Mfumo wa demokrasia hapa nchini ulianzishwa rasmi mwaka 1992 chini ya Rais Mwinyi akiwa ndiye mwenyekiti wa chama mapinduzi CCM, na ndio kilikuwa chama pekee cha siasa kabla ya hapo kutokana na mfumo wa siasa wa wakati huo.
Najua suala la maamuzi ya kuruhusu mfumo wa mabadiliko ya kisiasa...
Wengi wao wako radhi, na wameridhia kuunga mkono jitihada za Dr. Samia Suluhu Hassan za sasa; na endapo pia ataamua kugombea ukuu wa nchi kwa ngwe nyingine ya pili, basi watamuunga mkono kwa 100%.
Kuna wanachama wachache miongoni mwa vyama hivyo vya siasa vya upinzani, wanajaribu kuweka vikwazo...
Godbless Lema, kwa tweet yako hii nimelazimika kuamini kwamba baada ya kugundua kwamba kuna maslahi yanakupita na huwezi kumhoji Mwenyekiti wako, na kwasababu unao uhitaji mkubwa wa mapene ni rasmi sasa umemuomba katibu mkuu wa CCM Ndugu na komredi Chongolo akukumbuke pindi utakapofika nchini...
Watanzania tusikubali propaganda za kijinga hizi.!!! Tamko la bunge La ulaya lina hoja nyingine zaidi ya 14 tofauti na ushoga, watu kupigwa risasi na kukosekana uchunguzi,watu kupotea na kukutwa kwenye viroba,sheria ngumu ya mitandao,chaguzi na wapinzani kunyanyaswa,kufunguliwa kesi za kisiasa...
What goes arround comes arround...Wanasiasa hatukuwasikia kutoa tamko la pamoja ktk sheria ya mifuko ya hifadhi ya jamii,sasa hv hii sheria ya Vyama vya Siasa tunasikia wamekutana ili kupata tamko la pamoja.
Sasa mbona km wanajiwakilisha wao?..na km wanatuwakilisha sisi mbona hatukusikia tamko...
Sakata la tuhuma dhidi ya Bernard Membe kuanza mapema mchakato wa kuwania nafasi ya kugombea urais ndani ya Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi ujao, lililowekwa wazi na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dkt. Bashiru Ally limemuibua Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Profesa Mwesiga Baregu.
Profesa...
Wakuu za siku? Natumaini wote hamjambo.
Mimeona niseme hili, linaweza kunufaisha watu kadhaa ambao either wana mtaji au wanahitaji professional Documents za kuombea hela (funding & grants), au hata za kushindania Tender flani, etc.
Ni mwajiriwa wa muda mrefu kwenye Kampuni ambayo kazi yetu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.