commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,952
Godbless Lema, kwa tweet yako hii nimelazimika kuamini kwamba baada ya kugundua kwamba kuna maslahi yanakupita na huwezi kumhoji Mwenyekiti wako, na kwasababu unao uhitaji mkubwa wa mapene ni rasmi sasa umemuomba katibu mkuu wa CCM Ndugu na komredi Chongolo akukumbuke pindi utakapofika nchini aweze kukuweka kwenye list waliyopo hao wenzio waliokutangulia wakati wa maridhiano.
Ni kama vile Lema umeshtukia dili na ukaona usipitwe!
Hakuna namna nyingine Watanzania wataweza kukuelewa zaidi ya hivyo.
Hii tweet inajieleza
Ni kama vile Lema umeshtukia dili na ukaona usipitwe!
Hakuna namna nyingine Watanzania wataweza kukuelewa zaidi ya hivyo.
Hii tweet inajieleza