lissu kupigwa risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mmawia

    Gwajima alijuaje kuwa Lissu angepigwa risasi? Je, ni unabii wa kweli?

    Mchungaji Gwajima alimwambia Lissu kuwa kama angeenda Dodoma basi angepigwa risasi. Hiyo ilikuwa ni siku moja kabla ya Lissu hajapigwa risasi na baada ya kukaidi na kwenda Dodoma kweli akapigwa risasi. Je, ulikuwa ni utabiri wa kiroho kwa Mchungaji Gwajima au kuna sehemu aliinasa? Kuna haja...
  2. Sir robby

    Hivi ni kweli Serikali yetu imeshindwa kuyajua haya na wahusika wake?

    Wadau najua hakuna kinachoshindikana kwa serikali ikitaka kujua jambo au mambo yote yanayotokea kwenye hiyo nchi, labda tu iwe haitaki. Kuna haya matukio ambayo mpaka sasa serikali haijayapatia ufumbuzi; 1. Kutekwa kwa mfanyabiashara Mo mpaka sasa wahusika hawajakamatwa. 2. Kupigwa risasi kwa...
  3. R

    Lissu: Walisema arudi tutafanya uchunguzi, nimerudi nasubiri niitwe

    Lissu ameyasema hayo kwenye kipindi cha Clouds 360 alipoulizwa mpango wa kulianzisha kuhusu kesi yake maana sasa yuko nchini ambapo alisema; Jeshi la Polisi ndio wenye mamlaka ya kuchuguza, wenye majalada kuhusu tukio hilo na wenye wataalamu wanaojua silaha illiyotumika hivyo wao ndio wa...
Back
Top Bottom