mchezaji bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Majok majok

    Pacome Zouzou achaguliwa kuwa mchezaji bora hatua ya makundi CAF champions league

    Mwamba pacome zouzou amechaguliwa kuwa mchezaji Bora na caf hatua ya makundi iliyotamatika hivi karibuni! Pacome kawamwaga wenzake baada ya kuwa na rating kubwa ya (7.99) kuliko wenzake kwenye Kila mechi ambapo ameonekana kuwa hatari kwenye match zote alizocheza! Amafuatiwa na mostapha shobeir...
  2. Teko Modise

    Pesa ya tuzo ya mchezaji bora wa mechi South Africa ni sawa na hela ngapi ya kwetu hii? Tuna safari ndefu

    Mchezaji bora wa mechi huko South Africa akiwa na hundi ya Rand 100,000/=. Ni sawa no hela ngapi ya madafu?
  3. Masikio Masikio

    Pacome Zouzoua alipokea tuzo ya mchezaji bora wa ligi ya Ivory Coast 2023 ila waziri hamjui

    Katika bara ambalo linavituko na linawatu ambo hawako serious bas ni Africa ndo maana umaskini umetamalaki na uongozi mbovu in general. Mwaka jana 2023 pacome alipokea tuzo ya mchezaji bora wa ligi ya ivory coast kupitia tuzo. Swali la kujiuliza mchezaji bora waziri humjui kabisa hiki ni...
  4. D

    Huyu ndiye mchezaji bora kuwahi kutokea Duniani (GOAT)

    Zaki Khellaf huyu ni mmoja wa wasakata kandanda 'mahiri' zaidi kuwahi kutokea duniani. Ni mraibu wa soka anayetokea nchi ya Algeria anayefahamika kwa jina la Chouchaa(Shusha) maarufu duniani kote. Choucha ni mchezaji wa 'ajabu' ambaye aliweza kutambulika kwenye mitandao kutokana na mapenzi yake...
  5. CAPO DELGADO

    Ningekaa kimya ningekufa nalo: Fabrice luamba ngoma midfilder teacher (airport) mchezaji bora wa super league

    Hakika ngoma aliimbwa, Airport Man of The Match Super League, Jezi no 6 mgongoni Tarehe 20, October majira ya jioni kabisa nilikuwa nimekaa na mtaalamu wa kusoma mchezaji wa mpira (scaut) kutoka Timu moja ya London, ambaye pia ni Coach na Game analyst. Tulikuwa tumekaa kutizama mpira katika...
  6. Kilimbatz

    Mchezaji Jonathan Sowah wa Medeama apewa feni kama zawadi ya mchezaji bora wa mechi(MVP)

    Wikiendi hii timu ya mpira wa miguu ya Medeama ya nchini Ghana ilimenyana na timu ya mpira wa miguu ya Bechem Mpaka dakika tisini zinakwishwa matokeo yalikuwa Bechem 1-2 Medeama Chakufurahisha katika mechi hiyo Medeama walitanguliwa na Bechem Kwa goli moja amabalo lilisawazishwa na Jonathan...
  7. Wadiz

    Fiston Tupwisa Mayele Mchezaji Bora Africa kwa Ligi za ndani ya Africa

    Hello JF, Habari ndio hio Fiston Kalala Tupwisa Mayele ndio Mchezaji Bora wa msimu wa 2022-2023 Kwa Kwa wachezaji wa ligi za ndani ya Africa. Hongera Sana Mwamba, The goal machine that scores with precise instinct and always focused. 🙏🙏🙏 Best wishes Mwamba sina ubaya Mimi Simba SC ila...
  8. S

    Shaffih Dauda: Saido hawezi kuwa Mchezaji Bora

    Saidoo hawezi akawa mchezaji bora, magoli 17. kafunga Hat trick 2, goli tano Kwenye mechi moja Maana yake magoli zaidi ya 11 kafunga kwenye mechi 3, na kamfunga nani, Swali la 2! Fiston Mayele anadeserve kuwa MVP kwa kuwa goli analofunga mechi moja moja ndiyo Wanakuwa Mabingwa.
  9. S

    Aziz Ki Kashinda Tuzo Mchezaji Bora wa Mwezi April

    Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga ya Dares Salaam, Stephane Aziz Ki amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Aprili wa Ligi Kuu ya NBC huku Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Abdallah Mohammed, akichaguliwa Kocha Bora wa mwezi huo. Kikao cha Kamati ya Tuzo za TFF kilichokutana Dares Salaam...
  10. OKW BOBAN SUNZU

