mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melki the Storyteller

    KWELI Upo uwezekano mdogo wa Mwanamke kupata ujauzito akisafisha uke kwa taulo yenye Shahawa

    Ikatokea mwanaume amemwaga manii kwenye taulo ambalo muda mchache baadae mwanamke akalitumia kukaushia uke wake. Kuna uwezekano akapata ujauzito kupitia taulo hilo?
  2. JanguKamaJangu

    Ruvuma: Jela miaka 60 kwa kosa kubaka na kumpa mimba Mwanafunzi

    Mahakama ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma October 18, 2023 imemhukumu kifungo cha Miaka 60 Jela, Faraji Milanzi Yasini, (20), mkulima na mkazi wa Kijiji cha Ruanda - Mkowela Wilayani Tunduru baada ya kupatikana na hatia kwa kosa la Kubaka na kumpa mimba Mwanafunzi wa Darasa la Saba...
  3. Wadiz

    Nimeumia sana baada ya kupata umbea kuwa demu ninaempenda katika harakati za mahusiano ametoa mimba 15 na zaidi

    Wajameni Dunia hii Ina mengi sana, nimekutana na mfadhaiko mkubwa sana. Iko hivi katika pitapita zangu nimekutana na msela wangu akiwa na mademu watatu, sasa baada ya kuwajoin kuna story za maisha ya hao mademu besties wa msela kumbe wamesoma pamoja Olevel, na chuo cha Ualimu. Sasa bhana mie...
  4. Clepatina

    Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Shaloom, Dada mmoja aliamini kuwa mtu pekee anayestahili kuitoa bikra yake ni mwanaume atakayemuoa. Huu msimamo wa bibie ulifanya apoteze wachumba wengi kwani walipoambiwa hawataonja asali mpaka waingie ndoani walisepa. Miaka ikaenda, umri wa dada ukazidi kusogea ila bibie hakubadili msimamo...
  5. Miss Zomboko

    Liwale, Lindi: Wazazi huwachoma Watoto Sindano za kuzuia Mimba na kuwaweka Vijiti wanapovunja Ungo

    Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi amesema kumekuwepo na tatizo la wazazi wilayani humo kukwepa majukumu ya kuwasomesha watoto wao hali inayopelekea kuwachoma sindano za kuzuia mimba watoto wenye umri wa miaka 12 na kuwawekea vijiti watoto pindi wanapovunja ungo. Ameeleza "Mtoto...
  6. FraNova

    Kutoka na mwanamke mwenye kiu ya kuolewa ni balaa zito

    Hii kitu ni balaa sana, Uwe unadate na mwanamke anayehitaji kuolewa kwa muda huo, yule anayeona kama umri unamtupa mkono huwezi enjoy hayo maahusiano ni kero mwanzo mwisho, Maswali kama, "hivi utanioa kweli?"/ "baby utanioa lini"/ "Mbona huji kujitambulisha kwetu?"/ Mbona hunitambulishi kwenu?"...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Hivi ni kwanini Rappers wa kike wa Mbele "mamtoni" wengi ni pisikali halafu huku kwetu Rappers wa kike wanajifanya ni majike dume?

    Kwema Wakuu! Kabla Sabato haijaingia nimelikuwa nacheki hapa muziki nikaona huyu Mwanamuziki Card B, hapohapo nikashangaa swali linakuja. Inakuwaje Rappers wakike wa Mbele, makuu, mamtoni, Kwa Biden, ni pisikali, wanamvuto wa kike, yaani sio Pouwa. Wanamapozi ya kike, wanajichetua...
  8. El uno

    Umri wa mimba

    Wakuu habarini,ningependa kupata ufafanuzi,mara ya mwisho mke wangu alipata hedhi 20/4/2023.Ilitakiwa apate hedhi tena 17/5/2023 hakupata .22/5/2023 tukapima kupitia UPT ikaonesha ujauzito .1/8/2023 tukaenda kwa ajili ya clinic kama hudhurio la kwanza.Majibu ya ultrasound yakaonyesha ujauzito...
  9. W

    Mke mwenye mimba ya miezi minne hatarini kuachwa, inawezekana?

    Ni jeuri kuliko ujeuri wenyewe! Ujeuri wake hauangalii kamwe usingle mother wake, wala msaada unaofanywa na mumewe wa kuishi na mtoto wake aliyemkuta. Ye ni kumjeuria tu mumewe muda wote tangu mwaka wa kwanza wa kuoana kwao....kasababu kadogo tu maneno ya nyodo mengiiiiii; 'una nini wewe?'...
  10. sky soldier

    Kijana Msomi asie na ajira kamteka kimapenzi mtoto wa kigogo, Anataka kumpa mimba ili apate ajira / mtaji , Ni njia sahihi ?

