sherehe za uhuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ahudhuria sherehe za Uhuru Dodoma

    Wakuu sherehe za uhuru zinaendelea huko Dodoma. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar amehudhuria sherehe za uhuru. Ni taarifa tu
  2. benzemah

    Rais Samia Mgeni Rasmi Sherehe za Uhuru wa Zambia

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini Zambia kuanzia Oktoba 23 hadi Oktoba 25, mwaka huu ikiwa na lengo la kujenga ushirikiano kati ya nchi hizo mbili zenye historia kubwa kiushirikiano. Katika ziara yake nchini humo, Rais Dkt. Samia...
  3. Mhaya

    Mali yafuta kabisa Sherehe za Uhuru

    Kila tarehe 22 ya Mwezi Septemba, nchi ya Mali inaadhimisha siku ya uhuru, ambapo kwa mwaka huu 2023, Kikosi tawala cha Mali, kimefutilia mbali sherehe zilizopangwa kuadhimisha kumbukumbu ya uhuru huo, kufuatia kuongezeka kwa wasiwasi wa mashambulizi yaliyotokea Kaskazini mwa nchi hiyo. Nchi ya...
  4. NetMaster

    Sioni maana ya sherehe za uhuru wa Tanganyika, nguvu zihamishiwe kusherekea muungano wa Tanzania

    Tanganyika ipo wapi? Kuna umuhimu wa kusherekea uhuru wa nchi ambayo haipo kiuhalisia? Jambo la hekima tusherekee vinavyohusiana na Tanzania, vingine hivi vidogo vidogo ama ambavyo havipo vibaki tu kwenye vitabu.
  5. Carlos The Jackal

    Unaanzaje kuahirisha sherehe za Uhuru? Ahirisheni na sherehe za Muungano

    Yaani inakuajekuaje mtu unaahirisha Sherehe za Uhuru? Uhuru? UHURU? Sababu kubwa? Pesa ziende kwenye MAENDELEO? Yaan Mnaacha mafisadi yanajipigia, Mnajipa masafari Kila kukicha, Mnajipa matumizi makubwa kupindukia, wafanyabiashara mmewaita wafanyabiashara wazuri, alafu from nowhere, Unazuia...
  6. C

    Kama tunazuia Sherehe za Uhuru Day basi tuzuie pia na Mbio za Mwenge kwani zinaigharimu nchi

    Kama Cognizant (alias) Adorable Angel ningeulizwa nichague kipi kizuiwe na kisicho na faida kwa taifa kati ya Siku ya Uhuru 9 Desemba na Mbio za Mwenge wa Uhuru haraka sana bila kupoteza muda ningepinga kuwepo kwa Mbio za Mwenge wa Uhuru nchini. Kwanini? Siku ya Uhuru wetu (9 Desemba) najifunza...
  7. C

    Kughairisha Sherehe za Uhuru ni dharau kwa Tunu ya Uzalendo tuliyokuwa nayo Watanzania

    Bado tunaweza kuwa na Sherehe za Siku ya Uhuru kwa bajeti yoyote ile iliyopangwa na mambo mengine yakaendelea kama yalivyopangwa. Ni dharau kwa Watanzania wazalendo kama akina Cognizant (alias), Adorable, Angel kufuta sherehe za uhuru na kusema pesa zielekezwe katika matumizi ya jambo lingine...
  8. N

    Kuacha kufanyika kwa sherehe za Uhuru ni sahihi?

