi kufa, kwani hata njaa itamuua. Kuna muda nawaza hawa watu wamesomeshwa na mission nini? Hawajui njaa kabisa. Tuliopitia huu msoto kipindi kile tunaelewa. ===== Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako ameuagiza uongozi wa Chuo Kikuu...
Back
Top Bottom