    Kijana ana degree na masters Kwa sasa bado yupo kitaa anauza duka la mahitaji ya nyumbani Kwa miezi kama nane hivi yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mwenye miaka ambae kamaliza moja ya kozi undergraduate, hivi karibuni ndio kajua kwamba binti ni mtoto wa kigogo mzito tu serikalini...
  11. Money Penny

    Hivi mimba inakuwa ni ya mwanaume au mwanamke?

    NI swali nimeuliza hapo, nisaidie kujibu basi. Mimba huwa inakuwa ya mwanaume au mwanamke?
  12. Morning_star

    Mpe neno mwanaume aliyekupa mimba yako ya kwanza

    Wamama mliozalishwa mtoto wako wa kwanza. Ebu mpe neno huyo mwanaume aliyekupa hiyo mimba ya mtoto wako wa kwanza!
  13. BARD AI

    UZUSHI Kipimo cha Mimba kikiwekwa Majimaji ya Nyanya kinasoma 'Positive'

    Nimekutana na hii stori mtaani kuwa ukiweka Maji ya Nyanya kwenye Kipimo cha Mimba kinatoa majibu yanayoonesha Ujauzito upo. Kuna ukweli hapa na kwanini iwe Positive, Kwanini isisome negative au abnormal test results?
  14. AbuuMaryam

    Ni dharura: Je, hili ni kawaida kwenye hii mimba?

    Tarehe ya mwisho kuona perion ilikuwa tar 28 Oct. Calculations zinasema EDD yake ni 03 July...na huyu mjamzito mpaka leo hii tar 06 August, bado hajajifungua wala uchungu...? Je kuna hatari? Kama ipo nini kifanyike...? Na kama ni kawaida hakuna hatari...hii inaweza ikafika mpaka lini..? Na kama...
  15. R-K-O

    Miaka 30 Jela ukilala na au kumtia mimba binti wa miaka 18 yupo form 5 ila ni sawa kwa binti wa chuo, form 5 iwe kama chuo hao mabinti sio watoto.

    DOUBLE STANDARDS. Utajiskiaje ukiona mtoto wako wa kiume mwenye miaka 18 anaozea jela miaka 30 kisa kakamtwa anafanya mapenzi na girlfriend wake mwenye miaka 18 ambaye yupo kidato cha tano ? Ajabu ni kwamba kuna mzee mwenye miaka 50 kampa mimba binti wa chuoni mwenye miaka 18 na wala hakuna...
  16. 101 East

    Kenya: Biashara ya kununua mimba

    Biashara ya kununua mbegu za Wanaume imeonekana kunoga na kushika kasi katika Kaunti ya Murang’a nchini Kenya ambapo baadhi ya Wanawake wanawalipa Wanaume hadi Ksh. 300,000 (Tsh. mil 5.1) ili wafanye nao mapenzi na kuwapachika mimba. Wanaume wanaopendelewa zaidi katika biashara hiyo ni walio na...
  17. BLACK MOVEMENT

    SoC03 Kumaliza tatizo la mimba na ndoa za utotoni tuondoe Umasikini kwanza

    Tuondoea umasikini wa Vipato ili kumaliza tatizo la Ndoa za utotoni na wanafunzi kupewa Mimba. Ukijaribu Kusoma Historia ya wazungu hasa maisha yao ya miaka ya 1800 huko hadi 1930 huko utagundua kwamba haya yanayo tokea huku kwetu sasa pia na kwao yalikuwepo, Wazungu walikuwa na Ndoa za...
  18. Roving Journalist

    Waziri wa Afya: Mimba za utotoni zimepungua kutoka asilimia 27 ya mwaka 2015/16 hadi asilimia 22 kwa mwaka 2022

    SERIKALI KUSHIRIKIANA NA TAMWA KATIKA MASUALA YA AFYA YA UZAZI MAMA NA MTOTO. Na. WAF - Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya imedhamiria kushirikiana na Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) katika kupambana na kutoa elimu juu ya masuala ya Afya ya Uzazi Mama na...
  19. H

    Mimba ya kwanza kwa mabinti ni sumu. Huwapiga 'knockout kabisa of life'

    Bila salamu hiyo.. Mabinti hubaki kuzurura tu baada ya kuzaa. No direction of life hubaki nyumbani tu kama Volunteer House girl. Hawa nazungumzia wale mabinti wanaomaliza la saba na kidato cha nne. Wanakuwa totally 'immersed' huvurugikiwa kabisa sana sana kuanzisha viujasiriamali vidogo...
  20. Joe Navarro

    Hesabu za Mimba na Birthday

    Anayeelewa hili fumbo. Mimba hadi kuzaliwa miezi ni Tisa. Ila birthday yako ni kila baada ya miezi kumi na mbili. SWALI Sasa pale kwenye tisa ya tumboni na huku kumi na mbili mbona kama tunaiba miezi mitatu isiyo husika katika umri wetu au nyie mnaonaje ?
Back
Top Bottom