Kwenye dunia ambayo demokrasia imeshuka sana katika asilimia 70 ya nchi 167 zilizofanyiwa utafiti duniani, kwa mujibu wa The Economist Intelligence’s Unit Democracy Index 2020 tangu kushuka huko kuanze kuonekana mwaka 2006, tunategemea sana mitandao ya kijamii kuhuisha demokrasia kwa sababu ni...
Internet ni mfumo wa dunia wa kielektroniki unaounganisha kompyuta na vifaa vyengine vya kielektroniki vinavyokubali mfumo huo.
Mitandao ya kijamii ni teknolojia inayohusisha kompyuta ambayo hurahisisha kugawana na kusambaza mawazo na taarifa mbalimbali katika kujenga mtandao na jamii halisi...
Najua kila kabila lina sifa zake nzuri na zisizofurahisha.
Mfano Wanyaturu wengi ni warefu na weupe. Pia wana changamoto kwenye dental fomula zao yaani mpangilio wa meno haujakaa vizuri.
Njoni mie mie nimeanzisha tu.
Uhali gani mwanafamilia wa JF
Karibu katika makara maalumu leo naomba nikuelekeze katika Maendeleo ya kijamii na kwa kuanza makara hii naomba nitangulize shukurani kwa mda wako wewe msomaji.
Kabula ya yote ni vyema tujue maendeleo ya kijamii ni nini? kwa ufupi tu maendeleo ya kijamii ni hali...
UTAFITI USIORASMI; KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII NA WATUMIAJI WAKE TANZANIA
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Leo nitaleta kautafiti kadogo nililokafanya ambako sio rasmi.
Mitandao ya kijamii Kwa hapa Nchini ambayo ni Maarufu ni Facebook, Instagram, WhatsApp, Jamii forum, Twitter's, Tiktok, ambayo hii...
Mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo muhimu ya biashara katika karne ya 21 hasa kutokana na urahisi wa kufanya biashara na kuongezeka kwa fursa ukilinganisha na biashara nje ya mitandao. Zaidi ya nusu ya watu bilioni 7.8 duniani wanatumia mtandao wa intaneti, ambapo kwa jicho la kibiashara, hiyo...
Mbunge wa Musoma vijijini, Prof Muhongo amesema siyo kumbukumbu nzuri kumtengenezea sanamu marehemu au hayati na badala yake ni kheri fedha hizo zikatumike kujenga taasisi ya kuhudumia jamii kwa ajili ya kumbukumbu ya huyo anayetakiwa kukumbukwa.
Chanzo: Tanzania Abroad tv
Mimi nina apps mbili tu Tuu ambazo Ninamiliki kwenye simu yangu nazo ni Twitter na WhatsApp. Facebook niliiacha kitambo kwa sababu ya kuwa na limited number of friends
Kule Vichwa vipanga ni wachache mno kumejaa utopolo tuu. Hata ukiwa na followers Labda uwe unaandika kuhusu mapenzi, udaku...
Wakati dunia inaadhimisha siku ya mitandao ya kijamii, kumekuwa na maswali mengi kuhusu matumizi na matokeo yake kwa jamii. Kuna wanaoona mitandao ya kijamii imekuwa na manufaa sekta nyingi kama habari, biashara, sanaa na fedha, kuna wengine wanaona kuwa imeleta janga na changamoto nyingi, hasa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Dodoma, Juni 17, 2021
A: UVUMI KUHUSU TAARIFA ZINAZOZUNGUKA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII (SOCIAL MEDIA) JUU YA UWEPO WA MAYAI YA KUKU KUTOKA NJE YA NCHI YALIYOSABABISHA KUSHUKA KWA BEI YA MAYAI NCHINI
Ndugu waandishi wa Habari,
Tarehe 14/06/2021 Wizara ya...
Vijana wa kiume na wa kike sasa hivi wanajichubua kwasababu ya ubaguzi na upendeleo unaokuwepo ktk jamii
Mfano unakuta mtoto anakosea mzazi anamwambia kwamba amefanya hivyo na ndo maana tu mungu alimuumba mweusi
Mweusi kama chungu cha mchawi
Wewe ni mweusi hadi huko rohoni kwangu
Una uzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.