fasihi

Farzaneh Fasihi (Persian: فرزانه فصیحی‎, also Romanized as "Farzāneh Fasihi", Persian pronunciation: [fæɾzɒːˈne fæsiːˈhiː]; born 1993 in Isfahan) is an Iranian sprinter. She represented her country at more than 10 competitions both outdoor and indoor Asian Athletics Championships. Fasihi is the Iranian record holder of the 60 metres indoor with 7.25 seconds.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Tahasusi mpya zakosolewa na Maprofesa wa lugha na Fasihi

    Wabobezi ktk fani ya lugha Profesa Aldin Mutembei UDSM, Prof. Mabala na Prof. Raymond Mosha wa chuo nchini U.S.A wajitosa katika mjadala mzito wa TAHASUSI / COMBINATION mpya zinazotegemea kuaza kutumika https://m.youtube.com/watch?v=bnGuW-H_OeY Yalitakiwa wajadiliwe kwa upana ili umma mpana...
  2. Sanyambila

    Askofu Bagonza ameandika haya kwa maslahi ya taifa kwa fasihi nzuri

    Na Askofu Bagonza 1. Rushwa Rushwa bandarini ndiyo imesababisha bandari ifanywe inachofanyiwa. Wakiishapeana rushwa, serikali inakosa mapato, mizigo inachelewa, inapotea, na bandari limekuwa pango la majizi. Swali ni je, kila penye rushwa tuuze? Tubinafsishe? Tukabidhi sekta binafsi? 2 ...
  3. R

    Kipanya tena na fasihi ngumu!

    Nimemgwaya!
  4. L

    Fasihi ya Mtandaoni ya China yaleta mageuzi makubwa na kupanua soko lake la wasomaji hadi nje ya nchi

    Fasihi ya Mtandaoni ya China imefanikiwa kukonga nyoyo za wasomaji duniani kote kutokana na mtindo wake wa kipekee wa kusimulia hadithi, mandhari na kuchanganya mambo tofauti ya kitamaduni. Inatoa mtazamo mpya na unaovutia juu ya fasihi ya China, inayozingatia mambo mbalimbali yanayoteka...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Happy birthday to me, Taikon wa Fasihi

    Kwema Wakuu! Ninafuraha kubwa katika siku hii ya leo. Hii ndio siku ambayo nilizaliwa. Ndimi Taikon wa Fasihi, Mnyanyembe wa Tabora. Nawashukuru wote mliokuwa baraka kwangu, lakini pia nawashukuru wale mliogeuka changamoto kwangu, Mnisamehe wale wote niliowakosea Kwa namna moja ama nyingine...
  6. Lycaon pictus

    Mathias Mnyampala: Nguli wa fasihi aliyeanza shule ya msingi akiwa na mke tayari

    Ni ngumu kuzungumzia fasihi ya kiswahili bila kumzungumzia Mathias E. Mnyampala. Mnyampala alizaliwa mwaka 1917 huko Dodoma akiwa ni Mgogo. Baba yake alikuwa ni mfua chuma na alimiliki ng'ombe wengi ambao Mathias ndiye alikuwa mchungaji. Mwaka 1931. Akiwa kama na miaka 14-15 aliozwa mke...
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Uzi maalum wa Tanzu za fasihi

    Fasihi Simulizi ni fasihi inayotungwa au kubuniwa kichwani na kuwasilishwa kwa hadhira kwa njia ya mdomo na vitendo bila kutumia maandishi. TUKI (2004) Fasihi Simulizi ni kazi ya fasihi inayohifadhiwa na kurithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kwa njia ya mdomo kama vile; hadithi, ngoma na...
  8. MAKA Jr

    SoC02 Tunahitaji majukwaa ya kukuza fasihi ya Kiswahili

    Picha. Chanzo: The Citizen (12/08/2022) UTANGULIZI Je, hatuwezi kutumia barua, insha, makala, hadithi, mashairi, tamthiliya, na riwaya za Watanzania katika kufanya utafiti wa masuala kadhaa yenye mustakabali muhimu kwa Taifa letu? Je, mtoto mdogo wa Shule ya Msingi au Sekondari hawezi kutoa...
  9. Tanzania Nchi Yetu Sote

    Vitabu vya Kezilahabi, sasa vinapatikana madukani na mtandaoni

    MWITO KWA WATAALAMU WA FASIHI Mchapishaji mashuhuri wa vitabu vya Kiswahili nchini Tanzania, APE Network, ana Mpango wa kutangaza na kuhifadhi kazi bora za fasihi ya Kiswahili kwa kuchapisha, kusambaza, kuweka mtandaoni, kuhifadhi na kuchambua kazi hizo kifasihi. Shughuli hiyo imekwishaanza na...
  10. Olaigwanani lang

    Fasihi ya Askofu Dkt. Benson Bagonza kuhusu Miafaka vs Muafaka

    INAHITAJIKA MIAFAKA siyo MUAFAKA. Kuna harufu ya mparaganyiko kila mahali. Ni kama tuna nchi moja yenye mataifa mengi ndani yake. Badala ya muafaka wa kitaifa, inahitajika miafaka kadhaa ili kuunda muafaka mmoja. 1. CCM si moja. Kuna CCM-Mpina na CCM-January. Kuna CCM-Mwendazake na CCM-Samia...
  11. Idd Ninga

    Wahaya na Fasihi ya Majigambo au Ebyebugo

    Hakuna kitu nachokichukia na kinachonikera kama kusikia kuna watu wana amini kuwa eti Ushairi umeendelea kwa sababu ya waarabu na wengine kwenda mbali zaidi na kusema Kiswahili ni kiarabu na wengine kupitiliza mipaka ya kufikiria hovyo kabisa na kuona kwamba ukichanganya maneno ya kiarabu hata...
  12. F

    Msikilize huyu jamaa ana ujumbe kwako leo

    Msikilize huyu jamaa ana ujumbe kwako jioni hii ya leo
  13. J

    Mtanzania Abdulrazak Gurnah ashinda Tuzo ya Nobel katika Fasihi

    Ni mwanafasihi Abdulrazak Gurnah Source: Al jazeera Mungu ni mwema wakati wote ===== Mwandishi kutoka Tanzania, Abdulrazak Gurnah ametangazwa kuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel 2021 kwa upande wa Fasihi (Literature) Gurnah ambaye anaishi England alizaliwa Zanzibar na ni Profesa wa Chuo Kikuu cha...
  14. Kasomi

    Uchambuzi wa Fasihi simulizi: WATOTO WA MAMA NTILIYE

    WATOTO WA MAMA NTILIYE UCHAMBUZI WA FASIHI SIMULIZI WATOTO WA MAMA NTILIYE KIPENGELE CHA FANI: 1. mwanafunzi atatakiwa kujibu maswali yatayohusiana na kipengele cha fani, 2. rejea vipengele vya fani katika vitabu mbalimbali MWANDISHI: EMMANUEL MBOGO WACHAPISHAJI...
  15. Kasomi

    Uchambuzi wa Fasihi simulizi: TAKADINI

    UCHAMBUZI WA FASIHI SIMULIZI TAKADINI FANI MWANDISHI: BEN J. HANSON WACHAPISHAJI: MATHEWS BOOKSTORE AND STATIONARIES MWAKA: 2004 JINA LA KITABU Jina la kitabu TAKADINI lina maana ya “Sisi tumefanya nini”. Hili ni jina ambalo Sekai alimpa mwanae mara baada ya kumzaa. Jina hili...
Back
Top Bottom