matukio ya kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Mbowe, maridhiano yako bila kuwasamehe wale wabunge 19 yatakuwa hayana maana

    Freeman Mbowe huwa anahubiri mambo ya kusema kweli na maridhiano wakati yeye si mkweli na hatabiriki misimamo yake kwani anauwezo wa kubadili gia angani haraka sana ili mradi kuwe na pesa mbele yake. Alifanya hivyo wakati anauza chama kwa Lowasa na amefanya hivyo tena wakati anaanza kupokea...
  2. Kamanda Asiyechoka

    Kigwangalla ajitetea kuwa yeye sio fisadi na hakula pesa za Umma. Yupo tayari kula kiapo kwa Quran hadharani

    Amefunguka 👇 ==== Alichokisema Hamis Kigwangalla katika majadiliano ClubHouse Mbunge wa Jimbo la Nzega Vijijini, Dkt. Hamis Kigwangalla amezungumza kwenye majadiliano ya Clubhouse na kuelezea msimamo wake kuhusu suala la kuapa kwa kutumia Quran na kashfa za rushwa zinazomkabili. Akizungumza...
  3. S

    Lissu yuko wapi?

    Mimi ni mfuasi wa upinzani, sijui Lissu yupo wapi? Nilimsikia na kumuona alipotoka Belgium na kufanya mkutano wa hadhara hapa Dar. Baada ya hapo hajasikika tena. Nimekuja hapa JF kwa kujua nitapata majibu alipo Lissu, tafadhali naomba kujua.
  4. J

    Lema aseme ukweli alipataje Ukimbizi Canada vinginevyo Zitto Kabwe ataaminika kuwa alinunuliwa

    Jana Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi ameongea jambo zito sana kuhusu ACT Wazalendo, kwamba ni wapigaji tu walioifilisi Bandari. Nategemea Godbless Lema atafafanua namna alivyopata Ukimbizi. Wednesday, Ubarikiwe sana!
  5. Mtu Asiyejulikana

    Hakuna aliyetaka Kumuua Godbless Lema. Tuambiane Ukweli tu

    Godbless Lema anapenda kujipa ukubwa au umuhimu ambao hana. Lissu ilikuwa auawe ni kweli na sababu ni pale alipoanza kutoa siri za ndani kwa wageni. Halikuwa jambo sahihi hata hivyo. So siungi mkono kumuua. Lema hakukuwa na kusudio hilo hata wazo halikuwepo. Sema Lema anapenda sana ku trend na...
  6. J

    Zitto Kabwe: Katika ndege 12 alizonunua Hayati Magufuli, ndege 6 hazifanyi kazi, ziko grounded, zina kutu, ingawa tuliambiwa ni mpya

    Zitto ametoa tuhuma nyingi dhidi ya Hayati Magufuli na utawala wake. Mojawapo ni hiyo ya ndege 6 alizonunua Hayati Magufuli kuwa grounded wakati tuliambiwa ni ndege mpya. Nasubiri kusikia kama Serikali au ATCL watakanusha tuhuma hizi. Majibu ya ATCL, soma ATCL: Ndege mbili zina shida ya...
  7. commonmwananchi

    Lema, hii siyo kuomba Asali CCM kiaina?

    Godbless Lema, kwa tweet yako hii nimelazimika kuamini kwamba baada ya kugundua kwamba kuna maslahi yanakupita na huwezi kumhoji Mwenyekiti wako, na kwasababu unao uhitaji mkubwa wa mapene ni rasmi sasa umemuomba katibu mkuu wa CCM Ndugu na komredi Chongolo akukumbuke pindi utakapofika nchini...
  8. Sir robby

    Hivi ni kweli Serikali yetu imeshindwa kuyajua haya na wahusika wake?

    Wadau najua hakuna kinachoshindikana kwa serikali ikitaka kujua jambo au mambo yote yanayotokea kwenye hiyo nchi, labda tu iwe haitaki. Kuna haya matukio ambayo mpaka sasa serikali haijayapatia ufumbuzi; 1. Kutekwa kwa mfanyabiashara Mo mpaka sasa wahusika hawajakamatwa. 2. Kupigwa risasi kwa...
  9. K

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    Nasema "alitaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua. Niungane na Watanzania wenzangu kumuombea Tundu Lissu dua/sala ili apone kikamilifu, Amin. Nimejiuliza maswali mengi kuhusu shambulio...
Back
Top Bottom