kiwango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zamazangu

    Changamoto ya kiwango cha elimu Tanzania

    Nchi yetu ya TANZANIA kwa muda mrefu sasa imekuwa ikionesha kuwa elimu inayotolewa katika taasisi zake Ina shida. Haiwapatii wahitinu wake kila ngazi kinachostahili. Sababu za changamoto hiyo zimetajwa kuwa ni pamoja na: 1. Kiwango Cha baadhi ya watoa elimu kuwa chini hivyo kuathiri uwezo wao...
  2. mahunduhamza

    Hali halisi ya pato halisi (GDP) la Tanzania

    Katika kipindi cha mwaka 2001-2010 pato halisi la Tanzania(GDP) limeonyesha kiwango cha wastani wa kukua cha 7%. Ukuaji ulishuka mwaka 2009 na kuwa 6.0%, hasa kutokana na kudorora sana kwa ukuaji wa uchumi duniani. Hata hivyo ulirudia kwenye 7% mwaka 2010. Sekta zilizoonyesha viwango vya...
  3. OLS

    Nategemea tozo zipunguze kiwango cha mikopo ya nje ya Serikali

    Katika utafiti nilioufanya kwa kutumia data za kuanzia 2010 hadi 2020( Monthly) nikitumia VECM model, zimeonesha deni la taifa linaiweka nchi katika hali ya kuingiza Economic Shocks kutoka nje ya nchi ambayo huathiri utekelezaji wa sera ya fedha. Aidha, Benki Kuu ya Tanzania(BoT) imeziandika...
  4. B

    #COVID19 Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, Tunapoteza watu kwa kiwango kikubwa kutokana na Corona

    Jambo la kheri kuwa sherehe za nane nane zimefutwa kimya kimya. Juzi kati Mwenge wa Uhuru ulikuwa Morogoro nao kimya kimya. Mambo ya mbuni yametufikisha hapa. ---- extracts tokea kwake Zitto Kabwe. Kwamba tunapoteza watu si chini ya 2,000/mwezi kwa Corona. Hali hii si ya kufumbiwa macho...
  5. Tony254

    Kenya sasa inanunua mahindi kutoka Tanzania mara sita zaidi ya kiwango ilichokuwa ikinunua hapo awali

    Kuna wale Malazy waliopinga safari ya rais Samia Suluhu kuja Kenya. Walisema kwamba rais Samia hapaswi kuja Kenya na alistahili kuendeleza roho mbaya na mikwaruzano aliyoanzisha mwendazake ambaye sitamtaja hapa. Lakini cha kushangaza ni kwamba baada ya rais Suluhu kutembea Kenya, sasa Kenya...
  6. B

    Mishahara ya wafanyakazi na watumishi iendane na kiwango cha elimu, ugumu wa kazi au kiwango cha kazi anachofanya mhusika

    Elimu ni uwekezaji kama aina nyingine za uwekezaji hivyo muwekezaji anategemea kupata faidia baadae, ila kuta baadhi ya taasisi au mashirika, mtu ana shahada ila analipwa mshahara wa astashahada. Au unakuta sehemu mtu ana elimu ya dalasa la saba ila analipwa mshahara zaidi ya mtu mwenye...
  7. mwehu ndama

    Unene wa kiwango hiki ni hatari kwa afya

    Katika video hii [emoji116][emoji116] iliyonishangaza raia mmoja wa India ambae ni mnene kupitiliza amejikuta ameanguka ghafla baada ya kupata shambulio la moyo hali iliyopelekea raia wema wamburuze na kumpakia kwenye guta kama kiroba cha maembe ama furushi la mahindi. NB:itoshe kusema UNENE...
Back
Top Bottom