    Rais Samia Suluhu amesema mwaka huu hakutakuwa na sherehe za uhuru na pesa zilizokuwa zimetengwa kwaajili ya sherehe izo ziende kuimarisha sekta ya elimu wadau wengi wa maendeleo wameunga mkono maamuzi haya na kusema kuwa hili ni wazo zuri halijawai kutokea toka Tanzania ipate uhuru. Leo Waziri...
  9. Suzy Elias

    Rais Samia: Milioni 960 za sherehe ya Uhuru zikajenge mabweni shule nane za wanafunzi wenye mahitaji maalum

    NB: Ya Magufuli ni yake Samia. ==== Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza TZS milioni 960 ambazo zilitengwa katika bajeti kwa ajili ya maadhimisho ya sherehe za Uhuru inayoadhimishwa kila Desemba 9, zipelekwe Ofisi ya Rais TAMISEMI na zitumike kujenga mabweni katika shule nane...
  10. sanalii

    Sherehe za Uhuru zisifanyike au kusiwe na vikosi vinapita pita

    Comedy zilizofanyika zinatosha kwa hiyo miaka yote, ni muda sasa kuangalia mantiki ya kinachooneshwa, kama wanafanya vitu ambavyo haviendani na uhalisia ni bora wakaailika wachekeshaji basi. Ule ukakamavu waliokua wanaonesha nib fake tu
  11. C

    Nashauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu "Army of None" cha Paul Scharre ili atuondolee aibu ya kubebesha magunia makomandoo kwenye sherehe za uhuru

    Shalom from Jerusalem, Imekuwa ni kawaida sasa kwenye kila sherehe za uhuru wa Tanganyika ama mapinduzi ya Zanzibar jeshi letu la ulinzi la wananchi wa Tanzania kutuonesha siraha na mbinu za kivita. Miongoni mwa mbinu hizo ni makomandoo wetu kubebeshwa mizigo na magunia mazito kuonesha maguvu...
  12. Idugunde

    CHADEMA kususia sherehe za Uhuru ni kukosa uzalendo. Hii ni kuthibisha kuwa hamfai kukamata Dola

    Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili...
  13. Roving Journalist

    Dar: Yaliyojiri Maadhimisho ya Miaka 60 ya Tanganyika Uwanja wa Uhuru

    Matukio Katika Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaongoza Viongozi wa Kitaifa na Kimataifa pamoja na Wananchi katika Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam #Miaka60YaUhuru #AMANIYETUFURAHA...
  14. G

    Nawaza kwa sauti: Rais akiamua kuzifuta kabisa sherehe za uhuru tutamfanya nini?

    Ndiyo! Hakuna la kumfanya, kwasabb katiba imesema rais hashitakiwi kwa jambo lolote. Na ushauri yeye ndiye anaamua aupokee ama aukatae. Kwa katiba hii atakuja kutokea rais ambaye ataamua:- 1. Kuzipiga marufuku na kuzifuta kabisa sherehe za Uhuru. 2. Kuulipua kwa mabomu na kuusabaza kabisa...
  15. Lycaon pictus

    Wakulima hawapaswi kusherekea sherehe za Uhuru Desemba 9

    Wakulima wanahali mbaya kuzidi hata enzi za mkoloni. Uhuru wao bado kufika. 1. Wakati wa mkoloni kulikuwa na bodi za mazao, lengo lake ilikuwa ni kupanga bei na kumnyonya mkulima. Tulipopata uhuru zikaendelea na kuwekwa kitu kingine kinaitwa vyama vya ushirika. Hivi vinanunua mazoa kwa bei ya...
  16. beth

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kuwa mgeni rasmi katika Sherehe za Uhuru

    Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta anatarajiwa kuanza ziara rasmi ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia kesho, Desemba 9 ambapo atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za uhuru wa Tanzania Bara zitakazofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumatano...
  17. L

    Mkuu wa Wilaya Manispaa ya Tabora analazimisha walimu kuchangia Mwenge na Sherehe za Uhuru

    Mkuu wa wilaya ya manispaa Tabora mjini ameonja joto ya jiwe baada ya kutaka kuwachangisha walimu mchango wa sherehe za uhuru na mwenge walimu walimuchachafya kwa hoja kwenye ukumbi wa uhadhili mpaka akakimbia. Anataka akusanye sh 280,000,000 milions kwa ajili ya miaka 50 ya uhuru na mwenge...
Back
Top Bottom