Nafikiri badoo...Uhamiajii hua wanatoa pdf ya walioitwa kwenye usaili ila nayo Bado kwa magereza Sina uhakikaWakuu habari, naomba kuuliza je usaili wa kujiunga jeshi la magereza na uhamiaji 2024 tayari au kuna ambayo wameshaanza kuitwa?
Nimeona baadhi ya vijana wanasema wameanza kupiga simupunguza mchecheto,Tangazo la Usaili likitoka utaliona tu,mbona una mhaho hivyo kijana?
Ni Magereza Au Uhamiaji waliopiga? Na kama ni magereza ni mkoa Gani?Nimeona baadhi ya vijana wanasema wameanza kupiga simu
Magereza, PWANINi Magereza Au Uhamiaji waliopiga? Na kama ni magereza ni mkoa Gani?
Lbda huko pengine sijaskiaa kama wameita...Magereza, PWANI
Zile nafasi 21% za wananchi wa Kizimkazi zitakuwepo.Wakuu habari, naomba kuuliza je usaili wa kujiunga jeshi la magereza na uhamiaji 2024 tayari au kuna ambayo wameshaanza kuitwa?
Hizi za ndani mkuu?? Maana ulituambia ijumaa iliyopita yatatoka ikawa holaMajina wanatoa kesho
Wacha tusikilizie sasa mkuu siungepambana nae huyo akupenyezeKuna jamaa yupo kitengo ya IT uhamiaji Leo nimeongea nae
Hakuna kitu kama hicho mkuu huo mwezi wa pili mwishoni ni kuitwa kozi lakini kuitwa usaili ni siku yoyote kuanzia leo.Badoo majina had mwezi wapili mwishon punguzen harak
Tena kwa wale wa form 4 tayari, bado wale wenye fani tuHakuna kitu kama hicho mkuu huo mwezi wa pili mwishoni ni kuitwa kozi lakini kuitwa usaili ni siku yoyote kuanzia leo.
Amekudanganyaa hamna kituu kam ichoooKuna jamaa yupo kitengo ya IT uhamiaji Leo nimeongea nae