kuvunja ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rayvanny wa jamiiForums

    Kuvunjika kwa ndoa siyo sawa, Jamii inapaswa kubadilika

    Ukweli usiopingika....! Kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa miaka hii imekuwa kama kitu cha kawaida sana kwa watu, imekuwa kama fasheni watu hawaoni shida kuoana ndani ya kipindi kifupi wanakuwa washa achana. lakini jambo hili siyo sawa hata kidogo ningependa kuona jamii ikibadilika. Pamoja na...
  2. sky soldier

    Mahakama zisituingilie ndoa za kikristo, ni kifo ama usaliti ziwe sababu za kuvunja ndoa ama kuoa tena, adhabu ya kukiuka iwe kifungo cha maisha

    Ndoa tumekubaliana kufunga ya kikristo na tumekula kiapo ni mpaka kifo ama moja akisaliti, iweje tukimbilie mahakamani kuzivunja kwa sababu zilizo nje ya kiapo ? Nashangaa mahakama zinaingilia sana mambo ya dini za watu badala ya kuyaachia makanisa kusolve ndoa za kikristo. Sheria za kanisani...
  3. sky soldier

    Hakuna mkristo mwenye jibu... Kama ndoa inasaidia kukwepa zinaa ni vipi mtu akinyimwa tendo mwaka mzima haruhusiwi kuongeza mke wala kuvunja ndoa?

    Moja ya faida ni kukwepa zinaa (sex nje ya ndoa) Shida ni pale kuna wanaume wa kikristo wapo ndani ya ndoa wapo wanaolalamika kunyimwa unyumba hata mwaka mzima. Mtihani ni kwamba ndoa haiwezi kuvunjika kikristo na mwanaume hawezi kuongeza mke. Hali hii imechochea wanaume wengi wa kikristo...
  4. sky soldier

    Mwanmke anaekimbilia kuvunja ndoa kisa mali furaha yake hudumu kwa muda mfupi kwenye nyumba isiyo na mume wa kumheshimisha kwenye jamii

    Nimetoka kwenye mitandao ya wanawake huko njkiwa natumia fake id kuna hawa wanawake ambao wanaingia kwa lengo la mali tu, unamuoa mnakaa miaka mitano huyooo, ndukii !! wapo wanaojutia maamuzi waliyofanya baada ya muda kwenda Mbaya zaidi umri umeenda hata soko la kuolewa linakuwa limeshuka...
  5. Roving Journalist

    Mwanafunzi wa Kidato cha Tano aolewa kwa Tsh. 30,000 DC Mtatiro aingilia kati na kuvunja ndoa

    Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Julius Mtatiro amevunja ndoa ya kinyemela ya kimila iliyokuwa imefungwa baina ya "Muddy Muuza Urembo" wa Tunduru Mjini na Binti aliyechaguliwa kujiunga na elimu ya Kidato cha Tano katika Shule ya Wasichana ya Masasi. DC Mtatiro ameongoza vyombo vya usalama kuwakamata...
  6. R-K-O

    Kuvunja ndoa ya kikristo ni mpaka kifo ama kuchepuka, Kwanini wakristo hawatii sheria zao wanakimbilia mahakamani kuvunja ndoa kwa sababu zingine ?

    Na kama kuna kanisa linavunja ndoa nje ya hizo sababu basi ni wazi hawaheshimu dini yao. Huko mahakamani kumekuwa kimbilio la kwaristo wengi kuvunja ndoa kwa sababu zingine kabisa nje ya hizo mbili. - Mke anamnyima mume unyumba mwaka, Mwanaume rijali viungo vyake vimeumbwa na Mwenyezi Mungu...
  7. Wadiz

    Kwa wale tuliyowaacha wake zetu bila kuwapa talaka au kuvunja ndoa tujadili maendeleo yetu tafadhari

    Heheee hii Dunia ni raha sana, nilipata bahati ya kuoa mwanamke kimasihara tu mwaka 2019 nikiwa hapa Dodoma niliishi nae maeneo ya mjimpya,. Basi bwana nikawa na route nyingi za kwenda Kilosa, na Turiani huko kwenye kilimo Cha mpunga. Home naacha mazaga zaga yote gunia la mpunga safeti la...
  8. BARD AI

