Pacome Zouzoua alipokea tuzo ya mchezaji bora wa ligi ya Ivory Coast 2023 ila waziri hamjui

Masikio Masikio

JF-Expert Member
Apr 12, 2023
1,843
3,379
Katika bara ambalo linavituko na linawatu ambo hawako serious bas ni Africa ndo maana umaskini umetamalaki na uongozi mbovu in general.

Mwaka jana 2023 pacome alipokea tuzo ya mchezaji bora wa ligi ya ivory coast kupitia tuzo.

Swali la kujiuliza mchezaji bora waziri humjui kabisa hiki ni kituko kingine sasa kazi ya waziri wa michezo ni nini sababu nauhakika kwenye ugawaji wa tuzo ya mchezaji bora waziri alikuwepo ila hamjui mchezaji aliyepewa tuzo.

Mashabiki wa ivory coast wanahaki ya kumuulizia sababu ni mchezaji bora wa ligi ya ivory coast mwaka 2023.
 
Nimekumbuka kipindi Mwakyembe ameteuliwa kuwa waziri wa michezo, kituko cha kwanza ni pale aliposema kila mchezaji wa nje anayesadikiwa Tanzania lazima awe anacheza kwenye timu yake ya taifa

Wakati mwingine mawaziri wanateuliwa wizara ambazo hawana uelewa wowote na wizara zao hivyo tumsamehe
 
Kwanza muuliza swali nae ni punguani tu sasa waziri ndio anaeita kikosi cha timu ya taifa..
Kwan muuliza swali hakuonana na kocha Ili amuulize Hilo swali?
alisema hamjui kabisa yaan mchezaj bora wa ligi yako humjui
 
Labda hilo neno mchezaji bora wa ligi ya ivory coast 2023,lilitungwa tu na uongozi wa yanga ili kuwajaza upepo mashabiki wasijue kuwa wamesajili garasa.
Lilitungwa na-wakati alipewa ila nchi hii kuna wajinga kama wewe wengi sana
Ndo maana mpira wetu kuendelea ni ngumu sababu kila kitu kinaangaliwa kwa jicho la usimba au uyanga
 
Kwahiyo kama hamjui asemeje? Acheni lawama? Hakuna mahali kumeandikwa waziri lazima ajue wachezaji wote wa michezo yote. Kuanzia Netball Squash hadi beach soccer. Uto bana ficheni ujinga wenu
 
Kwahiyo kama hamjui asemeje? Acheni lawama? Hakuna mahali kumeandikwa waziri lazima ajue wachezaji wote wa michezo yote. Kuanzia Netball Squash hadi beach soccer. Uto bana ficheni ujinga wenu
Kwenye tuzo waziri alikuwepo na bado hamjui mshindi wa tuzo hii utaikuta afrika

Mchezaji bora wa ligi ya ivory coast mwaka 2023 kwenye sherehe waziri alizohudhuria bado hamjui alafu unaona ni sawa
 
Katika bara ambalo linavituko na linawatu ambo hawako serious bas ni Africa ndo maana umaskini umetamalaki na uongozi mbovu in general...
Labda nikuelimishe kuwa waziri wa michezo sio waziri wa mpira wa miguu peke yake. Hata wewe ambae ni mfuatiliji wa michezo nikikuuliza ni nani mchezaji Bora wa netball au basketball hapa nchini huenda ukashindwa kumtaja!
 
Unajua utoaji wa tuzo za mchezaji bora wa mpira wa miguu ambao unapendwa sana ivory coast na nchi za afrika ni ajabu waziri unaudhuria sherehe za itoaji tuzo alafu unaona ni sawa kutokumjua mshindi

Kwa akili kama zako kuna safari ndefu sana kwenye kila nyanja hapa afrika
 
Kwenye tuzo waziri alikuwepo na bado hamjui mshindi wa tuzo hii utaikuta afrika

Mchezaji bora wa ligi ya ivory coast mwaka 2023 kwenye sherehe waziri alizohudhuria bado hamjui alafu unaona ni sawa
Kwenye tuzo mgeni rasmi anaalikwa tu anapewa tuzo anatoa kwa mhusika si lazima akariri majina ya wahusika. Kwahiyo kama alitoa tuzo kwa marefa ina maana atakuwa na majina yako kichwani? Au huyo Pakomwe ni special case
 
Back
Top Bottom