    Chama na Kanoute wanawania tuzo ya mchezaji bora wa wiki wa CAF

    Wachezaji wetu wawili Chama na Kanoute wanawania tuzo ya mchezaji bora wa wiki wa CAF kutoka kwenye mashindano makubwa ya Ligi ya Mabingwa Afrika Haya sasa Wana Simba twende tukapige kura tumchague mchezaji bora wa wiki kati ya Chama au Kanoute My Take 1. Tunakuomba ingia twiter kumpigia kura...
  11. Mohammed wa 5

    Chama mchezaji bora wa wiki Ligi ya Mabingwa

    Mchezaji Bora wa Wiki wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Mwamba wa Lusaka, Clatous Chama ✨ #WenyeNchi #NguvuMoja
  12. J

    Chama kwa CAF ni kama Messi kwa UEFA: Achaguliwa mchezaji bora wa CAF Champions League

    Mchezaji wa Simba Clatos Chota Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki wa mashindano ya CAF Champions League. Hii ni baada ya mashabiki wa soka barani Afrika kumpigia kura kwa kishindo kati ya wachezaji wanne waliokuwa wakiwania. Hii inanikumbusha Messi alivyokuwa akifunika UEFA kipindi...
  13. C

    Joyce Lomalisa wa Yanga anastahili kuwa mchezaji bora wa mwezi Machi 2023

    Huyu jamaa alipokuja watu wengi walibeza sana. Kwa kiwango alichonacho kwa sasa anastahili kuwa mchezaji bora wa mwezi wa NBC.
  14. SAYVILLE

    Shomary Kapombe ndiyo Mchezaji Bora Simba kwa sasa

    Kama umefuatilia uchezaji wa Shomary Kapombe toka amepona majeraha yake amekuwa anacheza kwa kiwango kikubwa na kujituma kuliko mchezaji yoyote pale Simba. Kama kumbukumbu zangu ziko vizuri, ni kama game moja tu ndiyo kidogo alikuwa na changamoto uwanjani. Kama kuna mchezaji wa Simba...
  15. sinza pazuri

    Mbwana Samatta ndio mchezaji bora wa soka wa muda wote Tanzania, GOAT

    Mchezaji pekee kutoka Tanzania kushinda CAF champions league. Mchezaji pekee wa Tanzania kua top scorer kwenye CAF Champions League. Mchezaji pekee Africa mashariki kushinda tuzo ya Mchezaji bora wa Africa (wachezaji wa ndani). Mfungaji namba mbili bora katika ligi ya Belgium, moja ya ligi...
  16. Dong Jin

    Uchambuzi unaothibitisha kuwa Messi ndiye mchezaji bora kuwahi kutokea duniani (GOAT)

    Maoni yanaweza kutofautiana katika mjadala wa "Mchezaji bora wa muda wote" (G.O.A.T), lakini itakuvutia kujua kuwa Messi sasa ameshinda zaidi ya miamba ya soka Pele na Maradona walivyowahi kushinda! Lionel Messi amemaliza ukame wa makombe ya soka, na kushinda mataji yote ya klabu na makubwa ya...
  17. I

    Tumemaliza rasmi ubishi wa nani zaidi kati ya Messi na Cr7

    Timu Ronaldo walipiga kelele nyingi sana ndani ya miaka hii michache iliyopita hadi tukaona tuwaache tu, sasa leo hii pumba na mchele vimejitenga hakika sasa wote tunaongea lugha moja. Wakati Cr7 akiwa kwenye sofa na remote sitting room nyumbani kwao mwenzake huko Qatar anaibeba timu yake...
  18. February Makamba

    Nani ni mchezaji bora kwenye timu ya ureno?

    Wakuu kabla ya kuangalia nani ni best player duniani, twende nchi kwa nchi basis. Tuanze na Ureno. Kwangu mimi pale Ureno, Best player kwenye hiyo nchi ni Bruno Fernandez, wewe unadhani ni nani?
  19. Kurunzi

    KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast

    KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast kwa msimu uliopita wakati akiichezea Asec Mimosas. Nyota huyo ambaye amejiunga na Yanga msimu huu usajili wake ulikuwa gumzo kutokana na utambulisho wake uliofanyika Julai 15 alfajiri huku akitegemewa...
Back
Top Bottom