    Kuzembea wajibu wa matunzo makusudi kunaweza kuvunja Ndoa

    Maana ya Talaka Sheria inayosimamia masuala ya talaka ni sheria ya Ndoa ya mwaka 1971. Na kwa mujibu wa sheria hiyo, “Talaka ni ruhusa ya kisheria ambayo mume au mke hupewa wakati anapomwacha mwenzie”. Chombo chenye mamlaka ya kutoa talaka Chombo pekee chenye uwezo wa kuvunja ndoa ni...
  9. NetMaster

    Wakristo wengi huhofia mali kugawanywa pasu kwa pasu ndio maana hawaachani hata wakifumania wake zao

    Kwa waislam wengi mambo ya kuvunja ndoa yanamalizwa kimya kimya bila hata mahakama kuhusika, wapo wanawake wanaoenda mahakamani kudai haki za mali lakini ni wachache. Kwenye ukristo shughuli ipo tofauti, ndoa hadi inavunjika hapo ni kwamba mahakama imehusika na imeshatoa hati ya ndoa...
  10. NetMaster

    Kwenye ndoa za kikristo uasherati pekee ndio uliruhusiwa kuvunja ndoa, kwanini wakristo huvunja ndoa kwa sababu zingine ambazo hazijaruhusiwa?

    Nawashangaa wakristo waliokbali kufunga ndoa kwa imani ya kikristo wanaenda kinyume na sheria za kuvunja ndoa, sheria pekee iliyouhuswa ni uasherati lakini wao wanajionhezea vijisababu vyao,, kuna hizi sababu nje ya biblia nimeshaona zikipelekea ndoa kuvunjika -Kukosa amani ndani ya ndoa...
  11. Liverpool VPN

    Kaka anataka kuvunja ndoa kisa mdomo wa mkewe!

    Habarini Wana JF.. Ni yuleyule Mr. Liverpool A.K.A YANGA BINGWA. Sasa story iko hivi.. Juzi nilisafiri kwenda Mbeya (hata navyoandika huu Uzi nipo Tunduma@Songwe) kufatilia bidhaa fulani hivi. Safari yangu ilianzia Morogoro. Nilivyopanda basi la NEW FORCE ndani ya basi nikakutana na baba...
  12. Analogia Malenga

    Uingereza: Mwanaume avunja ndoa iliyodumu kwa miaka 10, ili kumuoa mkimbizi wa Ukraine ambaye walijitolea kumsaidia

    Mwanaume mmoja nchini Uingereza anayefahamika kwa jina la Tony Garnet, ameachana na mkewe Lorna Garnett aliyedumu naye kwa miaka 10 na kufanikiwa kupata watoto wawili, na kuanza mahusiano mapya na mkimbizi wa Ukraine, Sofiia Karkadym aliyempenda ndani ya siku 10. Tony na mkewe Lorna Garnett...
  13. Dejane

    Asilimia kubwa ndugu huvunja ndoa za ndugu zao

    Tubadilike mtu akishaoa au akiolewa waacheni waishi maisha yao,watu wameoana tayari mshaenda kujazana kuishi hapo mara bibi,sijui shangazi, sijui shemeji, acheni wanandoa waishi kwa uhuru mnawabana, mara waletewe mtoto sijui wa nani walee, acheni wanandoa waishi wenyewe kusalimiana iwe mara moja...
  14. Makonyeza

    Hivi ni kwanini unakubali kuvunja ndoa yako?

    Cha mno ni nini hasa? Nini matarajio yako nje ya ndoa yako uliyonayo sasa? Ninini?, kwamba uliamini kwamba mwenzi wako ni malaika? Au unaamini kwamba ukimwacha huyo then utampata mtakatifu asiyekukosea, asiye saliti wala kukuudhi au uliaminishwa kwamba anayekuoa au umuoae atakuridhisha kwa...
Back
Top Bottom