Kurasini is an administrative ward in the Temeke District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 34,501. It is the location of the Port of Dar es Salaam, the fourth-largest port in Africa on the Indian Ocean.
13 December 2023
Dar es Salaam, Tanzania
SERIKALI YAKABIDHI ENEO LA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM KWA BANDARI YA DAR ES SALAAM BAADA YA MRADI WA EPZA KUFELI
Eneo lililokuwa maalum kwa uwekezaji chini ya Mamlaka ya Ukanda Maalum wa Uwekezaji (EPZA) lakabidhiwa kwa bandari ya Dar es Salaam iliyo...
Mambo ya mkataba yameanza utekelezaji haraka sana, huku mipango ikianza kufanyika Ili ndugu zetu DP world waanze kufanya kazi mara moja.
Sijui mambo ya Mikataba, lakini DP world katika mkataba wao watachukua pia Eneo la Chuo Cha Polisi Kurasini Kinachosimamiwa na kamishna Msaidizi Mambo Sasa...
1. Mheshimiwa Kamishina kama kuna Askari pale getini tena wenye vifaa vya kukagua ili wajiridhishe nasi kwanini wakimaliza tukiingia ndani na mabegi yetu wanafulazimisha tuyabebe tu mkononi kwa kuyashika na kamwe tusiyaweke begani? Kamishina wa Uhamiaji nitaomba kujua logic behind hili...
Habari za uzima wana JF,
Kuna kero huwa naiona na nimewahi kunusurika kugongwa na zile bajaji pale Uhasibu Kurasini, madereva wake wana tabia wanakuja chuo cha Uhasibu kwa kutumia upande wa magari yanayoenda Mbagala, sasa mtu akiwa anavuka anaangalia upande wa magari yaendayo Mbagala then...
Kati ya vitu vya kijinga serikali inaenda kufanya kwa watu wake ni kuua soko la Kariakoo kwa kuruhusu gulio la Wachina Kurasini ili wauze bidhaa zao bila kodi na kodi ikusanywe pale tu bidhaa inapotoka.
Hizi akili itakuwa kazitoa Mwigulu lakini ikitokea hili limefanikiwa basi Kariakoo haitakuwa...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka kuwa mgeni rasmi kwenye tamasha la " The Big Praise CONCERT " FPCT KURASINI kesho tarehe 20|11|2022 kuanzia saa 8 mchana,
Shaka ataambana na baadhi ya viongozi wa Chama na Serikali katika kuunga mkono jitahada...
Salaam Wakuu,
Rais Samia anapaswa kuenziwa kama Marais wengine. Napendekeza Daraja linalojengwa la Wami, lipewe jina la Rais Shupavu Samia kama kutambua mchango wake wa kudumisha amani na kuleta Suluhu Tanzania, pia Samia amefanya Watanzania sasa wana furaha tofauti na takwimu za nyuma.
Pia...
Habari wakuu,
Naomba ushauri kwenye hilo: binti yangu amechaguliwa katika Chuo cha Diplomasia cha Kurasini Dar es Salaam katika kozi ya International Relations and Diplomacy, lakini wakati tulikuwa tunasubiri kupangiwa shule nilimpeleka kuanza pre form five katika shule moja ya private
Kule...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ameweka sawa kitu kilichosababisha taharuki juu ya uvumi wa taarifa zilizodaiwa kuwa eneo la Shule ya Sekondari Kurasini linauzwa kwa mwekezaji ambapo amethibitisha kuwa eneo hilo haliuzwi.
RC Makalla amesema ni kweli kuwa mwekezaji alituma maombi ya...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Polisi wanapokamata watu hawatakiwi kufanya vitisho, lakini hali inayoonekana Mitaani ni ya vitisho na kutia hofu
Akiwa katika Mahafali ya Kufunga Mafunzo ya Uofisa Kazi No. 1/2021 amesema, "Wakati mwingine mtu anakamatwa tu bila kosa la maana. Zipo tuhuma za...
Pale ilipo TEC na Pentecost pale kurasini zinatatiza sana kazi za bandari ya Dar es salaam.
Kuna ubaya gani serikali ikafanya mazungumzo kama ikivyofanya na wakazi wengine kuzihamisha zile taasisi pale zilipo kwa manufaa ya bandari?
Malori ya mzigo yanakosa maegesho kwakuwa hakuna nafasi ya...
Bagamoyo inafyreka tu, haitakuwa na simile na mtu!
Tuliwahi kusikia taarifa nyingi kuhusu mpango wa kuiboresha bandari ya Dar es Salaam ili iweze kutoa huduma nzuri kwa wateja wake, na kuvutia wateja wapya toka sehemu mbalimbali, hasa majirani zetu wasiokuwa na bandari, kama DRC, Zambia...
Habari zenu wakuu,
Binafsi najihusisha na kutoa ushauri wa kibiashara pamoja na huduma zingine za kiuhasibu na kodi jijini Dar es Salaam pamoja na huduma zinginezo.
Katika kutekeleza mpangokazi wangu wa mwaka 2020/2021 nina mpango wa kufungua ofisi maeneo ya kurasini (Along Nelson Mandela au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.