william malecela

William Augustao Mgimwa (20 January 1950 – 1 January 2014) was a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kalenga constituency from 2010 to 2014. He also served as Tanzania's Minister of Finance from 2012 to 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    My American Experience: Autobiography by William Malecela

    Tukielekea 40 ya Mzalendo nguli. Tumuenzi Kwa kusoma kitabu chake cha My American Experience. U know! Tutakukumbuka daima bro.
  2. Pascal Mayalla

    Wosia wa Le Mutuz: CCM/Serikali Imejisahau Haisikilizi, Ikosolewe. Wabunge Wasisifu Viongozi kwa Kutimiza Wajibu Wao. Upinzani Sio Uadui, JF Keep Up!

    NIPASHE YA JANA 04/06/2023 Kama nilivyoahidi wiki iliyopita Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM, Wapinzani, Serikali na kwa JamiiForums uzingatiwe na kutekelezwa ili tuendelee kumuishi kuwa wiki hii, nitawaandikia kile alichokisema mtoto wa Mzee Malecela, hayati William Malecela...
  3. Pascal Mayalla

    Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM, Wapinzani, Serikali na kwa JamiiForums uzingatiwe na kutekelezwa ili tuendelee kumuishi

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo. Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huwa na swali, likifuatiwa na hoja, kisha jibu utalitoa wewe mwenyewe. Swali la mada hii ni Je Wosia mzito wa William Malecela (Le Mutuz) kwa CCM...
  4. Wadiz

    Hayati William "Le Mutuz" Malecela ni mfano wa kuigwa kwa watu wenye akili kubwa

    Le Mutuz ulale kwa amani Kaka. Kipekee kabisa niseme ulikuwa ni mtu wa tofauti hasa kwa mazoea na ufikiri wa watanzania wengi, uliuchukia umaskini, ujinga, uoga, unafiki, tangu utoto wako ulijijenga kwenye falsafa ya kujitegemea na kupambania ndoto zako. Hukubweteka na hadhi ya Baba yako...
  5. Pascal Mayalla

    Tribute to Mwana JF Mwenzetu William Malecela Le Mutuz, Alikuwa Mtu wa Watu

    Update ya Msiba wa Mwana JF Mwenzetu, William Malecela (Le Mutuz). Kwanza natoa pole sana kwa familia ya Mzee John Malecela kwa msiba mkubwa na mzito wa mtoto wake, William Malecela, kwa jina maarufu Le Mutuz, aliyefariki leo asubuhi jijini Dar es Salaam. Msiba upo nyumbani kwa Baba yake Mzee...
  6. Adverse Effect

    William Malecela, ikikupendeza gombea ubunge jimbo la Mtera

    Salamu kwako Lemutu Baharia. Nakushauri 2025 chukua fomu ya ubunge kwa chama utakachoamua katika jimbo la Mtera. Asubuhi na mapema kabla jua halijachomoza, utakuwa umempiga chini Lusinde. Uonyeshe njia na koneksheni vijana wa Mtera waende USA. Endeleza legacy ya Mzee Malecela alipoishia.
  7. K

    Makonda, William Malecela wadaiwa kupanga njama za kumchafua aliyewashitaki kwa utapeli wa gari

    Makonda, Lemutuzi wapanga njama kumchafua PCK Kisutu leo WAKATI kesi ya madai namba 234/2022, iliyofunguliwa na Mfanyabiashara Patrick Christopher Kamwelewe ‘PCK’ dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mwanamitandao William Malecela ‘Le Mutuz’, ikitarajiwa kuanza...
  8. Erythrocyte

    Paul Makonda na William Malecela waburuzwa kizimbani kwa tuhuma za kudhulumu gari

    Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na William Malecela maarufu Lemutuz wamefunguliwa kesi mahakamani kwa tuhuma za uporaji wa gari aina ya Range Rover. Makonda na Lemutuz wamefunguliwa kesi hiyo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na mfanyabiashara Patrick Christopher...
Back
Top Bottom