Search results

  1. Msolid1990

    VIDEO: Namna tunavyoharibiwa magari yetu

    Check Video, Kuwa makini unaponunua oil ya gari yako.
  2. Msolid1990

    Msaada: Fuel gauge na Consumption ya Toyota Premio

    Wakuu kwema? Siku ya Jumamosi nilisafiri na gari yangu Toyota Premio F(1490cc) kutoka Arusha kuja Dar es Salaam. Ilikuwa ndo mara ya kwanza kusafiri safari ndefu kwa kutumia hii gari kwa hiyo nilitaka kujua pia consumption yake ya mafuta highway iko vipi. Siku ya Ijumaa niliweka full tank na...
  3. Msolid1990

    Msaada: Rim/Tyre size na Tyre Pressure kwa Toyota Premio

    Mkuu hii nilitumia 17M bila bima na vitu vingine baada ya kuipokea. Ukichangana na hivyo vitu vingine ilienda hadi 18M japo inategemea maana mimi bima nilikata comprehensive. Gharama za gari kutoka Japani hadi kufika bandari ya Dar(CIF) ilikuwa $4,000 kwa kipindi kile dola ilikuwa haijapanda...
  4. Msolid1990

    Msaada wa kuagiza gari japan

    Agiza Suzuki Swift Japan
  5. Msolid1990

    Msaada: Rim/Tyre size na Tyre Pressure kwa Toyota Premio

    Wakuu, Nina Toyota Premio f niliagiza kutoka Japan mwaka jana mwishoni. Gari imekuja na rim size 14 na nikipita barabara ya vumbi kuna wakati inagonga sana chini, kwenye mlango wa dereva kwa pembeni kuna hizi options zimeandikwa kama inavyoonekana kwenye picha niliyoambatanisha hapa(Pamoja na...
  6. Msolid1990

    Tambua namna ya kujua uhalali wa mileage ya gari unalonunua Yard au kwa mtu

    Wakuu Habari, Leo nimeona nielezee kidogo kwa namna gani unaweza kujua uhalali wa kilometer zinazosoma kwenye gari unalotaka kununua either mkononi kwa mtu ama yard. Hii njia haitaweza kuapply kwa magari yote kwa sababu mbali mbali ikiwemo kwamba kipindi fulani hapa nyuma magari yalikuwa...
  7. Msolid1990

    Nilichokifanya baada ya kutendwa

    50 tu? you can't be serious.
  8. Msolid1990

    Nisaidieni kumpata Zuhura Yunusi

    Mke wangu ndo unamtafuta huku? niko naye hapa ndani, kuna tatizo lolote?
  9. Msolid1990

    Msaada juu ya mtoto huyu sijapakaziwa?

    Mwambie unasubiri mtoto akue kidogo then mkapime DNA uone atakavyosepa kama anajua huyo mtoto sio wako. Nilishawahi kuona mdada mmoja alipata mimba akamlazimisha jamaa kuwa ni hadi akahamia nyumbani kwao huyo jamaa, ukawa ugomvi labisa ndugu zake huyo jamaa wanamwambia amuoe tu sasa jamaa...
  10. Msolid1990

    Serikali kuzuia shule binafsi kupandisha karo ni njia sahii ya kuboresha elimu?

    Serikali inatakiwa ikae nao ila ada isizidi 750,000 na michango mingine isizidi 200,000 kwa mwaka. yaani sasa hivi kuna shule ada 4M michago mingine 1.5M
  11. Msolid1990

    Dalili za jogoo anayewika lakini ni hasara ktk kaya

    Ametoka Sauzi nasikia sasa hivi yuko UK.
  12. Msolid1990

    Nilichojifunza hotuba ya rais: Ingekuwa ni Uganda, Tanzania ingekuwa nchi no 01 tajiri duniani

    Mkutano ulikuwa wa viongozi wa taasisi za wafanyabiashara halafu unasema wajaze uwanja wa taifa? au wangekuja na wanachama wao? Halafu hizo data naona kama hazina effect kwenye real life application maana uganda yuko juu ya mataifa makubwa ila kiuchumi na kinguvu ni tembo na sungura.
  13. Msolid1990

    Umuhimu wa kufunga vyumbani kwetu

    Ngoja sisi tunaoishi stoo tunyamaze. Yaani chumba hicho hicho ndo kuna jiko,kitanda,ndoo za maji, meza, kabati, friji, subwoofer, vyombo vya chakula e.t.c WAISHI STOO WENZANGU HOYEEEEEE....
  14. Msolid1990

    Baraza la Mawaziri kusheheni wabunge wa kuteuliwa na Rais

    Hiyo wizara ya muungano ofisi ya makamu wa rais haijafutwa kwani?
  15. Msolid1990

    Kwa nini plate number hazijirudii na zipo 3 tu?

    Ni hivi, Gari za mwanzo kabisa kwenye huu mfumo zitakuwa zilianza na T 001 AAA hadi T 999 AAA then T 001 AAB hadi T 999 AAB zikaendelea T 001 AAC hadi T 999 AAC hizo herufi zikaendelea mpaka zikafika AAZ zilivyofika AAZ zikaanza tena kama ifuatavyo T 001 ABA hadi T 999 ABA T 001 ABB...
  16. Msolid1990

    Utajisikiaje ukisikia baba yako ametumbuliwa majipu na Dkt. Magufuli??

    Tatizo sio kuwa na jipu, tatizo ni pale yeye ndo jipu lenyewe na likatumbuliwa.
  17. Msolid1990

    Maduka ya dawa MSD kufunguliwa Jumatatu: Bei za dawa kuwa chini ya bei ya soko

    halafu dawa za MSD zitakuwa na alama ya msd sasa wafanyabiashara binafsi watazinunua wapeleke wapi? na wakikamatwa nazo si wataambiwa wameiibia serikali?
  18. Msolid1990

    Utafiti mkoa wa Mara waongoza kutoa wanasiasa vijana Tanzania kupitia upinzani

    Sio kanda ya ziwa tu, Rais akitokea katika jamii ya watu wachapakazi lazima tu atafanya vizuri, mfano akitokea Kaskazini, au Nyanda za juu kusini unfortunately hayo maeneo hayajawahi kutoa rais. we mtu kazaliwa sehemu watu hawapendi kujishughulisha sana au wanapenda umwinyi unadhani...
Back
Top Bottom